WaAfrika Tatizo Letu Ni Nini!?

WAZUNGU WASEMAVYO JUU YA KIKWETE/
VIONGOZI WA TANZANIA
Ni baadhi tu ya maoni katika habari
iliyochapishwa kwenye gazeti la The Guardian,
la Uingereza, yenye kichwa cha habari, "Davos
2012: All the developments from day two of the
summit".
RichardBrunwick
26 January 2012 2:33PM
Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic
African leaders of our times. He is a peacetime
leader for a country known to be one of the
richest in the world in terms of natural
resources, yet he leades the world with
begging. Foreign companies have known
Tanzania to be a free land in which you can go
in and take all you can without being asked a
question. I really don't get the mind set of its
leaders especially their prsident Mr. Kikwete, a
Muzungu worshiper. Having worked with the
UNDP in that country for 8 years, I realized
how inneficient and corrupt the country's
leadership is. His ministers that requested
bribes from BAE have never been tried despite
the damning evidence against them. British
TAX payers must stop funding this man's
corruptin and foreign trips. His human rights
record is horrible. Mr. Kikwete had no
business of going to Davos to ask for foreign
aid. Already his country is the world third
leading foreign Aid dependant nation. He
should be embarassed to say to the world that
people are poor. His people living "hand to
mouth " is his own is own ignorance and
stupidity.That is hiw own problem, Brits are
having their own problems he must realize
that. We cant bankroll his foreign trips. He
should make good use of his country's wealth.
Instead of letting his corrupt officials and
foreigners loot his country, he needs to think
before letting himself be a global loughing
stock. I read in one of the regional (kenyan)
publication the mockery nature related to his
frequent foreign trips. Palestinian, Haiti,
Lebanon, Somalia and even Rwanda economies
are more robust that of Tanzania. We must
question the nations that welcomes this
"Joker's" request for AID. He needs to be on a
"no-fly" list so he can be serious. Hopefully the
billionaires questions what he has done with
the Money he has received for decades. The
Arab spring should turn into the African
summer and get rid of the Kikwete likes(Latest
US news, world news, sport and comment from
the Guardian | guardiannews.com | The
Guardian discussion/comment-permalink/
14344505)
LindaCroucher
26 January 2012 3:50PM
Response to RichardBrunwick, 26 January
2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state.
He has no credibility. How can a head of state
be bribed suits? We must write Downing Street
and our parliament, and let them know that
Aid to some of these african countries ought to
STOP. nyerere the founding president of
tanzania was a visionary even though his
socialist policies failed, but he was a nationalist
and a true patriot.Kenya, Rwanda, Ghana have
seen far and are on the roll to economic
dependence. Kikwete, and his chrony of rulling
elites getting richer and richer. These people
have no electricity yet the country has so many
dams and rivers. There should be a policy to
bar all corrupt leaders and their children from
stepping into the EU.I dont blame Kikwete, i
blame Tanzaians for letting this happen. They
should be 100% responsible for their poverty
and suffering. We just dont need them to come
for Aid. We have many Brits out of work, and
that money should pay for their Unemployment
Benefit(Latest US news, world news, sport and
comment from the Guardian |
guardiannews.com | The Guardian discussion/
comment-permalink/ 14346120)
LindaCroucher
26 January 2012 4:01PM
African problem is more than foreign aid. They
are not ready for economic transformation. In
Tanznaia today, they have started the
leadership inheritance in which the old guards
passess on the torch to their children. we
should not expect anything serious from
African nations. If it means our money, lets cut
it off. We have so many social problems to deal
with people's own created miserybecause they
will never have free elections without someone
stffing ballot boxes and ready to let the whole
country in flames as long as they remain in
power and their children in top american and
british schools(Latest US news, world news,
sport and comment from the Guardian |
guardiannews.com | The Guardian discussion/
comment-permalink/ 14346365)
Ukitaka kujibu maoni hayo na/au kusoma
mengine, bofya hapa ufuate ukurasa husika
katika The Guardian
Kama umeilewa mada vizuri nadhani hiki ulichobandika hapa hakima tofauti na mawazo yangu,
Hapa wazungu ukisoma mwanzo tu wanakwambia Tanzanania ni sehemu ambayo unaweza kwenda na kuchukua chochote bila hata kuulizwa ma yoyote!!
Sasa hili si la Tanzania tu ni ujinga wa asili kabisa wa Afrika nzima.

Kuhusu kusafirishwa kutoka Tabora mpaka Bagamoyo na mtu mmoja aliyeshika gobore umachobisha hata sikioni!!
 
Mkuu nipoandika kuwa nchi za kaskazini mwa Afrika zinakaliwa na waarabu nilitaka kumaanisha watu wanaoishi nchi hizo, nafahamu kuwa si wavamizi ila ni namna tu ya uwasilishaji ndio haukukaa sawa,
Ahsante kwa kuweka sawa hili.
Nakushukuru kukaribiana hatuwa moja ,mbili Sasa ujue tumetegewa mtego...ili tukiepuka nao tutasema Looh !! tumepona na tumejilinda !! Na tukitegeka na kuanguka hapo tutakaa na kubaki kulaumu walotutega!! kwa vyovote vile tutalalamika tu!! Lakini ipo siku vizazi vitaistukia....kila tabia huwaga inamwisho wake.Good luck na Alamsiki.
 
Ngozi nyeusi tunalaaana kubwa kwanza kwa chuki wivu husda na kutopendanan
Ni rahisi kumezeshwa jambo bila kutafakari na tukalikubali

Wavivu wa kufikiri na kuuamini ktk misaada
 
Kama umeilewa mada vizuri nadhani hiki ulichobandika hapa hakima tofauti na mawazo yangu,
Hapa wazungu ukisoma mwanzo tu wanakwambia Tanzanania ni sehemu ambayo unaweza kwenda na kuchukua chochote bila hata kuulizwa ma yoyote!!
Sasa hili si la Tanzania tu ni ujinga wa asili kabisa wa Afrika nzima.

Kuhusu kusafirishwa kutoka Tabora mpaka Bagamoyo na mtu mmoja aliyeshika gobore umachobisha hata sikioni!!
Ninachobisha ni Upambe ulofanywa na watungaji wa historiya KM;- methali eti minyororo na kutobolewa watu !!!!!!!!!!! hebu tuchukuwe taswira ndogo kuwa leo hii ubebe mfuko wa Rambo wenye maembe au mahindi kadha alafu utokenao sokoni hadi getto kwa mwendo wa saa mbili tu!! Ok matokeo yake utaminya viganja na kupata ukakasi wa kuvilia damu mkononi....
Sasa ukilinganisha na yale mafunzo mlofundishwa shuleni eti waAfrika tulifungwa minyororo na kutobolewa miguuni, eti tuweze kutembea mwendo wote huo !! Wewe unacheza na chuma ? au tulikuwa tuna miili ya chuma kama treni au trayla? hayo tulidanganywa. Use common sense.
 
Hii mada nimeipenda sana leo,kusema kweli nashukuru kujua kumbe kuna waafrika wenzangu wameliona hili tatizo la waafrika,haya mambo kwa upande nilianza kuyadadisi miaka mingi sana iliyopita na watu walinihisi nina walakini kichwani ila tangu nikiwa mdogo nilishaliona hili kuwa waafrika tuna walakini,hatuko sawa hata kidogo na ndio tuko hivyo,nakubaliana na waliochangia na kusema hili ni tatizo la kiasili lakini pia kuna mambo mengine yamezidi kuchangia kutufanaya tuwe hivi tulivyo leo na mojawapo ni kuabudu miungu na dini za kuletewa na wakoloni wa kizungu waliokuja kututawala na wale waliokuwa wakibaka bibi zetu na kuua babu zetu hawa ni waarabu toka uarabuni,hapo ndipo tulipopoteza kabisa identity yetu,fikra zetu na hata utashi wetu wa kuitwa binadamu kamili ukapotea na mpaka leo hii miafrika iko kama mizuzu kwa kuabudu ujinga ulioletwa na hawa wageni,matokeo yake tumebaki kuwa omba omba,bara haliendelei,maradhi kila siku,njaa, vita n.k.
waafrika hatuko sawa kichwani,hata tusome vipi bado ni zero tu..!!
 
Ngozi nyeusi tunalaaana kubwa kwanza kwa chuki wivu husda na kutopendanan
Ni rahisi kumezeshwa jambo bila kutafakari na tukalikubali

Wavivu wa kufikiri na kuuamini ktk misaada

Nani ametulaani! Na hapo kabla tulimkosea nini?

Kuhusu wivu, tamaa, na ushamba mwingine kama huo ni kweli waafrika tunao sana, sasa hivi ndivyo tulivyo tangu mababu zetu,
Sasa kwa nini tuliumbwa hivi? Maana si kosa letu, hatukuchagua kuumbwa weusi au kuumbwa na akili ndogo!!
 
Hii mada nimeipenda sana leo,kusema kweli nashukuru kujua kumbe kuna waafrika wenzangu wameliona hili tatizo la waafrika,haya mambo kwa upande nilianza kuyadadisi miaka mingi sana iliyopita na watu walinihisi nina walakini kichwani ila tangu nikiwa mdogo nilishaliona hili kuwa waafrika tuna walakini,hatuko sawa hata kidogo na ndio tuko hivyo,nakubaliana na waliochangia na kusema hili ni tatizo la kiasili lakini pia kuna mambo mengine yamezidi kuchangia kutufanaya tuwe hivi tulivyo leo na mojawapo ni kuabudu miungu na dini za kuletewa na wakoloni wa kizungu waliokuja kututawala na wale waliokuwa wakibaka bibi zetu na kuua babu zetu hawa ni waarabu toka uarabuni,hapo ndipo tulipopoteza kabisa identity yetu,fikra zetu na hata utashi wetu wa kuitwa binadamu kamili ukapotea na mpaka leo hii miafrika iko kama mizuzu kwa kuabudu ujinga ulioletwa na hawa wageni,matokeo yake tumebaki kuwa omba omba,bara haliendelei,maradhi kila siku,njaa, vita n.k.
waafrika hatuko sawa kichwani,hata tusome vipi bado ni zero tu..!!
Mkuu ubuheri na umzima ? Nashukuru kuwa bado upo na ugeugeu kwa sababu unazidi kulalamika na kutupia makosa kwa wengine bila kuwa na uhakika na kithibitisho!!! Halafu kwani hapa Duniani kuna MWANAUME kaumbwa bila wivu? au kujitetea ? au kulinda mamluki wake? huyo kwali atakuwa AFRICAN MAN (rijali)???!! pale unaposema eti walibaka bibi zetu !! yaani Mababu walikuwa wakitazama na kunyamazia tu? Hao hao ulosema wamtuletea Dini ? na Mleta dini aje kutoka kwao kuja kubaka mwanamke wa watu?!!!!!!!!!!! Wewe murukulazo nafikiri una Mkuruzo akilini..... hizo habari umezikurupusha bila kujua upo na great thinkers humu !! nenda kajiulize mara kadha hiyo kasumba ulifunzwa na nani? huo ni uongo kwenye mchana kweupe. kila la heri.
 
Nani ametulaani! Na hapo kabla tulimkosea nini?

Kuhusu wivu, tamaa, na ushamba mwingine kama huo ni kweli waafrika tunao sana, sasa hivi ndivyo tulivyo tangu mababu zetu,
Sasa kwa nini tuliumbwa hivi? Maana si kosa letu, hatukuchagua kuumbwa weusi au kuumbwa na akili ndogo!!
Mkuu NgonepiEee Ninakubaliana nawe..licha ya kujiaminisha kuwa tuna mapungufu yetu Lakini weka imani na uhakika huu kuwa Mungu katupendelea sana katika mengi humu barani afrika, Ona neema na upendeleo tulopewa:- Bara la afika lina utajiri mkubwa, Mazingira poa, Hali ya hewa 24/7 inakubalika kiuchumi na kimaisha, Tuliumbwa na Nguvu za mwili wenye uvumilivu wa ngozi yenye kuhimili, wakiafrika ni bora kulikoni mataifa ya ulaya hata Asia.... Sasa kwakuwa mazuri yote yametuelemea Aaaah basi tukaduwaa kwa kusubiri tulishwe!! Amini usiAmini Macho ya Ulimwengu/Dunia nzima yanakodolea Afrika.!!
 
Muda tu nilishakubali kwamba waafrika tumeumbwa dhaifu kulinganisha na binadamu jamii zingine,
Sina uhakika lakini nafikiri jamii ya kiAfrika ndiyo duni kabisa kifikra na kiuwezo wa kujiwezesha kuliko jamii zote Duniani, yaani hata wahindi wanatukalisha!

Naamini kabisa maisha mazuri wanayoishi watu wa Afrika ya kusini wazungu wanahusika kwa asilimia 80, na uwepo wa wazungu unaifanya Afrika kusini kulingana kabisa kiuchumi na nchi nyingi tu za dunia ya kwanza,

Udhaifu wa waafrika weusi unajidhihirisha hata tunapojilinganisha na nchi za kaskazini mwa Afrika zinazokaliwa na jamii kubwa ya kiarabu, tunakuta ndizo ndizo nchi zenye uchumi mzuri zaidi kulinganisha na nchi za waAfrika weusi,

Kwangu nimejikubalisha kwamba hili ni tatizo la waAfrika la kiasili kabisa, yaani tumeumbwa tukiwa dhaifu. Na kwa sababu tumeumbwa hivi nadhani maisha yetu au uchumi wetu ukiacha mtu mmoja mmoja hautastawi kamwe kulinganisha na jamii ya binadamu wasio waafrika!!

Nchi zetu zina kila rasilimali na sababu ya kuinua uchumi kufanya kila mwafrika aishi maisha bora, lakini mambo ni magumu kabisa Afrika.
Tuna tatizo la kiasili kabisa!!

Ni kweli kabisa mkuu ulivyosema. Mwezi uliopita rais Zuma alikuwa akizindua barabara flan huko Guateng na katika hotuba yake alisema "South Africans should not think like Africans in Africa..." nadhani hadi hapo umeelewa alikuwa anamaanisha nini.

Japo watu walipiga kelele sana kuhusu hotuba ile lakini ina ukweli mchungu ndani yake. Mawazo ya vingozi wetu ni finyu kuliko ya kuku. Ni wabinafsi wanao waza leo tu bila kujali maslahi mapana ya jamii wanazoziongoza.
 
Mkuu ubuheri na umzima ? Nashukuru kuwa bado upo na ugeugeu kwa sababu unazidi kulalamika na kutupia makosa kwa wengine bila kuwa na uhakika na kithibitisho!!! Halafu kwani hapa Duniani kuna MWANAUME kaumbwa bila wivu? au kujitetea ? au kulinda mamluki wake? huyo kwali atakuwa AFRICAN MAN (rijali)???!! pale unaposema eti walibaka bibi zetu !! yaani Mababu walikuwa wakitazama na kunyamazia tu? Hao hao ulosema wamtuletea Dini ? na Mleta dini aje kutoka kwao kuja kubaka mwanamke wa watu?!!!!!!!!!!! Wewe murukulazo nafikiri una Mkuruzo akilini..... hizo habari umezikurupusha bila kujua upo na great thinkers humu !! nenda kajiulize mara kadha hiyo kasumba ulifunzwa na nani? huo ni uongo kwenye mchana kweupe. kila la heri.

nadhani wewe ndio umekurupuka kujibu nilichoandika bila kukielewa ama hakika akili yako iko short kama jina lako,pole sana mwafrika mwenzangu!
 
Mkuu NgonepiEee Ninakubaliana nawe..licha ya kujiaminisha kuwa tuna mapungufu yetu Lakini weka imani na uhakika huu kuwa Mungu katupendelea sana katika mengi humu barani afrika, Ona neema na upendeleo tulopewa:- Bara la afika lina utajiri mkubwa, Mazingira poa, Hali ya hewa 24/7 inakubalika kiuchumi na kimaisha, Tuliumbwa na Nguvu za mwili wenye uvumilivu wa ngozi yenye kuhimili, wakiafrika ni bora kulikoni mataifa ya ulaya hata Asia.... Sasa kwakuwa mazuri yote yametuelemea Aaaah basi tukaduwaa kwa kusubiri tulishwe!! Amini usiAmini Macho ya Ulimwengu/Dunia nzima yanakodolea Afrika.!!
Kuhusu mazingira kwa kweli Mungu ametupendelea sana WaAfrika hili hatubishani mkuu.
Tuna kila kitu Afrika kama ni kuhusu rasilimali, kama ingekuwa kuendelea kiuchumi kunategemea rasilimali tu sisi Afrika tusingekuwa na utofauti na Russia,Marekani ma mataifa mengine tajiri kiuchumi.
Lakini pamoja na majaaliwa haya yote, kuna kitu kimoja adhimu muumbaji katunyima! Hata upewe kila kitu kama tulivyopewa Afrika kama kichwani huna akili ni buure kabisa!
Kuna kitu tumenyimwa sisi, na sijilaumu kwakweli ila namlaumu muumbaji aliyetuumba hivi sisi waafrika weusi.
 
nadhani wewe ndio umekurupuka kujibu nilichoandika bila kukielewa ama hakika akili yako iko short kama jina lako,pole sana mwafrika mwenzangu!
Tulalamike tu, Hakuna la kufanya ila tulalamike mambo ya uzushi au maudhi wa kupakizia ilimradi tuwe bizee na kulalamaa!!Dunia inaendelea mbele nasi tubaki kulalamika!! Rasilimali na neema tumeikalia miaka 53...salio hilo tumewaachia wajanja !! siye tupo vijiweni kulumbana! Still God bless Afrika... Bado tuna walilia Mababu na mabibi zetu milele..Lakini hatuoni tumesimamia utajiri mkubwa bila kujitambua "tupo wengi kama wewe humu". Good Day.
 
Kuhusu mazingira kwa kweli Mungu ametupendelea sana WaAfrika hili hatubishani mkuu.
Tuna kila kitu Afrika kama ni kuhusu rasilimali, kama ingekuwa kuendelea kiuchumi kunategemea rasilimali tu sisi Afrika tusingekuwa na utofauti na Russia,Marekani ma mataifa mengine tajiri kiuchumi.
Lakini pamoja na majaaliwa haya yote, kuna kitu kimoja adhimu muumbaji katunyima! Hata upewe kila kitu kama tulivyopewa Afrika kama kichwani huna akili ni buure kabisa!
Kuna kitu tumenyimwa sisi, na sijilaumu kwakweli ila namlaumu muumbaji aliyetuumba hivi sisi waafrika weusi.
Mkuu Mpendwa...Usijilaum, Usijijutie, Wala usilalamike na Tafadhali usimlaumu Muumbaji... Kwa hekima na Busara zake Mungu Mtukufu hakika katukirimu wanaAdamu wote sawa na haki ya kimaumbile sawia!! Chukulia BlackAfrican Akizaa na WhiteAmerican tunapata OBAMA !! Mwafirika kwa mwafirka tunapata Best Mwafirika hapo kuna usawa na utimamu.... Tatizo ni namna ya kujiweka na Mazingira tulonayo!! La ajabu akili zetu zipo timamu tunapo amua kuiba Mabilioni na kuweza kujilumbikiza na mali na mamluki!! tunafanya kikamilifu na kwa njia ya kierevu na kugushi kwa hali ya juu kabisa...., Halafu hulka hii inashimiri barani Afrika na Asia tu!! kwa hiyo kwa mtazmo wngu naona tupo Sawa na Umma mwengine wowote. Pamoja na hayo tumejaaliwa humu duniani kila Umma una mtegemea mwenzie kwa jambo moja au linguine, Hakuna amtu aliekamilika. I need yours, You need mines !!
 
Tulalamike tu, Hakuna la kufanya ila tulalamike mambo ya uzushi au maudhi wa kupakizia ilimradi tuwe bizee na kulalamaa!!Dunia inaendelea mbele nasi tubaki kulalamika!! Rasilimali na neema tumeikalia miaka 53...salio hilo tumewaachia wajanja !! siye tupo vijiweni kulumbana! Still God bless Afrika... Bado tuna walilia Mababu na mabibi zetu milele..Lakini hatuoni tumesimamia utajiri mkubwa bila kujitambua "tupo wengi kama wewe humu". Good Day.

hatimaye umeoonyesha kukielewa kile tunachokiongelea hapa sasa,na nimependa uliposema kuwa "tumesimamia utajiri bila kujitambua" sasa hicho ndio tunachokiongelea hapa, na kwanini iwe hivyo kwetu?yaani kwa utajiri, rasimali za hili bara letu waafrika hatukupaswa tuwe hivi tulivyo leo hii,kila kukicha kuomba misaada kwa wenzetu hapo ndipo mimi pamoja na waliochngai tunaoana kuwa waafrika hatuko sawa,labda tu niseme kitu kimoja leo hii kama tunaamua kubadilishana bara yaani wazungu waje afrika na sisi tuende kwao, nakuhakikishia baada ya miaka michache tutaanza kuzamia kurudi afrika...trust me hatupaswi kuwa nyuma kimaendeleo namna hii,watawala wetu ni mfano hai jinsi akili zetu zilivyo yaani ubinafsi,uchoyo,ukatili na upuuzi mwingine mwingi ambao sitaki kuutaja hapa..namalizia kwa kusema tukubali tukatae WAAFRIKA TUNA TATIZO AMBALO BILA SHAKA NI LA KIASILI.
 
Mkuu Mpendwa...Usijilaum, Usijijutie, Wala usilalamike na Tafadhali usimlaumu Muumbaji... Kwa hekima na Busara zake Mungu Mtukufu hakika katukirimu wanaAdamu wote sawa na haki ya kimaumbile sawia!! Chukulia BlackAfrican Akizaa na WhiteAmerican tunapata OBAMA !! Mwafirika kwa mwafirka tunapata Best Mwafirika hapo kuna usawa na utimamu.... Tatizo ni namna ya kujiweka na Mazingira tulonayo!! La ajabu akili zetu zipo timamu tunapo amua kuiba Mabilioni na kuweza kujilumbikiza na mali na mamluki!! tunafanya kikamilifu na kwa njia ya kierevu na kugushi kwa hali ya juu kabisa...., Halafu hulka hii inashimiri barani Afrika na Asia tu!! kwa hiyo kwa mtazmo wngu naona tupo Sawa na Umma mwengine wowote. Pamoja na hayo tumejaaliwa humu duniani kila Umma una mtegemea mwenzie kwa jambo moja au linguine, Hakuna amtu aliekamilika. I need yours, You need mines !!
Mkuu unakubaliana na mimi kwamba Waafrika tuna tatizo la kiakili tena ni la asili, tunaliita ni la asili kwa kuwa mwanzo muumbaji aliumba mabara yote sawa kabisa, yaani kila bara alilipa rasilimali za kutumia kujiendeleza kiuchumi.

Lakini tangu hapo Afrika haijawahi kuwa na maendeleo unayoweza kulinganisha na mabara mengine.

Nataka ukubali pia kwamba kuna tatizo katika uumbwaji mwafrika mweusi! Hatuwalalamikii mababu ila tunajiuliza kwa nini sisi waafrika tuwe duni tangu misingi ya ulimwengu?

Tunaweza kusema labda mababu zetu hawakusoma, lakini sasa mboma tuna maprofesa na bado wao pia wanashiriki kuhujumu Afrika!! Nao pia wanaficha utajiri wetu Ulaya!!!

Hii tamaa, Uroho wa mali, na kutojali wengine pamoja na mengi yafananayo na haya ndio udhaifu Muumbaji aliotuumba nao!

Wote sisi ni binadamu sasa iweje waAfrika tu ndio tuwe na uwezo wa kuwaona wenzetu wanataabika kwa kukosa mfano maji ya kunywa lakini mtu una pipa zima la maji ambayo yalikuwa yenu wote wewe ukalificha na kuwaua wenzio kwa kiu huku wewe huwezi kunywa hilo pipa zima la maji!!!

Tunazitoa wapi hizi tamaa, ujinga na hali tumesoma!! Mungu ilikuwaje waAfrika!!?
 
Mungu,mitume na malaika wote ni ngozi nyeupe! sisi sijui tuliibuka bukaje! Shetani ni ngozi nyeusi! Bila ngozi nyeupe ngozi nyeusi haitambi!
"to be black and poor is normal,but to be white and poor is a tragedy"
 
Huwa nawaza siku tukifanya exchange ya makazi, yaani wazungu wahamie Afrika na Waafrika waende Uzunguni, just kwa muda wa mwaka mmoja tu..sipati picha itakuwaje aisee!? Nahisi waafrika tutachafua system nzima.
 
Hii mada nimeipenda sana
leo,kusema kweli nashukuru kujua kumbe kuna waafrika wenzangu wameliona
hili tatizo la waafrika,haya mambo kwa upande nilianza kuyadadisi miaka
mingi sana iliyopita na watu walinihisi nina walakini kichwani ila
tangu nikiwa mdogo nilishaliona hili kuwa waafrika tuna walakini,hatuko
sawa hata kidogo na ndio tuko hivyo,nakubaliana na waliochangia na
kusema hili ni tatizo la kiasili lakini pia kuna mambo mengine yamezidi
kuchangia kutufanaya tuwe hivi tulivyo leo na mojawapo ni kuabudu miungu
na dini za kuletewa na wakoloni wa kizungu waliokuja kututawala na wale
waliokuwa wakibaka bibi zetu na kuua babu zetu hawa ni waarabu toka
uarabuni,hapo ndipo tulipopoteza kabisa identity yetu,fikra zetu na hata
utashi wetu wa kuitwa binadamu kamili ukapotea na mpaka leo hii
miafrika iko kama mizuzu kwa kuabudu ujinga ulioletwa na hawa
wageni,matokeo yake tumebaki kuwa omba omba,bara haliendelei,maradhi
kila siku,njaa, vita n.k.
waafrika hatuko sawa kichwani,hata tusome vipi bado ni zero
tu..!!

atleast ngono tunaiweza vizuri sana!
 
Mkuu NgonepiEee
Ninakubaliana nawe..licha ya kujiaminisha kuwa tuna mapungufu yetu
Lakini weka imani na uhakika huu kuwa Mungu katupendelea sana katika
mengi humu barani afrika, Ona neema na upendeleo tulopewa:- Bara la
afika lina utajiri mkubwa, Mazingira poa, Hali ya hewa 24/7 inakubalika
kiuchumi na kimaisha, Tuliumbwa na Nguvu za mwili wenye uvumilivu wa
ngozi yenye kuhimili, wakiafrika ni bora kulikoni mataifa ya ulaya hata
Asia.... Sasa kwakuwa mazuri yote yametuelemea Aaaah basi tukaduwaa kwa
kusubiri tulishwe!! Amini usiAmini Macho ya Ulimwengu/Dunia nzima
yanakodolea Afrika.!!

yaani tumepewa nguvu za mwili na si akili! so sad! tunazitumia vipi hizi nguvu za mwili kuzaliana na kupigana! eeeh Mungu tusamehe kama tulikosea sisi au mababu zetu! Mungu tupe nguvu za akili!
 
Huwa nawaza siku tukifanya exchange ya makazi, yaani wazungu wahamie Afrika na Waafrika waende Uzunguni, just kwa muda wa mwaka mmoja tu..sipati picha itakuwaje aisee!? Nahisi waafrika tutachafua system nzima.

Wazungu wakija Afrika sisi tuhamie ulaya yaani tubadilishane mabara bado sisi baada ya muda mfupi tutakuwa maskini na wao baada ya muda mfupi watarudia maisha yao ya kawaida ya utajiri.
Tatizo letu si mali, tatizoletu ni akili kichwani sisi hatuna hata tuwe Maprofesa!!
 
Back
Top Bottom