WaAfrika Tatizo Letu Ni Nini!?

WaAfrika Tatizo Letu Ni Nini!?

Mkuu usisahau pia nigeria kuna kundi la watu ambao ni waumini wa dini fulani na wanaua watu wakiwemo wanawake,watoto wadogo,wanafunzi wa shule na vyuo yote katika jina la dini hiyo na mara nyingi wanapokuwa wanauua wanamtaja huyo mungu wao na mtume wao.......nimejaribu kugusia na hilo ili uone jinsi gani waafrika tunavyoathirika na hizi dini za kuletewa pamoja na umbumbumbu wetu wa kuiga iga mila na tamaduni za watu wa nje,nigeria haipaswi kuwa masikini kwa utajiri uliopo pale ila ndio hivyo tena ni watu weusi wale na inabidi iwe kama walivyo,siasa mbovu,ukatili,wivu,uchoyo,uroho,ulafi,ufisadi,ujinga na kila aina ya taka taka ipo kwenye akili za waafrika
 
With high respect naheshimu maoni na rai yako... lakini ndugu yangu Wakoloni wameondoka miaka zaidi ya 53, Utawala ni wetu lugha ni yetu utamaduni na mila zetu viongozi na wana siasa ni wetu wataalamu ni wetu nchi ipo kwenye mikono yetu!! Huoni hapo kuna utata? Ok nikupe mfano ukichukua Dola kubwa humu kwenye bara la afrika Mf, NIGERIA hao ni watu walosoma na asilimia kubwa ina uwezo wakitaaluma pamoja ni nchi tajiri kuhodhi asilimia kubwa ya Mafuta (oil) yaani uchumi wao hausubiri misaada kama siye hapa!!! Lakini Nigeria imekuwa nchi isiyokuwa na mwelekeo na kuwa nchi yenye umasikini wa kutupa na kupotokwa na maadili ya kijamii!! Hayo yote yemetokana na Uhuni wa kudumu na Ujambazi wa fadhila baina yao!! mungu apishe mbai na sisi tunaelekea huko.!!! Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

Mkuu usisahau pia nigeria kuna kundi la watu ambao ni waumini wa dini fulani na wanaua watu wakiwemo wanawake,watoto wadogo,wanafunzi wa shule na vyuo yote katika jina la dini hiyo na mara nyingi wanapokuwa wanauua wanamtaja huyo mungu wao na mtume wao.......nimejaribu kugusia na hilo ili uone jinsi gani waafrika tunavyoathirika na hizi dini za kuletewa pamoja na umbumbumbu wetu wa kuiga iga mila na tamaduni za watu wa nje,nigeria haipaswi kuwa masikini kwa utajiri uliopo pale ila ndio hivyo tena ni watu weusi wale na inabidi iwe kama walivyo,siasa mbovu,ukatili,wivu,uchoyo,uroh o,ulafi,ufisadi,ujinga na kila aina ya taka taka ipo kwenye akili za waafrika
 
Hoja zake hazina msingi kwa sababu kwa jambo kuliita la ajabu au sio la ajabu inategemea na utamaduni tu. Wewe unafikiri kwa nini anachokifanya mwingine ni ajabu na sio unachofanya wewe??!! Zaidi kuhusu hayo aliyoyaita ni mambo ya ajabu kuna jamii nyingi tu zinayo sio weusi tu, ila saa nyingine wanajaribu kutuaminisha hivyo ili tuendelee kujiona tuko chini ya wazungu. Kwa mfano hebu nenda Amazon kule Brazil uone jamii za ile misitu zinavyoishi ndio utajua waafrika hawako peke yao! Kama ni inferior race basi wasing'ang'ane na blacks tu waunganishe na hayo makundi mengine.

