MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
- Thread starter
- #81
Pita lakini utukumbuke japo kwa mazuri yetu machache...mabaya yaachenapita tu
Pita lakini utukumbuke japo kwa mazuri yetu machache...mabaya yaachenapita tu
Mjadala ni vizuri kuongea ukiwa na data. Watu wa namna hiyo ni masista du na mabrazamen toka wakiwa bongo ni kuchanganya.
Vilevile msisahau kuna watu mazoea yanawapoteza kwa kasi. Mimi si mchanganya lugha lakini nimekaa likizo bongo miezi mitatu ( july mpaka oct) nimerudi ughaibuni kuna mda mtu nampigia kiswahili nashtuka badae kwamba sipo bongo.
Lakini, hilo la kutotaka kuongea Kiswahili au la kuchanganya Kiingereza na Kiswahili, kama ni tatizo, basi si tatizo la Wabongo waishio majuu tu.
Kuna wabongo wengi tu ambao hata majuu hawajawahi kufika lakini kila mara hawaishi kuchanganya lugha, hususan wale wasomi wasomi au wale wanaojiona wamesoma soma au wale wanaojiona wako matawi flani kimaisha au wale wanaoiona hiyo lugha ya Kiingereza kuwa ni lugha yenye hadhi ya juu kuliko Kiswahili.
Nani anabisha hilo?
actually, spirit, all in all, well, he takes you in the right way, this is not kwamba ni deep, and all that, ku-manage, it was just easy, it's like, just makubaliano, there was no need, attachment, before, plan, personal, at the same time nataka kuwa icon wa nchi yangu, somewhere,
Nhana nyanda oyomba siza, bhayenga hunaeyene bhabha, kinehe embula okwenuko?
Ahsante Kiranga,nimekusoma...ila sitaki kushindananao wala kutafuta sifaKuna vitu vingi mtoa mada anaonekana hajavijua. And so, some of the below is addressed to mtoa mada.
As much as kuna watu wanaweza kuwa wanapenda sifa na ubishoo etc, kuna wengine wanapenda kujifunza lugha tu, na kuna watu wengine wanakuwa si tu wanaongea lugha za watu kwa sana baada ya kukaa mtoni, bali hata kabla, na baada ya kwenda kwa kuwa wanasikia accent fulani muda mwingi, hata kiingereza chao kinabadilika na kuchukua accent wanayoisikia sana, bila hata wao kupanga, kama "involuntary action".
Kuna wakati ndigu yetu mmoja aliyeenda UK alipiga simu bongo baada ya kukaa UK kwa miaka kadhaa, ilibidi tuanze kucheka kabla ya kumjibu kwa sababu alikuwa si tu anaongea Kiingereza, bali pia alikuwa anaongea a very pronounced Cockney accent.
Sasa kwa vile yeye hakuwa wa kwanza kusafiri katika familia, tukajua kajichanganya sana East London na ka pick up that accent involuntary, hasa kwa sababu kwetu kujua Kisukuma ni ujiko kuliko kujua Kiingereza.
Mimi mwenyewe nisharudi bongo halafu katika kuongea nikajistukia kwamba naongea Kiingereza kilicho heavily slanted towards an American accent.It's not something I planned to do on purpose, it is simply that I have been so exposed and bombarded with the American accents, from the most pronounced New England accent from co-workers on a conference call to evening news with the almost accentless Brian Williams or the equally toned brawl of a Bob Woodward on BookTV.
Sasas utataka nikija bongo ni onsess over every word nitasemaje na kama nitasema kwa Kiingereza au Kiswahili na kwa accent gani?
Na hata kama nataka "sifa" (I don't see how kujua Kiingereza, lugha yenye alphabet ya herufi 26 ni sifa, wakati katika familia yangu kuna watu wanaongea Kichina, lugha yenye mamia au maelfu ya characters katika alphabet yake na complications za Mandarin vs Cantonese ambazo huwezi kuzijua kama unajua Kiingereza tu, hata vipi).
Habari nzima ya kuangalia Kiingereza kama lugha fulani ya maana sana ni ushamba tu. Kiingereza hakikifikii hata Kiswahili kwa logic. Anybody familiar with the executive summary of the works of George Bernard Shaw ought to know that.
Sasa kwa nini wengine wanajisikia wadogo kwa sababu mtu anaongea lugha hii dhaifu ya Kiingereza?
Hapa - against my enthusiasm towards a non-divisive dialogue- naona kuna watu wana inferiority complex na watu wanaoishi/ walioishi nje tu.Unnecessarily.
Hususan kwa sababu hata kutafuta sifa ni haki ya kikatiba under freedom of expression, and shouldn't be an issue in the first place, unless there is tangible harm done.
Mbona Kikwete anatafuta sifa karibu kila siku, with tangible harm, na hashikiwi bango kama ma kapuku hawa ambao wengine hawana distinction yoyote zaidi ya kukaa mtoni tu?
