AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
nimeshaishi iringa, na mzazi wangu mmoja ni wa iringa na mwingine wa kilimanjaro. pamoja na kwamba baba yangu ni mchaga mimi pia mchaga, ila mamangu ni mhehe na tumezaliwa na kukulia iringa na ndiko biashara za baba zipo hadi leo. ninachoweza kukuhakikishia ni kwamba, iringa haijatawaliwa na waarabu bali wakinga na wabena. kama kuna mtu anatoka iringa atanisapoti kwa hili. wahehe ni kweli hawajamiliki ule mji, ila wakinga na wabena ndio wafanyabiashara wakubwa kuliko hata waarabu na wahindi. hivyo research yako si ya kweli.Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
mkwawa alibadilishwa dini akawa muislam, ndio sababu pale iringa kuna substantial number ya waislam, lakini sio wao wanashika uchumi wa pale mjini, pale mjini uchumi umeshikwa na wakinga, wabena, baadhi ya wahehe na wachaga. wahindi pia wapo ila hawawawezi wakinga kwa biashara za maduka etc.Mkwawa aliongea na kuandika Kiarabu.
Mkwawa alipovamiwa na Wajerumani, Waarabu ndiyo walikuwa bega kwa bega kupigana nao.
Futeni na hiyo historia iliyotukuka.
wachaga na wahehe tumeoleana sana jamani, kuna namba kubwa sana ya wachaga iringa, hivyo tusilete chuki. hata askofu wenu mdegela ameoa mchaga, ukienda kule dira wachaga kibao, hiyo ni nchi ya kichaga pia.Kuna mchagga mmoja alikuwa RC wa Iringa enzi hizo akaleta hiyo dharau tena siku ya X-mas badala ya kula ndafu anakwenda kukagua mashamba.Mwamwindi akamlipua.
Mkwawa aliongea na kuandika Kiarabu.
Mkwawa alipovamiwa na Wajerumani, Waarabu ndiyo walikuwa bega kwa bega kupigana nao.
Futeni na hiyo historia iliyotukuka.
Wewe umezaliwa jana na juzi katizame mashamba Morogoro wahindi walipoondoka na Ushirika wao wa Wami Magole Cooperative Society waliouacha ulivyokufa.Uganda mpaka sasa inawabembeleza wafanyabiashara na matajiri wa kiasia waliofukuzwa na Iddi Amin arudi lakini wamechelewa wameshajijenga Canada na Uingereza. Siasa za kibaguzi hazijengi bali zinaua nchi.kumbe sasa nimeanza kujua tatizo,ina maana matajiri wahehe wanaukimbia mji wao??Mkuu inawezekana hao waarabu hawatoi nafasi kwa wahehe kunyanyuka?kuna kitu kimejificha ambacho tunaitaji ufafanuzi,biashara ni ngumu sana inaonekana
mkwawa alibadilishwa dini akawa muislam, ndio sababu pale iringa kuna substantial number ya waislam, lakini sio wao wanashika uchumi wa pale mjini, pale mjini uchumi umeshikwa na wakinga, wabena, baadhi ya wahehe na wachaga. wahindi pia wapo ila hawawawezi wakinga kwa biashara za maduka etc.
waarabu iringa sio wengi, ukienda kule uhindini kuna wahindi wengi na wengi wao ni wahindu sio waislam, iringa ni mkoa wa kikristo kwani 70% ni wakristo wa katoliki, lutheran na walokole. shule nyingi za iringa zimejengwa na walutheri na wakatoliki, university of tumaini ya walutheran, ruaha ni katholic, hivyo dominance ya ndugu zako pale waarabu na waswahili wenye baragashia ni pale mjini tu na kalenga, tanangozi kidogo, ukienda kwengine kote ni wimbo wa Yesu tu. hivyo kama umeleta comment hii ili kufanya mkwawa kuandika kiarabu ndio waarabu wametawala iringa umepotea. kwanza wahehe wa kiislam ni wale wa pande za kalenga, tanangozi tu, kwengine kote hata huyo mkwawa hawamtambui.
waarabu hawakuwzhi kumsaidia mkwawa kwa vita yoyote ile huo ni uzushi, hzkuwzhi kuongea kiarabu ila aliwzhi kuwaandikia barua waarabu kwa usaidizi, yeye kama yeye hakujua chochote
Historia nzuri sana hiyo, umemaliza?
Jisome hiyo mistari miwili, halafu rudi tena ukiwa timamu.
Hakusaidiwa au kasaidiwa? Nimeshindwa kukuelewa.
ha ha ha..... dada acha kupotosha ummaHistoria nzuri sana hiyo, umemaliza?
Jisome hiyo mistari miwili, halafu rudi tena ukiwa timamu.
Hakusaidiwa au kasaidiwa? Nimeshindwa kukuelewa.
AZUSA STREET uko sahihi kabisa wafanyabiashara wakubwa hapa ni wakinga, wabena na wachaga ila wahehe wao ulinzi tu na kidada dada cha kujianzia tu.
we mwanga madudu yako ndo yanakuambia hivyo?
Kwanza siyo vizuri kutukana kabila ya mwenyeji wako. Inavyoelekea wewe ndiye unastahili hiyo sifa uliyowapa wahehe[mimi siyo mhehe]
historia ya wachaga ni tofauti sana na wahehe. wachaga waliwakumbatia sana wathungu wakati wahehe hawakutaka kutawaliwa na wageni kabisa.
Historia ya wahehe na waarabu ni ya karne nyingi sana na nasikia hata kuoana. na waarabu wengi iringa mbarali ndiyo kwao tena kwa karne pengine hata kabla ya baadhi ya makabila mengine kuhamia tz. na wahehe ni wastaarabu sana na wana very rich culture isipokuwa hawapendi dharau kabisa. wewe kama mgeni ishi hapo kama mgeni ukiendelea kuropoka hovyo shauri yako
Inasemekana babu yake mkwawa aliwahi kuoa ndugu yake bushiri. Ila kwa uhakika ni kwamba mkwawa, fundikira waliwaoza dada/binti zao kwa waarabu na kwa kufanya hivyo kulijenga uhusiano wa kindugu na kibiashara kati ya waarabu hawa na machifu wetu. Hivi hushangai mavazi ya mkwawa yalikuwa ya aina gani hasa kwenye sherehe'Mkuu ni Mhehe yupi kaoa mwarabu?!!!
Hahahahahaaaaaa! Laiti angesoma hii comment angetoka nduki.
Umenichekesha sana
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????