Mkuu, ningekushauri uipitie paper yake yote. Haongelei mambo ya kukaa msituni au mila but ufanyaji kazi wa akili zetu: Mfano akina Abacha, Mobutu na viongozi na wataalamu wengi wanavyamua kuiba rasilimali za wananchi wao na kuwasababishia mateso na vifo kwa maelfu; wanavyoua wananchi wao, na ambavyo kwa miaka zaidi ya 50 wamewafanya wananach wao kuwa mafukara wa kutupwa, wakati wao wamepata elimu sawa na wenzao wa Asia, China na kwingineko. Kwa ufupi anasema ukiwakeka the following races: Wazungu; wachina/Japanes; Wahindi, Waafrika ukawatupa mahali fulani (jangani, msituni etc) ambapo woote wakapewa same resources na kwa kiwango sawasawa, then ukarudi after 20 years kufanya tathmini basi utakuta mwafrika akiwa wa mwisho na akahitimisha kwa kusema kwamba waafrika ni inferior in using thier brain.
 
Mkuu usisahau pia nigeria kuna kundi la watu ambao ni waumini wa dini fulani na wanaua watu wakiwemo wanawake,watoto wadogo,wanafunzi wa shule na vyuo yote katika jina la dini hiyo na mara nyingi wanapokuwa wanauua wanamtaja huyo mungu wao na mtume wao.......nimejaribu kugusia na hilo ili uone jinsi gani waafrika tunavyoathirika na hizi dini za kuletewa pamoja na umbumbumbu wetu wa kuiga iga mila na tamaduni za watu wa nje,nigeria haipaswi kuwa masikini kwa utajiri uliopo pale ila ndio hivyo tena ni watu weusi wale na inabidi iwe kama walivyo,siasa mbovu,ukatili,wivu,uchoyo,uroh o,ulafi,ufisadi,ujinga na kila aina ya taka taka ipo kwenye akili za waafrika
Ndugu Mdini-Murukulazo nimekupata sana.. haijalishi kuzunguka njo uso mbele tutakufahamu tu; Sasa FYI, Boko Haramu ina Umri gani ? Je, Nigeria pekee ndiyo ina utata wa kidini ? Hao waheshimiwa wa Boko haramu walijizaa na kuform kundi hilo kimiujiza au walishinikiwa na Mungu wao? Hayo yote yana Sababu na Siasa Utumbo ndiyo ilchangia mifarakano ya watu kuishi kimakundi !! Tuliza akili yako, Boko Haram was formed in 2002 (recently) yaani juzi tu !!! Na Nigeria ilipata uhuru wake lini ?? Uhuru wao kabla ya miaka 52.
Sasa pima mantiki zako utajua UHUNI na SIASA za kiafrika huwa haujali dini, haujali Udugu, haujali ukabila, haujali jamii, haujali ubinaadamu kwa ujumla.... Mwafirika huchukua RasiliMali zote afu humkabidhi mshauri wake mkuu apeleke huko ULAYA wazilimbikize Eti kwa sababu hapa kwetu hakuna amani....!! licha ya hayo Yeye mwenyewe hakuweka Amani na nchini kwake na hakujenga uaminifu kati ya wananchi wake.!! Sasa wewe sahau kuwa dini imechangia hapo !
Popote panapokuwepo ubinafsi lazima patazaliwa Mpinzani " in every action thr is opposite reaction "
Tusitafute visingizio !! hatuwezi ponyesha magonjwa.
 
ndugu yangu mimi siwezi kuwa mdini kwa sababu sizipendi hizi dini zenu mnazoabudu,si ukristo wala uislamu...uko siko,tatizo lingine kubwa la waafrika ni kuwa hatupendi kuambiwa ukweli,Dr watson aliposema waafrika tuna akili ndogo alijiwa juu dunia nzima na waafrika,wakamuita mwendawazimu lakini cha ajabu dr James watson huyo huyo mtaalamu wa DNA tunaamini kwenye ugunduzi wake wa DNA,na kimsingi waafrika hatutaweza kujitambua kama hatutakubali kuwa akili zetu haziko sawa na hivi vitu vinajidhihirsha kwenye kuiga iga mambo ya nje, watawala wetu wanavyovurunda kila siku, kuuana, vita, magonjwa.......anyway labda tuwe na imani kuwa ipo siku kitakuja kizazi chenye akili nzuri na kuweza kufanya yale ambayo yanatushinda hadi leo hii..nakutakia jumapili njema mkuu!
 
Lets enjoy our sunday brizzzzz!! Pole ndugu yangu kukosa dini, Mie personali napenda DINI lakini usinielewe mie sii Siasa kali wala mshadidiaji !! humtreat my faith kama partner wa maisha na kuwapenda Wanaadamu kwa kuwa wote tunazaana. Ni sisi hapa ndiyo responsible wa kufanya mazuri ili vizazi kijacho kikute roadmap ili waendeleze.. Together tutasimama na kujenga. Kila la kheri, Blessings 2 u always.
 
Mungu tuonee huruma watanzania,maana sisi ni mbumbumbu,hatujui kweli yako.
 
sitaki kuamini kuwa tatizo letu ni Uafrika wetu.....Labda fafanua unamaanisha nini?

Mimi nafikiri ni pale tulipokubali wakoloni watutawale na kutuaminisha kila kilicho chetu kizuri hakifai hadi. Hasa pale tulipoamua kuipokea elimu yao na kuachana na ya kwetu ambayo ilikuwa inatujenga katika misingi ya kusaidiana kama jamii na kupiga hatua ya maendeleo pamoja. Hadi kesho bado tutabaki na viongozi ambao ni wabinafsi wasiojali maslahi ya walio wengi.

Mapinduzi ya kweli yanahitajika katika nyanja zote.
tufundishane na tujiaminishe kwamba sisi sio dhaifu.tuondoe mitaala ya kipuuzi inayotufanisha na nyani.tujiamini na tuache ubinafsi.nitakupa mfano, vipi mbunge aliyetawala sehemu kama mbunge kwa miaka thelathini aahidi kulitengeneza daraja lililo bovu toka mwaka wa kwanza wa utawala wake jimboni.na leo mwaka wa thelathini bado anaomba kura akiahidi kulijenga na bado atashinda uchaguzi.ni akili iliyokosa fikra ya kiafrika ya kumtegemea mwingine akusaidie kufikiria.mifano ni mingi na huwakilisha upumbavu na yote hupatikana afrika.tusimamiane tusimamie misingi,na tuache unafiki.kuna shida kwa mwafrika.tubadilike
 
Kind thanks mkuu,Maelezo yako fika kabisa na ukweli; Kuiga sii vibaya.. Muhimu kulinganisha kati ya mazuri yao na mabaya yao!! Tuchukue mema/mazuri na tuache maovu/mabaya kwa kuyatenga pembeni.
" Hatuwezi kubadilika au kabadili umma wa Tanzania; hadi tuanze wenyewe mimi na wewe na fulani,jirani,mitaani, uraiani,maofisini, mashuleni nk. kujibadilisha " ipo kazi !! Nothing is impossible ikiwa tutagawa possibles kwa mafungu hadi kufikia mustakabali mwema.
Good Luck

Nafarijika sana kuona kweli JF kuna Great thinkers, hapo nilipobold ndo penyewe hasa, badala ya kulalamika kama wachangiaji wengine wanavyofanya mimi nadhani tukianza mtu mmoja mmoja na kuonyesha kwa wenzetu tunaweza kufika mahala fulani, it will take time but with dedication and perseverance we can get there. Kila la kheri Mkuu tulisukume tartibu.
 
Mkuu, ningekushauri uipitie paper yake yote. Haongelei mambo ya kukaa msituni au mila but ufanyaji kazi wa akili zetu: Mfano akina Abacha, Mobutu na viongozi na wataalamu wengi wanavyamua kuiba rasilimali za wananchi wao na kuwasababishia mateso na vifo kwa maelfu; wanavyoua wananchi wao, na ambavyo kwa miaka zaidi ya 50 wamewafanya wananach wao kuwa mafukara wa kutupwa, wakati wao wamepata elimu sawa na wenzao wa Asia, China na kwingineko. Kwa ufupi anasema ukiwakeka the following races: Wazungu; wachina/Japanes; Wahindi, Waafrika ukawatupa mahali fulani (jangani, msituni etc) ambapo woote wakapewa same resources na kwa kiwango sawasawa, then ukarudi after 20 years kufanya tathmini basi utakuta mwafrika akiwa wa mwisho na akahitimisha kwa kusema kwamba waafrika ni inferior in using thier brain.
Interesting observations. Hata hivyo bado hajanishawishi kwa sababu, kuna kitu watu wengi tunajisahau, Unapotaka kuzungumzia suala la Mobutu/Abacha na wengineo ni lazima ukumbuke kuangalia aina ya mazingira yaliyotengenezwa. Kumbuka kuwa kipindi Afrika inapata uhuru wazungu bado walikuwa wanaitamani na bado wanaendelea kuitamani na ndio maana walifanya jitihada za makusudi kuwakwamisha viongozi wazalendo waliokuwa na uchungu na nchi zao. Mfano mzuri wa hili ni hayati Patrice Lumumba. Tofauti kubwa kati ya Afrika na Asia ni kwamba Afrika haikuachwa huru hata dakika moja na yeyote aliyejaribu kuwa kikwazo kwa mataifa ya kibeberu alipata shida au kuuawa ndio maana hao kina Mobutu wakaona kheri wapiganie maslahi yao ili wakubalike na "wakubwa" kuliko kupigania nchi zao (If you can't beat them, then join them principle).

Tukiangalia upande wa Asia, kule hakukuwa na chochote cha maana na ndio maana wazungu walipoondoka waliondoka bila kuangalia nyuma, wakawaachia jamaa mataifa yao wajitawale kwa raha zao. Na ndio maana kwa kiasi fulani waliweza kupiga hatua haraka maana hawakuwa wakiingiliwa kama sisi huku Afrika. Waliweza kupanga mipango na kuitekeleza bila tabu japokuwa walihitaji kukopa na kufanya kazi kwa bidii lakini uhuru uliwasaidia sana!

Kwa hiyo huyo jamaa anapotumia hali iliyopo kati ya mtu mweusi na mweupe kulinganisha anakuwa hatendi haki, kwa sababu kwanza kuna waafrika wengi ambao wamefanikiwa katika mazingira magumu sana kulinganisha na hao wazungu ambao kimsingi wana urahisi fulani maana jamii imeshawachukulia ni watu makini. Kwa mfano ukiwa mzungu hata kwa bongo ni rahisi kupewa dili na serikali yetu wenyewe kuliko ukiwa mzawa mswahili (Hii nayo ni systematic psychological disorder ambayo tunatengenezewa bila kujua!). So inabidi ajipange aje kivingine vinginevyo hana hoja bado!!
 
Mjasiria,Nashukuru kwa mchango wako mzuri. Kwanza nianze kwa kusema kwamba sishabikii matokeo ya huu utafiti wa Dr. Watson lakini sijaacha hata mara moja kuhoji akili yangu kwa mambo yanayofanywa na viongozi na wataalamu wenzetu wa kiafrika kwani wakati mwingine huwezi amini kama aloyefanya alitumia akili ya kawaida. Si jambo la ajabu kwa wazungu kuitamani afrika kwa kuwa na rasilimali kibao, kwani hizo ni principles za kawaida kabisa kwenye uchumi. Hata sisi ni kawaida kuona watu kutoka DSM wakikimbilia Morogoro kutafuta mashamba (ardhi nzuri, maji etc). Lakini inakuwa tatizo pale ambapo tuna wasomi tuliowapa dhamana ya kusimamia hizo rasilimali wanapodanganywa na kuingia mikataka feki kwa kudanganywa na vimilioni kadhaa; kwa kisingizio eti kama huwezi kushindana nao basi jiunge nao! hivi hawa wanatofauti gani na akina chifu Mangungu au machifu zetu wa zamani ambao walikuwa wanapewa shanga ili wawauze ndugu zao utumwani? Mandela aliyetutoka majuzi amefungwa miaka 27 ili awakomboe wenzake, je kama angekuwa mbinafsi kama hawa wengine si angevuta mkwanja akaenda kuishi ulaya na kuepukana na mateso yote aliyoyapata?? Nina hakika wazungu watakuwa walijaribu hata kumhonga but atakuwa alikataa. Kwamba bara la Asia halikuwa na chochote ndo maana wazungu hawakuvutiwa nalo ni uthibitisho mwingine wa ulakini wa kutumia akili zetu kwani ni ajabu kwa asiye na rasilimali kupiga hatua kubwa kuliko mwenye rasilimali za kumwaga (yaani ni kama tunazidi kumuunga mkono Dr. Watson!!), kumbuka nchi nyingi za Afrika na Asia zilipata uhuru pamoja na sasa sisi tumeachwa mbali sanaa. Pia kuna hii dhana kwamba umasikini wetu ni matokeo ya wazungu kutuingilia, ambayo huwa tunaitumia kwa upande wa lawama tuu; kwa nini pia tusiseme kuja kwao pia kungetufanya tutumie mwanya huo pia kuiga na kuwa na mikakati mizuri ya kujiendeleza? Au sisi tumeiga tu kuvaa tai, suti, kuongea kimombo, etc? Swala la waafrika wengi wameendelea na kufanikiwa unalipimaje? kwa watu asilimia 5% kuwa na umeme, maji safi, huduma za afya n.k out of 40 milion? kwa watu 2-3 kijijini kuwa na nyumba ya bati wakati the rest kijijini kuwa hoi? kwa watu 100 out of 40 million kuwa na matrioni ya fedha nje ya nchi, fedha ambazo zilipaswa kusaidia kujenga zahanati kupunguza vifo vya mamilioni ya wananchi wenzao? fedha ambazo zingejenga barabara ili mkulima maskini aweze kusafisha mazao yake ili naye angalau awe na uhakika wa kurudi tena shambani? Marais, mawaziri wakuu, na wengineo mara nyingi wana uhakika wa kutunzwa mpaka wafe baada ya utumishi wao, lakini bado wataiba mabilioni ya fedha za wananchi wao (ambazo nyingi ni misaada waliyopewa nje maana wenyewe wameshindwa kuinua uchumi wa nchi zao) na kuzificha nje ya nchi ( na si kuanzisha viwanda ili wenzao wapate ajira angalau waambulie mlo mmoja!!). Abacha aliacha matrilioni (ambayo kamwe asingeweza kuyamaliza!!) huko nje wakati wananchi wake wanakufa, je huyu utendaji wa akili yake uko sawa?

Miaka hamsini na ushee sasa baada ya uhuru, waafrika kwenye nchi nyingi tuna wasomi wengi sana, je bado tunawalaumi tuu wazungu waliotutawala miaka hiyo? Wakati nakua kijijini kwetu kuna jamaa mmoja alikuwa mchapa kazi sana
( anafanya kazi yeye na wake zake wawili na watoto mpaka usiku, ilikuwa ni kawaida kumkuta anaenda shamba kumwagilia usiku kukiwa na mbalamwezi au anatumia tochi, kwani maji yanakuwa mengi na si ya kugombania). Huyu bwana alikuwa mtu wa kwanza kujenga nyumba ya matofali na kuezeka kwa bati, na mali nyingi sana!! watu wakaanza kusema anawanyonya watu damu, ndo maana anafanya kazi usiku na ametajirika, lakini yeye hakujali na aliendelea kupiga kazi na akaendelea sana. Baadhi ya watu wachache waliamua kuwa naye jirani na kwa hakika walianza kuiga na wao wakaanza kufanikiwa, pia wakabaini kwamba hakuwa nyonyadamu. Leo baada ya miaka 30 pale kijijini kuna watu wana maendeleo makubwa kumpita yule bwana. Hivyo nimalizie kwa kusema tuache hiki kisingizio cha wazungu kututawala kwani tumeshaelimika vinginevyo tutaendelea kuthibisha kwamba akili zetu zina walakini.
 
inakuwa tatizo pale ambapo tuna wasomi tuliowapa dhamana ya kusimamia hizo rasilimali wanapodanganywa na kuingia mikataka feki kwa kudanganywa na vimilioni kadhaa; kwa kisingizio eti kama huwezi kushindana nao basi jiunge nao! hivi hawa wanatofauti gani na akina chifu Mangungu au machifu zetu wa zamani ambao walikuwa wanapewa shanga ili wawauze ndugu zao utumwani?

Bado kuna kitu hujaelewa mkuu. Ni kwamba hakuna mtu anayedanganywa isipokuwa mara nyingi unapewa options ambazo zinakuweka kwenye wakati mgumu sana. Jaribu kufuatilia haya masuala vizuri, watu wengi hawaelewi kiundani jinsi hii dunia inavyoendeshwa. Hivi unadhani hawa unaowaita wataalamu wana uhuru hasa wa kuamua yale wanayoyafanya? Hivi unadhani George W. Bush na kampuni yake ya kuchimba dhahabu anapozunguka hapa Afrika kuchukua hizo tenda kuna kiongozi ana ubavu wa kumwambia hapana mzee hatuwezi kukupa mkataba??!! Stop being naive bwana haya mambo ni deep sana (ni suala la nguvu na mamlaka mkuu). Baada ya kusema hayo haina maana kwamba nawatetea hawa viongozi, nachojaribu kukuonesha ni mazingira wanayopewa. Mara nyingi unaambiwe uchague aidha uchukue hilo dili au upotezwe kisiasa. Usione mtu wa maana anapotea kisiasa ghafla ukadhani eti ni kweli kafilisika kisiasa, jua kwamba kuna watu wenye nguvu kubwa ya kupanga njama na kuzifanikisha ili wapate wanachokihitaji. Tukirudi kwa kina Mangungo mkuu haraka sana inabidi usome historia kama inavyoelezwa na waafrika, Achana na kuamini hizi historia za wazungu. Hizo zimeandikwa katika namna ambayo inakufanya uwe na wasi wasi na uwezo wako wa kufikiri. Zimeandikwa kutimiza lengo lile lile la kuwafanya waafrika wajione wako chini ya wazungu. Nakuhakikishia kina Mangungo hawakuwa wajinga kwa kiwango mnachofundishwa kwenye hizi historia zilizoko kwenye mitaala ya shule za Tanzania. Wewe unaambiwa mtu wa kwanza kugundua mlima Kilimanjaro ni mzungu, halafu unakubali kweli??!!!Sasa hizo ndio historia ambazo mimi nasema zimejaa uongo na uzandiki mwingi.
Mandela aliyetutoka majuzi amefungwa miaka 27 ili awakomboe wenzake, je kama angekuwa mbinafsi kama hawa wengine si angevuta mkwanja akaenda kuishi ulaya na kuepukana na mateso yote aliyoyapata?? Nina hakika wazungu watakuwa walijaribu hata kumhonga but atakuwa alikataa.
Soma vizuri tena suala la Mandela utapata ukweli mwingi kuliko unavyojua. Hivi unafikiri Mandela aliamua tu kuwasamehe wazungu?? (Come on you are smarter than this!)
Kwamba bara la Asia halikuwa na chochote ndo maana wazungu hawakuvutiwa nalo ni uthibitisho mwingine wa ulakini wa kutumia akili zetu kwani ni ajabu kwa asiye na rasilimali kupiga hatua kubwa kuliko mwenye rasilimali za kumwaga (yaani ni kama tunazidi kumuunga mkono Dr. Watson!!), kumbuka nchi nyingi za Afrika na Asia zilipata uhuru pamoja na sasa sisi tumeachwa mbali sanaa.
Soma vizuri tena posti yangu hapo juu, nimekwambia kwamba Afrika kamwe haikuachwa huru sasa nashangaa unarudia tena habari ile ile ya kuwa tulipata uhuru sawa na Asia. FYI Afrika hadi leo haiko huru!
Pia kuna hii dhana kwamba umasikini wetu ni matokeo ya wazungu kutuingilia, ambayo huwa tunaitumia kwa upande wa lawama tuu; kwa nini pia tusiseme kuja kwao pia kungetufanya tutumie mwanya huo pia kuiga na kuwa na mikakati mizuri ya kujiendeleza?