Wakitafuta sifa wewe tatizo lako nini? Unataka kushindana nao kutafuta sifa?
Jamaa_Mbishi mi mwenyewe swahili yangu mbofu mbofu siishi kukosolewa hapa..Ukiishi muda mrefu nje ya nchi haswa kama ukienda utotoni unasahau au kuchanganya baadhi ya maneno!!!au mfano naweza nijieleze lakini nafikia sehemu naganda sipati njia ya kujieleza kwa kiswahili kwa ufasaha au nakosa maneno ya kuyatumia kujieleza inabidi nitumie kiingereza!!
nadhani hatujaelewana...sijasema kutokuweza kuongea!Don't dare to fool a wise man. Sisi (familia yetu) tumekulia nje ya nchi na ndugu zangu wengine wamezaliwa nje ya nchi na wanaishi huko huko majuu ila utashangaa wanaongea kiswahili hakuna mfano. Mind you...sisi wakati tunakuwa hatukuwa na marafiki watanzania because at that time (late 70's - late 80's) watanzania walikuwa hawasafiri kama sasa. Baada ya miaka kama 12 hivi niliporudi Bongo watu hawakuamini kama mimi na kaka zangu tunaweza kuongea kiswahili, walishangaa sana. Niliporudi tena majuu kwa kaka zangu nikakaa huko for kama miaka 4 hivi bila kuwa na marafiki wa kitanzania bali wale marafiki zangu wa utotoni ila nikirudi nyumbani kwa kaka zangu tunaongea kiswahili kama kawaida kwani wazazi walikazania sana tusisahau lugha haswa ukizingatia huko nyumbani vijijini watu wengi hawazungumzi kiingereza na kijerumani. Kingine, watanzania wengi hawajiamini wakiwa nje na utakuta wengi wao wanapenda kurundikana pamoja na kupigana majungu yasiyo na sababu mpaka wengine wanato.mbeana na kuchomana visu because they have nothing to do. Wengi shule hawaendi wapo wapo tu na hata lugha inawapiga chenga ila utashangaa wakija Bongo wanajifanya hawajuwi kiswahili. Ukitaka kujuwa ukweli wasikilize their conjugations and speech, yaani utacheka ila wao hawajijuwi kuwa wanachapia. Kiswahili ni lugha ya kujivunia sana ila basi tu ujinga unawasumbua watu.
Na wewe uko feki? Na wewe hujui Kiswahili? Mbona umechanganya na Kiingereza hapo?
Ingawa unachosema ni kweli, mimi nasema si wabeba maboksi wote ambao wako hivyo.
Na nisiende mbali. Mimi hapa prezdaa wa wabeba maboksi nikijaga vekesheni bongo huwa sipendi kabisa hata kuongea hicho Kiswahili. Kizungu ndo huwa nakitupa kule.
Kisukuma ndo huwa nakitumia sana na zaidi. Najua mwaweza msiniamini lakini ukweli ndo huo. Ni Kisukuma mwanzo mwisho tena kile cha Ntuzu kabisa.
Lekagi gete ugunigushela unene Nzagamba Ng'wanagingili u Ikungulyabashashi.
SIFA? wewe unatatizo lako. Jua mtu ukiishi miaka mingi nchi za nje unasaau lugha yako kwa kiasi fulani.
Hivo ukiongea kiswahili lazma uchanganye na lugha ingine, lugha ya ile nchi unayoishi.
Hata maneno ya kijapani au kirusi unaweza kuingiza ktk kiswahili, sio kingereza tu. Kwa mfano mimi najua kijerumani, kidenish, kingereza na kiswahili, nikiwa dar naweza kusikia waswahili akichanganya kishwahii na kijerumani, au kidenish, mimi nawaelewa wanachomaanisha ila waswahili wanakua hawaelewi. Na wale wanajisau kama wapo bongo hivo wanasau kuongea kiswahili sahihi.
Na sio wa majuu tu, mfano
wapare wanachanganya kipare na kiswahili, wamakonde wanaongea kimakonde na kiswahili, na hawa wanapenda sifa pia eti kuonesha wanatoka msumbiji? Au wamasai wanaongea kimasai wakichanganya na kiswahili na hawapia wanapenda sifa au kuonesha wanatoka kenya.
Kuna wengine wanafanya makusudi na kuna wengine wanakua washa zoea kuongea hivo.
Basi ukibahatika kukutananae huyo jamaa (binafsi sijawahi) huko marekani akiwa na wabongo wenzake wanaongea full kiswahili
nadhani hatujaelewana...sijasema kutokuweza kuongea!
