JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,512
- 7,542
Nimesoma The Guardian leo Alhamisi, Nigeria inajikongoja iweze kuzalisha japo 5000MW za umeme kwa watu wake milioni 160 wakati ambapo South Africa inazalisha 40,000MW kwa watu wake milioni 43. Sitaki kuamini weusi wa SA ndio wamefanikisha hilo lililowashinda Nigeria na mafuta yote waliyonayo ni wale tuliowaita makaburu. Ndilo naloliona Tz. Uongozi ni Tatizo kubwa sana! Hakuna mwenye huruma na nchi bali maslahi binafsi!