Wabongo waishio majuu kwa sifa!!?

Wabongo waishio majuu kwa sifa!!?

Ingawa unachosema ni kweli, mimi nasema si wabeba maboksi wote ambao wako hivyo.

Na nisiende mbali. Mimi hapa prezdaa wa wabeba maboksi nikijaga vekesheni bongo huwa sipendi kabisa hata kuongea hicho Kiswahili. Kizungu ndo huwa nakitupa kule.

Kisukuma ndo huwa nakitumia sana na zaidi. Najua mwaweza msiniamini lakini ukweli ndo huo. Ni Kisukuma mwanzo mwisho tena kile cha Ntuzu kabisa.

Lekagi gete ugunigushela unene Nzagamba Ng'wanagingili u Ikungulyabashashi.

Nhana nyanda oyomba siza, bhayenga hunaeyene bhabha, kinehe embula okwenuko?
 
U know what though,most of them they can't even speak good english.Mfano mi nilikaa nje over 20 years eti narudi baadhi yao wanongea na mi huo umombo wao mchwala,hivi kwani niliwaambia nimesahau kiswahili?
 
Jamani tuache utani baadhi ya Wabongo (waTanzania) waishio nje ya nchi wanamisifa usipime.

Yaani kama umebahatika kutembelea nchi za UK na USA au nchi zinazofanana na hizo nchi basi
utanielewa ninachotaka kuongelea hapa…wakiwa wabongo kwa wabongo wanapenda sana kuzu
ngumza kiswahili na sana sana wakikutana na mtu wa nyumbani (Tanzania) ambaye amekwenda
au umekwenda kwa shughuli zako maramoja basi ndiyo kabisaaa yaani wakikuona tu wanapenda
sana kuzungumza au kuongea kiswahili na wewe.

Ila cha ajabu na kushangaza mtu huyo huyo au watu hao hao warudipo bongo kuja kusalimia ndugu
au kwa majukumu fulani fulani basi hawataki au hataki kabisa kuzungumza kiswahili na badala yake
anaongea ung'eng'e kuanzia mwanzo hadi mwisho au maneno 10 ung'eng'e na mawili kiswahili.
Sasa mimi najiuliza inakuwaje unapokuwa nchi za ung'eng'e unapenda kuongea lugha ya nyumbani
kwenu Tanzania alafu ukirudi Bongo kwa mapumziko ya wiki mbili au mwezi hutaki kuongea kiswahili.

Ukienda shopperz plaza unajifanya yes no,mlimani city yes no,kwenye daladala yes no ukikutana na
washikaji zako wa kitambo yes no nk nk nk.

Sasa hii yote ni nini? ni ushamba au ndiyo unataka tujue kuwa unatoka USA au Ulaya?

Ama kweli baadhi ya wabongo waishio majuu kwa misifa!!?

Practices makes perfect labda wanakuwa wanakiongea wasije wakakisahau wakirudi huwezi jua bhana....Mie nkiendaga masaini kwetu weee napiga kiswahili na wale mama yeyoo na ndito ila nikutane nao town sasa yani nikimasai mbaka mwisho eroo.....
 
Kidogo chako kina thamani kuliko kikubwa cha mwenzako...

Tz wengi ni watumwa wa fikra...

Lugha ni kwa mawasiliano na sio ufahari...

Leo tunahangaika kutafuta vazi la Taifa ..wakati tuna Kiswahili ambacho kukitumia..tunaona aibu...!!!!!!
 
SIFA? wewe unatatizo lako. Jua mtu ukiishi miaka mingi nchi za nje unasaau lugha yako kwa kiasi fulani.
Hivo ukiongea kiswahili lazma uchanganye na lugha ingine, lugha ya ile nchi unayoishi.

Hata maneno ya kijapani au kirusi unaweza kuingiza ktk kiswahili, sio kingereza tu. Kwa mfano mimi najua kijerumani, kidenish, kingereza na kiswahili, nikiwa dar naweza kusikia waswahili akichanganya kishwahii na kijerumani, au kidenish, mimi nawaelewa wanachomaanisha ila waswahili wanakua hawaelewi. Na wale wanajisau kama wapo bongo hivo wanasau kuongea kiswahili sahihi.

Na sio wa majuu tu, mfano
wapare wanachanganya kipare na kiswahili, wamakonde wanaongea kimakonde na kiswahili, na hawa wanapenda sifa pia eti kuonesha wanatoka msumbiji? Au wamasai wanaongea kimasai wakichanganya na kiswahili na hawapia wanapenda sifa au kuonesha wanatoka kenya.

Kuna wengine wanafanya makusudi na kuna wengine wanakua washa zoea kuongea hivo.

Umenigusa kwenye kpare na kiswahili hapo!
 
Lakini, hilo la kutotaka kuongea Kiswahili au la kuchanganya Kiingereza na Kiswahili, kama ni tatizo, basi si tatizo la Wabongo waishio majuu tu.

Kuna wabongo wengi tu ambao hata majuu hawajawahi kufika lakini kila mara hawaishi kuchanganya lugha, hususan wale wasomi wasomi au wale wanaojiona wamesoma soma au wale wanaojiona wako matawi flani kimaisha au wale wanaoiona hiyo lugha ya Kiingereza kuwa ni lugha yenye hadhi ya juu kuliko Kiswahili.

Nani anabisha hilo?

sasa uwakute mitaa yao corridor za mcity na uchumi house mama yanguuuu! ni shidaaa yan kule kila mtu mdosi daah
mibongo ndivyo tulivyo lkn.
 
nilidhani wewe mpare !
Ingawa unachosema ni kweli, mimi nasema si wabeba maboksi wote ambao wako hivyo.

Na nisiende mbali. Mimi hapa prezdaa wa wabeba maboksi nikijaga vekesheni bongo huwa sipendi kabisa hata kuongea hicho Kiswahili. Kizungu ndo huwa nakitupa kule.

Kisukuma ndo huwa nakitumia sana na zaidi. Najua mwaweza msiniamini lakini ukweli ndo huo. Ni Kisukuma mwanzo mwisho tena kile cha Ntuzu kabisa.

Lekagi gete ugunigushela unene Nzagamba Ng'wanagingili u Ikungulyabashashi.
 
Alafu cha ajabu na kusikitisha zaidi huko majuu wanaishi na kuonekana raia wa daraja la tatu au la nne…alafu wakirudi
bongo wanajiona wao ndiyo daraja la kwanza na sisi tunaoishi hapa kila siku wanatuona second citizen…yaani full misifa
 
Another vacuous vitriolic vaseful of vomit. Pungent and putrid purposeless punditry, divisive doo-doo defecating from diseased duodenums, bileful binge from brainless brats, algorithmless alleles with zero zeitgeist shoaling in shameless schadenfreude.
 
Mtajuaje wametoka mtoni kama hawatemi yai?
 
Alafu cha ajabu na kusikitisha zaidi huko majuu wanaishi na kuonekana raia wa daraja la tatu au la nne…alafu wakirudi
bongo wanajiona wao ndiyo daraja la kwanza na sisi tunaoishi hapa kila siku wanatuona second citizen…yaani full misifa
Hebu fafanua.
 
sasa uwakute mitaa yao corridor za mcity na uchumi house mama yanguuuu! ni shidaaa yan kule kila mtu mdosi daah
mibongo ndivyo tulivyo lkn.
Sasa pata bahati siku moja ukutanenao mitaa ya London au Washington DC hakika utawaonea huruma…yaani unawaona kabisa kama hawa watu au huyu mtu hana kabisa amani na huku anakoishi
 
Utawasikia unaondoka lini ndugu yangu!!? unamuuliza kwani vipi? utasikia oooh ninakilo zangu hapa za chupi na taulo nataka ukampe mtu fulani bongo. Au utawasikia rafiki yangu unamizigo? unamuuliza kwani vipi? utawasikia au kumsikia
ooh naomba uniuzie kilo zako nitakulipa kidogo…huwa nawachomolea kwa kwenda mbele maana najua wakirudi Bongo
misifa kibao
 
Another vacuous vitriolic vaseful of vomit. Pungent and putrid purposeless punditry, divisive doo-doo defecating from diseased duodenums, bileful binge from brainless brats, algorithmless alleles with zero zeitgeist shoaling in shameless schadenfreude.
Ha ha haaa mzee wa ligi umeingia…lakini niwe muwazi sitaweza kubishana wala kujenga hoja na wewe maana najuwa we jamaa ni mbishi nomaaaa.
Hata hivyo si unaona ulivyonishukia na ung'eng'e wako kisa tu unaishi ughaibuni?
 
Jamani tuache utani baadhi ya Wabongo (waTanzania) waishio nje ya nchi wanamisifa usipime.

Yaani kama umebahatika kutembelea nchi za UK na USA au nchi zinazofanana na hizo nchi basi
utanielewa ninachotaka kuongelea hapa…wakiwa wabongo kwa wabongo wanapenda sana kuzu
ngumza kiswahili na sana sana wakikutana na mtu wa nyumbani (Tanzania) ambaye amekwenda
au umekwenda kwa shughuli zako maramoja basi ndiyo kabisaaa yaani wakikuona tu wanapenda
sana kuzungumza au kuongea kiswahili na wewe.

Ila cha ajabu na kushangaza mtu huyo huyo au watu hao hao warudipo bongo kuja kusalimia ndugu
au kwa majukumu fulani fulani basi hawataki au hataki kabisa kuzungumza kiswahili na badala yake
anaongea ung'eng'e kuanzia mwanzo hadi mwisho au maneno 10 ung'eng'e na mawili kiswahili.
Sasa mimi najiuliza inakuwaje unapokuwa nchi za ung'eng'e unapenda kuongea lugha ya nyumbani
kwenu Tanzania alafu ukirudi Bongo kwa mapumziko ya wiki mbili au mwezi hutaki kuongea kiswahili.

Ukienda shopperz plaza unajifanya yes no,mlimani city yes no,kwenye daladala yes no ukikutana na
washikaji zako wa kitambo yes no nk nk nk.

Sasa hii yote ni nini? ni ushamba au ndiyo unataka tujue kuwa unatoka USA au Ulaya?

Ama kweli baadhi ya wabongo waishio majuu kwa misifa!!?

jina lako tu linaonyesha unavyopeda sifa.... kweli wabongo kwa misifa, hakuna mwingine
 
Another vacuous vitriolic vaseful of vomit. Pungent and putrid purposeless punditry, divisive doo-doo defecating from diseased duodenums, bileful binge from brainless brats, algorithmless alleles with zero zeitgeist shoaling in shameless schadenfreude.

hahahaaa, MillioHair defecates bugs??

kwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom