MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,114
- 3,768
Baada ya kurejea Uganda,Wabunge zaidi ya 50 wa Uganda wamekutwa na Maambukizi vya Virusi hatari vya OMICRON. Wizara ya afya nchini Uganda ilisema kwamba,Wabunge hao walipimwa kabla ya kuondoka na hawakuwa na Maambukizi hayo. Hii inamaanisha kwamba,Wabunge hao wameambukizwa Virusi hivyo nchini Tanzania. Taarifa hiyo ilitolewa na Wizara ya Afya ya Uganda siku mbili zilizopita.
UPDATE:
Wabunge wa Kenya ambao Ni Miongoni mwa Wabunge wa Afrika Mashariki walioshiriki Michezo jijini Arusha wamekutwa na Maambukizi ya Virusi vya Korona Aina ya OMICRON baada ya kurejea nchini Kenya wakitokea Arusha Tanzania. Kabla ya Wabunge hao kuondoka nchini Kenya walipimwa na kukutwa hawana Maambukizi hayo. Hii inamaanisha kwamba Virusi hivyo wamevipatia nchini Tanzania.
SWALI FIKIRISHI:
1.Kipindi Cha JPM Jambo hili lingelichukuliwa Kama kitendo Cha Kuihujumu Tanzania,je Serikali ya SSH inalichukuliaje Jambo hili?
2.Je,Kama kweli hao Wabunge wa Kenya na Uganda wamepatia Maambukizi nchini Tanzania,Ina maana kuwa Mpaka Sasa nchi yetu imeshaanza kupigwa na kirusi Cha OMICROM bila hata watu au Serikali kutambua ujio wake?
3.Je,Kama Ni kweli,Wizara ya Afya nchini Tanzania Ina umuhimu gani Katika kupambana na Majanga Kama haya? Yaani Wizara yenye rasilimali zote inashindwa kugundua uwepo wa Virusi hatari Kama OMICRON Mpaka Tunabutuliwa na nchi jirani?