Don't dare to fool a wise man. Kuhusu wewe kutojuwa kuandika kiswahili for whatever reason is a choice for hata watanzania waliozaliwa hapa na hawajawahi kutoka nje ya nchi hawajuwi kuandika kiswahili, hiyo siyo suluhisho/sababu. Sisi (familia yetu) tumekulia nje ya nchi na ndugu zangu wengine wamezaliwa nje ya nchi na wanaishi huko huko majuu ila utashangaa wanaongea kiswahili hakuna mfano. Mind you...sisi wakati tunakuwa hatukuwa na marafiki watanzania because at that time (late 70's - late 80's) watanzania walikuwa hawasafiri kama sasa. Baada ya miaka kama 12 hivi niliporudi Bongo watu hawakuamini kama mimi na kaka zangu tunaweza kuongea kiswahili, walishangaa sana. Niliporudi tena majuu kwa kaka zangu nikakaa huko for kama miaka 4 hivi bila kuwa na marafiki wa kitanzania bali wale marafiki zangu wa utotoni ila nikirudi nyumbani kwa kaka zangu tunaongea kiswahili kama kawaida kwani wazazi walikazania sana tusisahau lugha haswa ukizingatia huko nyumbani vijijini watu wengi hawazungumzi kiingereza na kijerumani. Kingine, watanzania wengi hawajiamini wakiwa nje na utakuta wengi wao wanapenda kurundikana pamoja na kupigana majungu yasiyo na sababu mpaka wengine wanato.mbeana na kuchomana visu because they have nothing to do. Wengi shule hawaendi wapo wapo tu na hata lugha inawapiga chenga ila utashangaa wakija Bongo wanajifanya hawajuwi kiswahili. Ukitaka kujuwa ukweli wasikilize their conjugations and speech, yaani utacheka ila wao hawajijuwi kuwa wanachapia. Kiswahili ni lugha ya kujivunia sana ila basi tu ujinga unawasumbua watu.
Duuh...mshikaji wangu nimekukubali ile mbaya!Don't dare to fool a wise man. Kuhusu wewe kutojuwa kuandika kiswahili for whatever reason is a choice for hata watanzania waliozaliwa hapa na hawajawahi kutoka nje ya nchi hawajuwi kuandika kiswahili, hiyo siyo suluhisho/sababu. Sisi (familia yetu) tumekulia nje ya nchi na ndugu zangu wengine wamezaliwa nje ya nchi na wanaishi huko huko majuu ila utashangaa wanaongea kiswahili hakuna mfano. Mind you...sisi wakati tunakuwa hatukuwa na marafiki watanzania because at that time (late 70's - late 80's) watanzania walikuwa hawasafiri kama sasa. Baada ya miaka kama 12 hivi niliporudi Bongo watu hawakuamini kama mimi na kaka zangu tunaweza kuongea kiswahili, walishangaa sana. Niliporudi tena majuu kwa kaka zangu nikakaa huko for kama miaka 4 hivi bila kuwa na marafiki wa kitanzania bali wale marafiki zangu wa utotoni ila nikirudi nyumbani kwa kaka zangu tunaongea kiswahili kama kawaida kwani wazazi walikazania sana tusisahau lugha haswa ukizingatia huko nyumbani vijijini watu wengi hawazungumzi kiingereza na kijerumani. Kingine, watanzania wengi hawajiamini wakiwa nje na utakuta wengi wao wanapenda kurundikana pamoja na kupigana majungu yasiyo na sababu mpaka wengine wanato.mbeana na kuchomana visu because they have nothing to do. Wengi shule hawaendi wapo wapo tu na hata lugha inawapiga chenga ila utashangaa wakija Bongo wanajifanya hawajuwi kiswahili. Ukitaka kujuwa ukweli wasikilize their conjugations and speech, yaani utacheka ila wao hawajijuwi kuwa wanachapia. Kiswahili ni lugha ya kujivunia sana ila basi tu ujinga unawasumbua watu.
Aiseee!
Mkuu,unatisha...Yaani unapita mule mule maana sisi wengine tukisema tunaambiwa tuna wivu kumbe tusemacho ni kweli kuwa baadhi ya wabongo washio majuu wanapenda sana sifa na kujiona wao ndiyo wao hasa warudipo bongo.Kuhusu wewe kutojuwa kuandika kiswahili for whatever reason is a choice for hata watanzania waliozaliwa hapa na hawajawahi kutoka nje ya nchi hawajuwi kuandika kiswahili, hiyo siyo suluhisho/sababu. Sisi (familia yetu) tumekulia nje ya nchi na ndugu zangu wengine wamezaliwa nje ya nchi na wanaishi huko huko majuu ila utashangaa wanaongea kiswahili hakuna mfano.
kwani hapa naandika lugha gani loh...hebu take it easy bana!!!Kuhusu wewe kutojuwa kuandika kiswahili for whatever reason is a choice for hata watanzania waliozaliwa hapa na hawajawahi kutoka nje ya nchi hawajuwi kuandika kiswahili, hiyo siyo suluhisho/sababu. Sisi (familia yetu) tumekulia nje ya nchi na ndugu zangu wengine wamezaliwa nje ya nchi na wanaishi huko huko majuu ila utashangaa wanaongea kiswahili hakuna mfano.