Utaigaje wakati hupewi uhuru wa kuiga??!!!! Mkuu it is all about maintaining the status quo. If you are weak, the stronger will fight to make sure you stay where you are. Hata hivyo uko sahihi inabidi tuache kulalamika na tutafute namna ya kujinasua kutoka katika makucha ya hawa wahuni (Yes I said it ni wahuni maana wanafanya watu kama wewe wajisikie hawana maana kwa kuwaficha ukweli na kuwajaza ujinga kichwani).
Au sisi tumeiga tu kuvaa tai, suti, kuongea kimombo, etc? Swala la waafrika wengi wameendelea na kufanikiwa unalipimaje? kwa watu asilimia 5% kuwa na umeme, maji safi, huduma za afya n.k out of 40 milion? kwa watu 2-3 kijijini kuwa na nyumba ya bati wakati the rest kijijini kuwa hoi? kwa watu 100 out of 40 million kuwa na matrioni ya fedha nje ya nchi, fedha ambazo zilipaswa kusaidia kujenga zahanati kupunguza vifo vya mamilioni ya wananchi wenzao? fedha ambazo zingejenga barabara ili mkulima maskini aweze kusafisha mazao yake ili naye angalau awe na uhakika wa kurudi tena shambani? Marais, mawaziri wakuu, na wengineo mara nyingi wana uhakika wa kutunzwa mpaka wafe baada ya utumishi wao, lakini bado wataiba mabilioni ya fedha za wananchi wao (ambazo nyingi ni misaada waliyopewa nje maana wenyewe wameshindwa kuinua uchumi wa nchi zao) na kuzificha nje ya nchi ( na si kuanzisha viwanda ili wenzao wapate ajira angalau waambulie mlo mmoja!!). Abacha aliacha matrilioni (ambayo kamwe asingeweza kuyamaliza!!) huko nje wakati wananchi wake wanakufa, je huyu utendaji wa akili yake uko sawa?
Mkuu sio kila mwafrika mwenye mafanikio ya kiuchumi ni mwizi, kuna wengine wana hela zao za halali kabisa. Ondoa hii mentality ya kumuona kila mwenye fedha ni fisadi, kuna watu wengi tu wamefanya mambo ya maana na wana ngozi hii hii nyeusi. Na hata hao wazungu kuna sehemu wamewakubali watu kama hawa (Nadhani mifano unayo mingi tu).
Miaka hamsini na ushee sasa baada ya uhuru, waafrika kwenye nchi nyingi tuna wasomi wengi sana, je bado tunawalaumi tuu wazungu waliotutawala miaka hiyo? Wakati nakua kijijini kwetu kuna jamaa mmoja alikuwa mchapa kazi sana
( anafanya kazi yeye na wake zake wawili na watoto mpaka usiku, ilikuwa ni kawaida kumkuta anaenda shamba kumwagilia usiku kukiwa na mbalamwezi au anatumia tochi, kwani maji yanakuwa mengi na si ya kugombania). Huyu bwana alikuwa mtu wa kwanza kujenga nyumba ya matofali na kuezeka kwa bati, na mali nyingi sana!! watu wakaanza kusema anawanyonya watu damu, ndo maana anafanya kazi usiku na ametajirika, lakini yeye hakujali na aliendelea kupiga kazi na akaendelea sana. Baadhi ya watu wachache waliamua kuwa naye jirani na kwa hakika walianza kuiga na wao wakaanza kufanikiwa, pia wakabaini kwamba hakuwa nyonyadamu. Leo baada ya miaka 30 pale kijijini kuna watu wana maendeleo makubwa kumpita yule bwana. Hivyo nimalizie kwa kusema tuache hiki kisingizio cha wazungu kututawala kwani tumeshaelimika vinginevyo tutaendelea kuthibisha kwamba akili zetu zina walakini.
Elimu ipo lakini suala la kuelimika ni jingine. Tatizo la Afrika ni more complicated than how you want to present it here. Linahitaji makala yake kabisa. Nikijaaliwa insha'Allah nitatupia makala nzima kuhusu hili suala maana naona kuna haja ya kuweka vitu into perspective.
 
