Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

Tunaweza kuwa wasema mengi na tukataa ukweli kuwa sisi waafrika hatuna mapya tunayofanya bali ni kupiga kelele kwa yale yaliyotendeka leo Taifa letu lina sera za chama badala ya sera za Taifa ambazo vyama vingekuwa vinatupa mchanganuo thabiti ya namna ya utekelezaji wa sera za taifa endapo kikishika madaraka ya nchi. Leo tuna serikali inayotekeleza sera za CCM badala ya kuwa na serikali yenye strategic za namna ya kutekeleza sera za Taifa za masuala mbali mbali ya Taifa je hata kama tuna siasa ya vyama vingi kilichotakiwa ni namna chama kimweza vipi kuongoza serikali kutekeleza sera za Kitaifa na siyo sera za chama kinachotawala ambapo mwisho wake tunaambiwa kuwa tukiamua kuchagua chama kingine ni kuwa tunachezea amani ya taifa je hiyo amani ni sera ya CCM ama ni sera ya Taifa kama taifa ambapo chama chochote kinapaswa kuonyesha misingi thabiti ya kuidumisha na siyo kuwa sera ya chama ???

sasa wapinzani pamoja na uchache wao wajenge hoja ya kuwa na sera za taifa zilizopo kwenye katiba ya Jamhuri wakija kwetu watupe mipango ya namna ya utekelezaji siyo sera za chama hiki kina sera hizi na sera zile hatutahitaji kazi iendelee ama kazi ianze tunataka kazi endelevu kufuata misingi tuliyojiwekea kama sera za Taifa !!!
 
That's a very provacative speech from President P.W. Botha. Good post!!

Ndugu yangu kama unasema hiyo posting hapo juu ya P.W BOTHA ni nzuri....Basi hawa MODS NA WAO KAMA KWELI NI WAAFRIKA...BASI UNATAKIWA UFUNGIWE...HUWEZI KUSEMA POSTING YA BOTHA NI NZURI HAPA JF HALAFU USIFUNGIWE.
 
You all forget one things, Roma is not Builds in One days.Hata hao Wazungu wameuona sana kabla ya kufikia walipofikia kwani Vita vya kwanza vya Dunia na Vya Pili alianzisha Mtu Mweusu.Tuacheni Ujinga na Kukubali hoja za Kijinga.Wao wanazungumzia leo lakini wanasahau kuzungumzia ya Nyuma na mabaya wao na jinsi gani wameuona kwa wingi ni Hivi jJuzi tu south Ossetia wameuana !400 kwa siku Tano tu.Sasa nawale warussia pia ni weusi.Tumetawaliwa sawa lakini Tusikubali kuendelewa kutawaliwa na maoni ya kipuuzi hata wao walikuwa wanakula rushwa mpaka walipoweza kupambana nayo na kufanikiwa kuitoa lakini bado Rushwa zipo na ndio maana bado kunascandal ya BAA kwa walewanaofahamu kashfa ya kuuziwa silaha Saudi Arabia.

Sitaki kusema mengi ila ni kweli inabidi tubadilike lakini sio kwa kipindi kifupi kama mnavyozani ndio maana nikasema Roma is not Buils in One day
 
...Utakuta wabongo huku Marekani ambao wakiulizwa na mtu hususan Mmarekani kuwa wanatoka wapi (where are you from?) wanasema eti wanatoka Jamaica? Kwa nini wanadanganya? Je ni kwa sababu wanaona aibu kusema wanatoka Tanzania ambayo iko katika bara la Afrika au wanadhani kutoka Jamaica ni "cool"? Mimi sielewei kabisa kwa nini baadhi ya watu hudanganya namna hii.

Sasa mtu unadanganya unakotoka ili iweje? Is coming from Jamaica supposed to impress somebody or what? Yaani mtu mzima una umri wa miaka thelathini na kitu halafu bado unaona noma kusema unatokea wapi. Na ikitokea siku umeulizwa na Mjamaica aliyeishi hapa Marekani kwa muda mrefu ambaye hana lafudhi ya Kijamaica na wewe ukasema unatokea Jamaica huoni kama utakuwa unajiadhirisha kwa kuongopa? Maana jamaa atakustukia tu kwa sababu Wajamaica wana lafudhi yao iliyo tofauti kabisa la lafudhi za sisi tunaotokea Afrika.

Nyinyi wabongo mnaoishi majimbo ya New York, New Jersey, Georgia, na Florida kuweni waangalifu sana maana Jamaican massive katika hayo majimbo inawakilishwa vizuri. Watu wanaoishi majimbo kama ya Nebraska, Minnesota, North Dakota, na mengine kama hayo wanaweza ku get away na uongo wao lakini huko kwingine nilikokutaja ipo siku uongo wao utawatokea puani.

Halafu nikisema Miafrika Ndivyo...........mnakasirika.
 
I am not lying i did lie one time a while ago thinking nikisema natoka south Africa nita-make sense..then i came to realize kuwa naishushia hadhi nchi yangu kwa kikana kama Yuda..I am proud of my country and i am proud to say it loud I AM FROM TZ babe...

good point Pookie!...
 
See, you're smart....
 
See, you're smart....

Yeah after a meeting with this white man and ask me where i am from nikasema south africa where isn south pretoria then i was done nikashindwa kuendelea ...after few conversation i cme to find out kuwa mzungu kumbe ameishi Dar-es-salaam i felt really bad kuwa i lied na kuikana nchi yangu that i when i realize how stupid i was....Maana nilikuwa nafuata mkumbo...thinking south africa is a smart move.
 
Ahahahahahaha...that was funny! Eti after Pretoria you were done...you didn't know anything else. You know, honesty is undoubtedly the best policy....no bora kuwa mkweli tu maana mwenye kukudharau atakaudhara na mwenyen kukuheshimu atakuheshimu lakini conscience yako haita feel guilty
 
Yeah i was totally out of place maana i know south africa kuna Pretoria then sijui mitaa inaitwaje wala nini aisee nilijisia mdogo sana.Keep in mind kuwa dude knows everywhere and everything about south africa maana ameishi na huko pia hahahaha that was classic kwa kweli...

I wonder kama bado kuna watu wanadanganya about where they come from if they do oooh well two thumbs down...boooooooooooooh!
 
Y SA? nyie watu mnachekesha... I wud never lie about my nationality, or even change it. Tanzania runs in my blood.
 
I am from Tanzania, the land of Chenge, Kagoda, Richmond, IPTL, Loliondogate, the land of Njoo Kesho, The land mlinzi wa ATM ukitoa hela anasema " Mzee sijanywa chai leo " !! The land of Bandari tunazozikalia, the land of Ministers with no job perfomance measures, the land of a Prime Minister who said yesterday " nawaomba msiwe mnanunua VXs" badala ya kupiga marufuku outright !!, the land where a million dollars is called pennies, the land where serious people who question their leaders are accused of hating Christians, or hating Muslims. The land where the President has to travel 500 miles to ask a DC to arrest wanaowapa mimba wanafunzi !!The land where after 30 years contributions to NSSF i am only getting 20K a month pension, The land where you go to work at 10 and out at 10:30 kunywa chai .

LAKINI BADO NAKUPENDA KWA MOYO WOTE TANZANIA.
 
Mi nilishazama mitaa ya kati hapo Yale, baada ya gugu gaga, yadi yada and this how Imma do you mama, nikawa tingas, nikaitiwa cab , nikaambiwa dereva mbongo lakini mamaa (mbongo) akasema wabongo wa Mbingu Mpya wambeya sana, especially wakijua wanaweza kuongea Kiswahili na wewe, kwa hiyo niuchune tu.

Kama kweli bwana, cabbie kufika akataka kujua nimetokea wapi.

Nikaua story na kumnyonga twiga bila kamba wala mzozo, nikaona kumbe lomolomo nyingine Kiswazi tu, ukileta ngeli washashi wanagwaya.

Ndiyo siku pekee niliyobadili asili, sehemu nyingine zote nadunda na kuanza intro pengine hata bila kuulizwa utafikiri ninalipwa na Tanzania Tourist Board.
 
Y SA? nyie watu mnachekesha... I wud never lie about my nationality, or even change it. Tanzania runs in my blood.

Read betweens lines dude i told you i was dumb and stupid...brain washed or in other word i was a sell out...halllo wake up inaonekana umetoka usingizini.
 
Mi nilishazama mitaa ya kati hapo Yale, baada ya gugu gaga, yadi yada and this how Imma do you mama, nikawa tingas, nikaitiwa cab , nikaambiwa dereva mbongo lakini mamaa (mbongo) akasema wabongo wa Mbingu Mpya wambeya sana, especially wakijua wanaweza kuongea Kiswahili na wewe, kwa hiyo niuchune tu.

Kama kweli bwana, cabbie kufika akataka kujua nimetokea wapi.

Nikaua story na kumnyonga twiga bila kamba wala mzozo, nikaona kumbe lomolomo nyingine Kiswazi tu, ukileta ngeli washashi wanagwaya.

Ndiyo siku pekee niliyobadili asili, sehemu nyingine zote nadunda na kuanza intro pengine hata bila kuulizwa utafikiri ninalipwa na Tanzania Tourist Board.

Hahahahahaha yako kali ulimdanganya hadi dereva taxi wakati wao ndiyo full kujiachia....strong accent.
 
Back
Top Bottom