WaAfrika Tatizo Letu Ni Nini!?

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,291
7,238
Nimesoma The Guardian leo Alhamisi, Nigeria inajikongoja iweze kuzalisha japo 5000MW za umeme kwa watu wake milioni 160 wakati ambapo South Africa inazalisha 40,000MW kwa watu wake milioni 43. Sitaki kuamini weusi wa SA ndio wamefanikisha hilo lililowashinda Nigeria na mafuta yote waliyonayo ni wale tuliowaita makaburu. Ndilo naloliona Tz. Uongozi ni Tatizo kubwa sana! Hakuna mwenye huruma na nchi bali maslahi binafsi!
 
Muda tu nilishakubali kwamba waafrika tumeumbwa dhaifu kulinganisha na binadamu jamii zingine,
Sina uhakika lakini nafikiri jamii ya kiAfrika ndiyo duni kabisa kifikra na kiuwezo wa kujiwezesha kuliko jamii zote Duniani, yaani hata wahindi wanatukalisha!

Naamini kabisa maisha mazuri wanayoishi watu wa Afrika ya kusini wazungu wanahusika kwa asilimia 80, na uwepo wa wazungu unaifanya Afrika kusini kulingana kabisa kiuchumi na nchi nyingi tu za dunia ya kwanza,

Udhaifu wa waafrika weusi unajidhihirisha hata tunapojilinganisha na nchi za kaskazini mwa Afrika zinazokaliwa na jamii kubwa ya kiarabu, tunakuta ndizo ndizo nchi zenye uchumi mzuri zaidi kulinganisha na nchi za waAfrika weusi,

Kwangu nimejikubalisha kwamba hili ni tatizo la waAfrika la kiasili kabisa, yaani tumeumbwa tukiwa dhaifu. Na kwa sababu tumeumbwa hivi nadhani maisha yetu au uchumi wetu ukiacha mtu mmoja mmoja hautastawi kamwe kulinganisha na jamii ya binadamu wasio waafrika!!

Nchi zetu zina kila rasilimali na sababu ya kuinua uchumi kufanya kila mwafrika aishi maisha bora, lakini mambo ni magumu kabisa Afrika.
Tuna tatizo la kiasili kabisa!!
 
Wakati unatafuta tatizo la waafrika lazima utambue tatizo la kwanza ni ule uafrika wenyewe.
 
Wakati unatafuta tatizo la waafrika lazima utambue tatizo la kwanza ni ule uafrika wenyewe.

Hapo hujaeleweka mkuu, tatizo la waAfrika ni uAfrika wenyewe kivipi!
Fafanua kama great thinker mzee!!
 
Muda tu nilishakubali kwamba waafrika tumeumbwa dhaifu kulinganisha na binadamu jamii zingine,
Sina uhakika lakini nafikiri jamii ya kiAfrika ndiyo duni kabisa kifikra na kiuwezo wa kujiwezesha kuliko jamii zote Duniani, yaani hata wahindi wanatukalisha!

Naamini kabisa maisha mazuri wanayoishi watu wa Afrika ya kusini wazungu wanahusika kwa asilimia 80, na uwepo wa wazungu unaifanya Afrika kusini kulingana kabisa kiuchumi na nchi nyingi tu za dunia ya kwanza,

Udhaifu wa waafrika weusi unajidhihirisha hata tunapojilinganisha na nchi za kaskazini mwa Afrika zinazokaliwa na jamii kubwa ya kiarabu, tunakuta ndizo ndizo nchi zenye uchumi mzuri zaidi kulinganisha na nchi za waAfrika weusi,

Yaani utafikiri ukizaliwa mwafrika ni kosa, bado tunaangaika na vitu vya kijinga sana eti huduma kama maji, elimu, chakula, miundo mbinu ya usafiri magonjwa ya kijinga tu orodha ni ndefu sana...wakati tumezungukwa na rasirimali nyingi tu!

Wewe leo tafuta hotel inayotoa huduma mbovu, weka management ya kizungu/weupe hata kama wafanyakazi ni waliwale lakini huduma itabadilika na kuwa bora.

Tafuta sehem wanayotoa huduma nzuri na kama inaendeshwa na weupe/wazungu kisha mlete mweusi, ubora utashuka tu. Sio kwamba nawasifia sana wazungu hila hiyo ndio hali halisi katika maeneo mengi sana.

Nyani Ngabu signature yako nadhani inahusika!
 
Last edited by a moderator:
Japo inauma lakini ndio ukweli wenyewe. Natumia muda wangu mwingi sana kuweza kuelewa kwa nini imekua hivi na sipati majibu ya kuniridhisha.

Ukitafakari kwa viwango vikubwa unagundua Waafrika tumeumbwa dhaifu, amayepingana na hili atakuwa mnafiki tu na asiyeupenda ukweli,

Waafrika hata tuwe na wasomi wa kiwango cha juu kabisa kwenye taifa maendeleo ni ngumu sana kufikiwa.
Tuna hili tatizo la asili ambalo sijui kwa sababu ipi Muumba ametaka tuwe hivi!!
 
Sie tunaangalia leo tu , ponda mali kufa kwaja , hatuna mpangilio wowote wa kusonga mbele ni kupora tu
 
Miongoni mwa mambo yanayotufanya tuwe dhaifu ni kupenda kulalamika bila kutafuta majawabu ya matatizo yetu. Hata kama majawabu tunayo yakihusisha rasilimali watu na vitu,hatuchukui hatua stahiki tukiamini wazungu ndiyo wataweza na watafanya.
Rejea hoja za prof Muhongo vs Mengi juu ya uwekezaji.
 
Ukitafakari kwa viwango vikubwa unagundua Waafrika tumeumbwa dhaifu, amayepingana na hili atakuwa mnafiki tu na asiyeupenda ukweli,

Waafrika hata tuwe na wasomi wa kiwango cha juu kabisa kwenye taifa maendeleo ni ngumu sana kufikiwa.
Tuna hili tatizo la asili ambalo sijui kwa sababu ipi Muumba ametaka tuwe hivi!!

Kuna rafiki yangu mmoja yeye ameenda mbali zaidi, haendi kanisani siku hizi nikimuuliza anasema Mungu anaupendeleo haiwezekani Africa tukawa na hali duni kiasi hiki. Anasema sio kwamba ulaya hawafanyi zinaa ila tatizo la ukimwi sio kama linavyotupelekesha africa.

Ona mfano uwanja wa taifa, umejengwa karibuni tu, lakini njoo miaka mitano kuanzia sasa hivi, hautatamanika wakati kuna viwanja uingereza vimejengwa kitambo lakini ukienda leo hii unatunzwa vizuri tu.
 
Miongoni mwa mambo yanayotufanya tuwe dhaifu ni kupenda kulalamika bila kutafuta majawabu ya matatizo yetu. Hata kama majawabu tunayo yakihusisha rasilimali watu na vitu,hatuchukui hatua stahiki tukiamini wazungu ndiyo wataweza na watafanya.
Rejea hoja za prof Muhongo vs Mengi juu ya uwekezaji.
Tatizo la waafrika si kupenda kulalamika kama unavyodai, kauli za Muhongo kwa mzee Mengi ndio mojawapo ya alama za udhaifu wetu! Mwafrika hata akiitwa profesa bado ni mjinga tu usimwamini!

Tatizo la mwafrika halijaanza leo hii ni la tangia uumbaji, umewahi kujiuliza wageni wakati wanatukamata waAfrika na kwenda kutuuza ng'ambo!! Mwarabu mmoja aliweza kuongoza kundi la watumwa hata mia moja toka Tabora mpaka Bagamoyo bila shida na hatoroki mtu!
Madini ardhi, mito, na kila utajiri wa Afrika wageni walikuja wakagawana bila kupata upinzani wa maana mpaka walipoamua wao kuondoka.

Na pia wasingekuja wageni sisi waAfrika tulikuwa hatujui kama dhahabu au Almasi ni mali! Atukujua Mkonge wala korosho wala nazi, tulikuwa watu wa porini,

Tu
Tunatatizo na nafikiri hili si la kulaumiana na ndio maana mimi nimeliita la asili.
 
Muda tu nilishakubali kwamba waafrika tumeumbwa dhaifu kulinganisha na binadamu jamii zingine,
Sina uhakika lakini nafikiri jamii ya kiAfrika ndiyo duni kabisa kifikra na kiuwezo wa kujiwezesha kuliko jamii zote Duniani, yaani hata wahindi wanatukalisha!

Naamini kabisa maisha mazuri wanayoishi watu wa Afrika ya kusini wazungu wanahusika kwa asilimia 80, na uwepo wa wazungu unaifanya Afrika kusini kulingana kabisa kiuchumi na nchi nyingi tu za dunia ya kwanza,

Udhaifu wa waafrika weusi unajidhihirisha hata tunapojilinganisha na nchi za kaskazini mwa Afrika zinazokaliwa na jamii kubwa ya kiarabu, tunakuta ndizo ndizo nchi zenye uchumi mzuri zaidi kulinganisha na nchi za waAfrika weusi,

Kwangu nimejikubalisha kwamba hili ni tatizo la waAfrika la kiasili kabisa, yaani tumeumbwa tukiwa dhaifu. Na kwa sababu tumeumbwa hivi nadhani maisha yetu au uchumi wetu ukiacha mtu mmoja mmoja hautastawi kamwe kulinganisha na jamii ya binadamu wasio waafrika!!

Nchi zetu zina kila rasilimali na sababu ya kuinua uchumi kufanya kila mwafrika aishi maisha bora, lakini mambo ni magumu kabisa Afrika.
Tuna tatizo la kiasili kabisa!!
Mpendwa NgoneEee; Kwa heshima na taadhima napenda kukujuza
hapo juu uelewe kuwa hizo ni nchi zao na wapo hapo sii kama wamezikalia tu !! bali wanazimiliki na zaidi idadi zao ni kubwa kuliko baki la nchi za sub-sahara... mengine tusijidanganye!! na mengine nakubaliana nawe!! Bara la afrika kubwa na maTaifa yake yana uwasaa wa kabila tofauti. Good luck mkuu.
 
Hapo hujaeleweka mkuu, tatizo la waAfrika ni uAfrika wenyewe kivipi!
Fafanua kama great thinker mzee!!
kwanza mwafrika anajifanya mnyonge na anaonewa sana,pili mwafrika huona kwamba yeye anatakiwa kusaidiwa tu.mwafrika ni msaliti sana.mwafrika ana tamaa mno.mwafrika hapendi kutumia akili zake pekee.hata akiwa na jambo kubwa na zuri huamini kwamba halitatimia bila kumshirikusha mzungu.mtoto wa kiafrika huandaliwa utumwa toka anapokuwa shule.ni mengi kwa kuorodhesha ikibidi nitarejea.
 
Tatizo la waafrika si kupenda kulalamika kama unavyodai, kauli za Muhongo kwa mzee Mengi ndio mojawapo ya alama za udhaifu wetu! Mwafrika hata akiitwa profesa bado ni mjinga tu usimwamini!

Tatizo la mwafrika halijaanza leo hii ni la tangia uumbaji, umewahi kujiuliza wageni wakati wanatukamata waAfrika na kwenda kutuuza ng'ambo!! Mwarabu mmoja aliweza kuongoza kundi la watumwa hata mia moja toka Tabora mpaka Bagamoyo bila shida na hatoroki mtu!
Madini ardhi, mito, na kila utajiri wa Afrika wageni walikuja wakagawana bila kupata upinzani wa maana mpaka walipoamua wao kuondoka.

Na pia wasingekuja wageni sisi waAfrika tulikuwa hatujui kama dhahabu au Almasi ni mali! Atukujua Mkonge wala korosho wala nazi, tulikuwa watu wa porini,

Tu
Tunatatizo na nafikiri hili si la kulaumiana na ndio maana mimi nimeliita la asili.
Mkuu ubuheri au unaota ndoto za mchana mchana ? mbona unajiaminisha uongo ? Hakuna ukweli wala thibitisho hilo "lililotungwa kwa kufundisha elimu ya chekechea , na watoto wa shuleza msingi tumekwisha ishtukia na kuikashifu zamani, huo niutungaji wakikoloni uliyopitwa na wakati " Hebu mafunzo hayo na historiya hiyo waambie wale walotunga vitabu na walimu wao wakawafundishe CHUO-KIKUU au wakawataarifu watawala wa awamu ya kwanza hadi ya nne "eti tuliburuzwa from TB. to Bagamoyo" !! afu waambie waende UN au huko uarabuni wakadai Compensation!! (malipo ya ...........) amka kijana acha kulala!!
 
Wakati unanilaumu na kudai ni historia ya uongo, unatakiwa kuweka hiyo historia ya ukweli unayoifahamu, kinyume na hapo unadhihirisha matatizo ya watu weusi.
Ni wajinga sana!!
 
Wakati unanilaumu na kudai ni historia ya uongo, unatakiwa kuweka hiyo historia ya ukweli unayoifahamu, kinyume na hapo unadhihirisha matatizo ya watu weusi.
Ni wajinga sana!!
WAZUNGU WASEMAVYO JUU YA KIKWETE/
VIONGOZI WA TANZANIA
Ni baadhi tu ya maoni katika habari
iliyochapishwa kwenye gazeti la The Guardian,
la Uingereza, yenye kichwa cha habari, "Davos
2012: All the developments from day two of the
summit".
RichardBrunwick
26 January 2012 2:33PM
Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic
African leaders of our times. He is a peacetime
leader for a country known to be one of the
richest in the world in terms of natural
resources, yet he leades the world with
begging. Foreign companies have known
Tanzania to be a free land in which you can go
in and take all you can without being asked a
question. I really don't get the mind set of its
leaders especially their prsident Mr. Kikwete, a
Muzungu worshiper. Having worked with the
UNDP in that country for 8 years, I realized
how inneficient and corrupt the country's
leadership is. His ministers that requested
bribes from BAE have never been tried despite
the damning evidence against them. British
TAX payers must stop funding this man's
corruptin and foreign trips. His human rights
record is horrible. Mr. Kikwete had no
business of going to Davos to ask for foreign
aid. Already his country is the world third
leading foreign Aid dependant nation. He
should be embarassed to say to the world that
people are poor. His people living "hand to
mouth " is his own is own ignorance and
stupidity.That is hiw own problem, Brits are
having their own problems he must realize
that. We cant bankroll his foreign trips. He
should make good use of his country's wealth.
Instead of letting his corrupt officials and
foreigners loot his country, he needs to think
before letting himself be a global loughing
stock. I read in one of the regional (kenyan)
publication the mockery nature related to his
frequent foreign trips. Palestinian, Haiti,
Lebanon, Somalia and even Rwanda economies
are more robust that of Tanzania. We must
question the nations that welcomes this
"Joker's" request for AID. He needs to be on a
"no-fly" list so he can be serious. Hopefully the
billionaires questions what he has done with
the Money he has received for decades. The
Arab spring should turn into the African
summer and get rid of the Kikwete likes(Latest
US news, world news, sport and comment from
the Guardian | guardiannews.com | The
Guardian discussion/comment-permalink/
14344505)
LindaCroucher
26 January 2012 3:50PM
Response to RichardBrunwick, 26 January
2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state.
He has no credibility. How can a head of state
be bribed suits? We must write Downing Street
and our parliament, and let them know that
Aid to some of these african countries ought to
STOP. nyerere the founding president of
tanzania was a visionary even though his
socialist policies failed, but he was a nationalist
and a true patriot.Kenya, Rwanda, Ghana have
seen far and are on the roll to economic
dependence. Kikwete, and his chrony of rulling
elites getting richer and richer. These people
have no electricity yet the country has so many
dams and rivers. There should be a policy to
bar all corrupt leaders and their children from
stepping into the EU.I dont blame Kikwete, i
blame Tanzaians for letting this happen. They
should be 100% responsible for their poverty
and suffering. We just dont need them to come
for Aid. We have many Brits out of work, and
that money should pay for their Unemployment
Benefit(Latest US news, world news, sport and
comment from the Guardian |
guardiannews.com | The Guardian discussion/
comment-permalink/ 14346120)
LindaCroucher
26 January 2012 4:01PM
African problem is more than foreign aid. They
are not ready for economic transformation. In
Tanznaia today, they have started the
leadership inheritance in which the old guards
passess on the torch to their children. we
should not expect anything serious from
African nations. If it means our money, lets cut
it off. We have so many social problems to deal
with people's own created miserybecause they
will never have free elections without someone
stffing ballot boxes and ready to let the whole
country in flames as long as they remain in
power and their children in top american and
british schools(Latest US news, world news,
sport and comment from the Guardian |
guardiannews.com | The Guardian discussion/
comment-permalink/ 14346365)
Ukitaka kujibu maoni hayo na/au kusoma
mengine, bofya hapa ufuate ukurasa husika
katika The Guardian
 
Mpendwa NgoneEee; Kwa heshima na taadhima napenda kukujuza
hapo juu uelewe kuwa hizo ni nchi zao na wapo hapo sii kama wamezikalia tu !! bali wanazimiliki na zaidi idadi zao ni kubwa kuliko baki la nchi za sub-sahara... mengine tusijidanganye!! na mengine nakubaliana nawe!! Bara la afrika kubwa na maTaifa yake yana uwasaa wa kabila tofauti. Good luck mkuu.

Mkuu nipoandika kuwa nchi za kaskazini mwa Afrika zinakaliwa na waarabu nilitaka kumaanisha watu wanaoishi nchi hizo, nafahamu kuwa si wavamizi ila ni namna tu ya uwasilishaji ndio haukukaa sawa,
Ahsante kwa kuweka sawa hili.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom