IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,184
- 7,819
Muda tu nilishakubali kwamba waafrika tumeumbwa dhaifu kulinganisha na binadamu jamii zingine,
Sina uhakika lakini nafikiri jamii ya kiAfrika ndiyo duni kabisa kifikra na kiuwezo wa kujiwezesha kuliko jamii zote Duniani, yaani hata wahindi wanatukalisha!
Naamini kabisa maisha mazuri wanayoishi watu wa Afrika ya kusini wazungu wanahusika kwa asilimia 80, na uwepo wa wazungu unaifanya Afrika kusini kulingana kabisa kiuchumi na nchi nyingi tu za dunia ya kwanza,
Udhaifu wa waafrika weusi unajidhihirisha hata tunapojilinganisha na nchi za kaskazini mwa Afrika zinazokaliwa na jamii kubwa ya kiarabu, tunakuta ndizo ndizo nchi zenye uchumi mzuri zaidi kulinganisha na nchi za waAfrika weusi,
Kwangu nimejikubalisha kwamba hili ni tatizo la waAfrika la kiasili kabisa, yaani tumeumbwa tukiwa dhaifu. Na kwa sababu tumeumbwa hivi nadhani maisha yetu au uchumi wetu ukiacha mtu mmoja mmoja hautastawi kamwe kulinganisha na jamii ya binadamu wasio waafrika!!
Nchi zetu zina kila rasilimali na sababu ya kuinua uchumi kufanya kila mwafrika aishi maisha bora, lakini mambo ni magumu kabisa Afrika.
Tuna tatizo la kiasili kabisa!!
Mkuu hapo kwenye red bold ulichosema kilishawahi kusemwa na Dr Watson kwenye utafiti wake mwaka 2007 kama sijakosea. Lakini kama ilivyokawaida ya ukweli kuuma waafrika wengi sana walikuja juu kusema kwamba ametutukana. Huyu Dr. alijenga hoja nyingi sana za mambo ambayo tunayafanya (ambayo binadamu wa kawaida asingeyafanya!!) tofauti kabisa na races zingine. Ingia google then click ''Black People are Less Intelligent, Says Dr. James Watson, Nobel Prize Winner and DNA Pioneer''.