Hivi sisi Waafrika tumelaaniwa ama tatizo ni nini haswa?

Ndikwega

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,864
2,000
Kuna Jamo ambalo tangia nilipoanza kujiatambua nilianza kujiuliza. Na swali lenyewe ndiyo hili "Hivi Waafrika (Black People) tumelaaniwa au kuna Tatizo gani katika Vichwa Vyetu"?

1. Kwanini Waafrika ndiyo tuwe na Matatizo saana kwenye maswala ya siasa, hususani katika kuachia madaraka katika uongozi wa Nchi? DRC Sasa hivi watu wanauana kisa, Kabila hataki Kuachia Madaraka, Mseveni Kajimilikisha nchi wapinzani wanakiona cha moto, Kagame kajipa nchi mali ya familia yake, Mukurunzinza ndiyo kabisa mpaka sasa hataki hata kusafiri kwa Kuhofia Kupinduliwa, Mughabe daah sijui alizaliwa na Urais mimi sijui.

Katika woote hao wako radhi mufe wote na vyombo ya dola wabakie wao na wale wanaowaunga mkono. NAOMBA lisitokee Tanzania, japo nao wamejimilikisha Nchi kupitia chama chao.

2.Umasikini kupindukia, Waafrika bila shaka ndiyo Bara lenye Watu wengi mafukara kuliko Bara lingine. Ajabu zaidi ndilo Bara lenye Utajiri wa Rasilimali nyingi kuliko Nchi yoyote.

3. Ndiyo watu wasiyojielewa wengi, yaani Wanaacha kuendeleza Bara lao bali Wakiibia Serikalini wanaenda kuweka fedha Ng'ambo ili na huku wanaishi Afrika.

4. Viongozi Wakiumwa wanaenda Kutibiwa Ulaya na India huku wakisifiwa kuwa Hospitali zimeboreshwa.

5.Viongozi wa Afrika hawataki Kukosolewa, na wangependa Mitandao ya Kijamii isiwepo kwavile inawakosoa wakisahu kuwa Dunia inaenda Mbele na hairudi nyuma. Wanapenda mitandao itumike kwa yale wanayoyataka hii ni sawa kutokula Samaki lakini Mchuzi wake Unakunywa, ajabu.

Sasa najiuliza, haya yoote kwanini sisi, je tuna LAANA au ni nini haswa?
 
Philipo D. Ruzige

Verified Member
Sep 25, 2015
6,426
2,000
Sisi hii rangi yetu ina laana aisee,

Hiv hata hatujifunzi kwa wenzetu .

Juzkat nimeona Mugabe anagombea tena 2018

Saa nyingine nayakubali maneno ya Trump kuwa tunahitaji kutawaliwa tena

Akili zetu hazina akili
 
mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
4,859
2,000
tatizo kubwa ni ujinga wa raia. katika nchi za afrika wananchi wengi sana wamegubikwa na ujinga uliokithiri. Nenda vijijini utaona. Mjini kuna afadhali na ndiko chimbuko la akilil mbadala yaani upinzani. penye nafuu ya ni pale wanachi walipoelimika.
Watawala wanatumia fursa mbili kubwa kubaki madarakani:
1. ujinga wa wanachi
2. vyombo vya dola
 
MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
500
Tatizo sisi ni wachawi, wanga, tuna wivu mbaya, tuna umimi, tuna chukiana na walafi, pia usisahau tuna element za kinyani nyani hivi!!! Nashindwa kuelewa!!!
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,324
2,000
Hushangai Mtu Kung'ang'ania Madaraka Tu Ya Chama Cha Siasa, Unashangaa Kuhusu Madaraka Ya Nchi ?

- Madaraka Ya Chama Cha Siasa Ni Matamu Mpaka Watu Wanakatalia Madarakani Hushangai, Unakuja Kushangaa Mtu Kukatalia Madaraka Ya Nchi

- Dalili Ya Mvua Ni Mawingu.
 
Yoote hayo ni ya kujiuliza pia, au wapi hujaelewa sasa?
 
Ndikwega

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,864
2,000
tatizo kubwa ni ujinga wa raia. katika nchi za afrika wananchi wengi sana wamegubikwa na ujinga uliokithiri. Nenda vijijini utaona. Mjini kuna afadhali na ndiko chimbuko la akilil mbadala yaani upinzani. penye nafuu ya ni pale wanachi walipoelimika.
Watawala wanatumia fursa mbili kubwa kubaki madarakani:
1. ujinga wa wanachi
2. vyombo vya dola
Sasa mkuu, ujinga huu utaisha lini maana hakuna hata dalili ya Mabadiliko na Kwanini iwe Waafrika wawe Waathirika na Ujinga huo?
 
LuSilk

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
784
500
Kuna Jamo ambalo tangia nilipoanza kujiatambua nilianza kujiuliza. Na swali lenyewe ndiyo hili "Hivi Waafrika (Black People) tumelaaniwa au kuna Tatizo gani katika Vichwa Vyetu"?

1. Kwanini Waafrika ndiyo tuwe na Matatizo saana kwenye maswala ya siasa, hususani katika kuachia madaraka katika uongozi wa Nchi? DRC Sasa hivi watu wanauana kisa, Kabila hataki Kuachia Madaraka, Mseveni Kajimilikisha nchi wapinzani wanakiona cha moto, Kagame kajipa nchi mali ya familia yake, Mukurunzinza ndiyo kabisa mpaka sasa hataki hata kusafiri kwa Kuhofia Kupinduliwa, Mughabe daah sijui alizaliwa na Urais mimi sijui.

Katika woote hao wako radhi mufe wote na vyombo ya dola wabakie wao na wale wanaowaunga mkono. NAOMBA lisitokee Tanzania, japo nao wamejimilikisha Nchi kupitia chama chao.

2.Umasikini kupindukia, Waafrika bila shaka ndiyo Bara lenye Watu wengi mafukara kuliko Bara lingine. Ajabu zaidi ndilo Bara lenye Utajiri wa Rasilimali nyingi kuliko Nchi yoyote.

3. Ndiyo watu wasiyojielewa wengi, yaani Wanaacha kuendeleza Bara lao bali Wakiibia Serikalini wanaenda kuweka fedha Ng'ambo ili na huku wanaishi Afrika.

4. Viongozi Wakiumwa wanaenda Kutibiwa Ulaya na India huku wakisifiwa kuwa Hospitali zimeboreshwa.

5.Viongozi wa Afrika hawataki Kukosolewa, na wangependa Mitandao ya Kijamii isiwepo kwavile inawakosoa wakisahu kuwa Dunia inaenda Mbele na hairudi nyuma. Wanapenda mitandao itumike kwa yale wanayoyataka hii ni sawa kutokula Samaki lakini Mchuzi wake Unakunywa, ajabu.

Sasa najiuliza, haya yoote kwanini sisi, je tuna LAANA au ni nini haswa?
UKOSEFU WA ELIMU UNAKUSUMBUA, MATATIZO HAYO YAPO MABARA YOTE DUNIANI SI AFRIKA PEKEE.
 
Kifoi

JF-Expert Member
May 12, 2007
1,121
1,500

sio laana lakini Mungu kawaumba Wafrika wawe ni watumwa hii ndio kazi yao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom