Immortal_MH
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,240
- 2,252
picha tafadhali
Hiki nacho ni kinini?ngoja niende google translate!
Kule hawawezi kuongea kiengereza chao hicho cha Yes, no kwasabubu ndio kwa wenyewe kwhyo bora wajivunie lugha yao tu, ila wakiwa hapa kwa vipofu wenzao akina sis dah! Tabu kweli si unajua chongo ndio kiongozi kwenye nchi ya vipofu, ila kuna wabongo wanaongea kiengereza utafkiri wamemeza kitoto cha kizungu

Nyani Ngabu umetishaIngawa unachosema ni kweli, mimi nasema si wabeba maboksi wote ambao wako hivyo.
Na nisiende mbali. Mimi hapa prezdaa wa wabeba maboksi nikijaga vekesheni bongo huwa sipendi kabisa hata kuongea hicho Kiswahili. Kizungu ndo huwa nakitupa kule.
Kisukuma ndo huwa nakitumia sana na zaidi. Najua mwaweza msiniamini lakini ukweli ndo huo. Ni Kisukuma mwanzo mwisho tena kile cha Ntuzu kabisa.
Lekagi gete ugunigushela unene Nzagamba Ng'wanagingili u Ikungulyabashashi.
Jamani tuache utani baadhi ya Wabongo (waTanzania) waishio nje ya nchi wanamisifa usipime.
Yaani kama umebahatika kutembelea nchi za UK na USA au nchi zinazofanana na hizo nchi basi
utanielewa ninachotaka kuongelea hapa wakiwa wabongo kwa wabongo wanapenda sana kuzu
ngumza kiswahili na sana sana wakikutana na mtu wa nyumbani (Tanzania) ambaye amekwenda
au umekwenda kwa shughuli zako maramoja basi ndiyo kabisaaa yaani wakikuona tu wanapenda
sana kuzungumza au kuongea kiswahili na wewe.
Ila cha ajabu na kushangaza mtu huyo huyo au watu hao hao warudipo bongo kuja kusalimia ndugu
au kwa majukumu fulani fulani basi hawataki au hataki kabisa kuzungumza kiswahili na badala yake
anaongea ung'eng'e kuanzia mwanzo hadi mwisho au maneno 10 ung'eng'e na mawili kiswahili.
Sasa mimi najiuliza inakuwaje unapokuwa nchi za ung'eng'e unapenda kuongea lugha ya nyumbani
kwenu Tanzania alafu ukirudi Bongo kwa mapumziko ya wiki mbili au mwezi hutaki kuongea kiswahili.
Ukienda shopperz plaza unajifanya yes no,mlimani city yes no,kwenye daladala yes no ukikutana na
washikaji zako wa kitambo yes no nk nk nk.
Sasa hii yote ni nini? ni ushamba au ndiyo unataka tujue kuwa unatoka USA au Ulaya?
Ama kweli baadhi ya wabongo waishio majuu kwa misifa!!?
Ingawa unachosema ni kweli, mimi nasema si wabeba maboksi wote ambao wako hivyo.
Na nisiende mbali. Mimi hapa prezdaa wa wabeba maboksi nikijaga vekesheni bongo huwa sipendi kabisa hata kuongea hicho Kiswahili. Kizungu ndo huwa nakitupa kule.
Kisukuma ndo huwa nakitumia sana na zaidi. Najua mwaweza msiniamini lakini ukweli ndo huo. Ni Kisukuma mwanzo mwisho tena kile cha Ntuzu kabisa.
Lekagi gete ugunigushela unene Nzagamba Ng'wanagingili u Ikungulyabashashi.
Mwadera....Gawizzaa!!Ingawa unachosema ni kweli, mimi nasema si wabeba maboksi wote ambao wako hivyo.
Na nisiende mbali. Mimi hapa prezdaa wa wabeba maboksi nikijaga vekesheni bongo huwa sipendi kabisa hata kuongea hicho Kiswahili. Kizungu ndo huwa nakitupa kule.
Kisukuma ndo huwa nakitumia sana na zaidi. Najua mwaweza msiniamini lakini ukweli ndo huo. Ni Kisukuma mwanzo mwisho tena kile cha Ntuzu kabisa.
Lekagi gete ugunigushela unene Nzagamba Ng'wanagingili u Ikungulyabashashi.
Hao wa bara la Asia wala hawana mashauzi…kivumbi ni hawa wa Ulaya na Americahahahahahaha
je wabongo walioko japan ama korea inakuwaje
Ahsante mkataa kwao na mkataa asili ya kwao ni mtumwaUkiongea Kinyamwezi kile cha ndani cha Sikonge, hadi RAHA. Enzi hizo nikirudi nyumbani, nikilala Tabora mjini, asubuhi yake nafungulia dirisha ili nikipate chenyewe kabisa cha ndani ndani kule Mibono na Usunga kama Siyo Chabutwa au Tutuo na baadaye unajisukuma Mole, mitaa ya akina TUKUTUKU 🙂
Hao wanaojifanya wamesahau Kinyamwezi ahhh Kiswahili, huwa ni Wachovu fulani ambao Box limegoma kabisa kupanda.
Unajuaje kwamba nikiandika Kiswahili mswahili hatachemka?
Andika mkuu kiswahili fasaha lengo lako ujumbe ufike ama una lako?
Hiki nacho ni kinini?ngoja niende google translate!