Tatizo la waswahili ni wachawi wakubwa
 
uchawi na ushirikina uliokithiri within our societies ndio chazo kikubwa cha umaskin tulionao.
kwa waliosoma 90s kurud nyuma nadhan n mashahid jinsi watu waliokuwa bright sana darasani vituko vilikuwa haviishi. mara haoni ubaoni, mara akiingia kwenye mitihan mikono inatetemeka, mara amechanganyikiwa.
tulikuwa tunaharibu assets makini kwa wivu wa kijinga tulionao waafrica.
mfano miji mingi unayosifika kwa uchaw na ushirikina ni duni compare na miji iliyo less in whitchcraft.
mifano mnaijua.
kabla hatujamlaumu mungu na mzungu, hebu turekebishe kwanza hili la ushirikina maofisini, mashuleni, vyuoni na hata mitaani kwan mtu ukionekana tu unapiga hatua ya kimaendeleo sehemu nyingind hata tv tu flat ya led basi ujiandae kupambana na waswahili.
 
Nafarijika sana kuona kweli JF kuna Great thinkers, hapo nilipobold ndo penyewe hasa, badala ya kulalamika kama wachangiaji wengine wanavyofanya mimi nadhani tukianza mtu mmoja mmoja na kuonyesha kwa wenzetu tunaweza kufika mahala fulani, it will take time but with dedication and perseverance we can get there. Kila la kheri Mkuu tulisukume tartibu.
Yes We Can.... Wandugu kila penye nia pana njia!! ukirudi nyuma maBabu zetu walikuwa wakishirikiana kwa mambo mengi, Nasi tukiamua hatutashindwa.... Kwa muktadha huo tutafanikiwa mambo mazuri na yenye mifano kwa jamii yetu.... We are not the losers!! kwani WaUlaya nao walianzaga with "A,B,C.... to....Z !! Yes we can muhimu nguvu zako na moyo mmoja. Good Luck.
 
Muda tu nilishakubali kwamba waafrika tumeumbwa dhaifu kulinganisha na binadamu jamii zingine,
Sina uhakika lakini nafikiri jamii ya kiAfrika ndiyo duni kabisa kifikra na kiuwezo wa kujiwezesha kuliko jamii zote Duniani, yaani hata wahindi wanatukalisha!

Naamini kabisa maisha mazuri wanayoishi watu wa Afrika ya kusini wazungu wanahusika kwa asilimia 80, na uwepo wa wazungu unaifanya Afrika kusini kulingana kabisa kiuchumi na nchi nyingi tu za dunia ya kwanza,

Udhaifu wa waafrika weusi unajidhihirisha hata tunapojilinganisha na nchi za kaskazini mwa Afrika zinazokaliwa na jamii kubwa ya kiarabu, tunakuta ndizo ndizo nchi zenye uchumi mzuri zaidi kulinganisha na nchi za waAfrika weusi,

Kwangu nimejikubalisha kwamba hili ni tatizo la waAfrika la kiasili kabisa, yaani tumeumbwa tukiwa dhaifu. Na kwa sababu tumeumbwa hivi nadhani maisha yetu au uchumi wetu ukiacha mtu mmoja mmoja hautastawi kamwe kulinganisha na jamii ya binadamu wasio waafrika!!

Nchi zetu zina kila rasilimali na sababu ya kuinua uchumi kufanya kila mwafrika aishi maisha bora, lakini mambo ni magumu kabisa Afrika.
Tuna tatizo la kiasili kabisa!!

Utafiti wangu usio rasmi unanionyesha kuwa maendeleo ya mataifa ktk mfumo rasmi ya uchumi na jamii yanategemea sana elimu yaani elimu ya kisasa ambayo ni bora na yenye uwiano unaotosha wa wanataaluma kuanzia ngazi ya shahada za juu mpaka elimu za kiwango kidogo. Hakuna mbadala wa elimu na ujuzi ktk ushindani wa uchumi na viwango vya maisha. Elimu na taaluma ni mikakati ya nchi na pia haki ya binadamu, hivyo lazima kuwe na balance hapo.

Kwa upande mwingine, maendeleo ni kuzidiana mbinu na ujasiriamali

Upande mwingine ni maadili

Upande mwingini ni ufisadi wa kitaifa na kimataifa

Pamoja na kufanya vibaya waafrika wana tofauti sana kati ya wa bantu, nilotes,Himitic , negroes, hotentots etc. Katika wote, wabantu ndiyo wanyonge zaidi kwa kuwa wengi hawawezi kufanya vizuri bila elimu rasmi.

Nilotes na Hamites in EA for example, elimu rasmi ni ziada tu. Nashauri inaweza kuwa hint ya kuanza kutafakari sababu ya taabu zetu sisi waafrika weusi na hasa wabantu
 
Unaongelea Eritrea,Ethiopia,Somalia,Djibuti etc hawa si wabantu lakini wamechoka mbaya
 
Back
Top Bottom