Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

Mi nilishazama mitaa ya kati hapo Yale, baada ya gugu gaga, yadi yada and this how Imma do you mama, nikawa tingas, nikaitiwa cab , nikaambiwa dereva mbongo lakini mamaa (mbongo) akasema wabongo wa Mbingu Mpya wambeya sana, especially wakijua wanaweza kuongea Kiswahili na wewe, kwa hiyo niuchune tu.

Kama kweli bwana, cabbie kufika akataka kujua nimetokea wapi.

Nikaua story na kumnyonga twiga bila kamba wala mzozo, nikaona kumbe lomolomo nyingine Kiswazi tu, ukileta ngeli washashi wanagwaya.

Ndiyo siku pekee niliyobadili asili, sehemu nyingine zote nadunda na kuanza intro pengine hata bila kuulizwa utafikiri ninalipwa na Tanzania Tourist Board.

Sasa kuna wale mabrazameni wakiwa wanamtokea demu, let's say wa Kimarekani au ki Brazil...utakuta wanasema eti wanatokea Jamaica. Sasa sijui kwa nini of all countries wanasema Jamaica. I don't know, maybe it's supposed to be a cool thing to hail from Jamaica....
 
Hahahahahaha yako kali ulimdanganya hadi dereva taxi wakati wao ndiyo full kujiachia....strong accent.

Hiyo ilikuwa by special request, watajuana wenyewe wabongo wa huko sie huku Boriquaz na Yardzmen tu.Mambo ya Italz, weekend tunaruka Ocho na MoBay, kwa nini mzee nisijitangaze "Top Shotta" lol
 
Any Bajan chicks there...?
 
...most of Americans dont even know the different btn Jamaica,South Africa or Tanzania,ur just black with accent and thats it...they dont even care about Europe so dont danganya u from there thinking u'll get more respect or somethin like that,Americans are just dumb,stupid & arrogant as they come,to them if ur not an American ur f up!
 
Sasa kuna wale mabrazameni wakiwa wanamtokea demu, let's say wa Kimarekani au ki Brazil...utakuta wanasema eti wanatokea Jamaica. Sasa sijui kwa nini of all countries wanasema Jamaica. I don't know, maybe it's supposed to be a cool thing to hail from Jamaica....

A chu me know Jamaica a di land a food an wata, but a dem no hav' nuttn like a we.

Jamaica wana bauxite na utalii na reggae, Tanzania you name it.Kama unaongelea utajiri wa mailiasili hawawezi kushindana na mkoa mmoja tu wa Tanzania.

Ni mambo ya "usichokijua kitakusumbua"

Bongo nchi nzuri mafisadi tu wanaiharibu.
 
Kuna siku nilicheka sana...kuna dada mmoja aliendaga honeymoon Jamaica. Sasa aliporudi nikamwuliza 'so how was it" akasema 'other than a whole bunch of people who don't use deodorant, it was okay'....hehehehehehe.....nikasema duuuuh!!
 
A chu me know Jamaica a di land a food an wata, but a dem no hav' nuttn like a we.

Jamaica wana bauxite na utalii na reggae, Tanzania you name it.Kama unaongelea utajiri wa mailiasili hawawezi kushindana na mkoa mmoja tu wa Tanzania.

Ni mambo ya "usichokijua kitakusumbua"

Bongo nchi nzuri mafisadi tu wanaiharibu.

Kama mshikaji wangu mmoja anavyosemaga...'bumbaclot'.....
 
...most of Americans dont even know the different btn Jamaica,South Africa or Tanzania,ur just black with accent and thats it...they dont even care about Europe so dont danganya u from there thinking u'll get more respect or somethin like that,Americans are just dumb,stupid & arrogant as they come,to them if ur not an American ur f up!

You have to realize that you are making a sweeping generalization for a population that can range from the hillbillies of the hinterland to the Old moneyed cultured gentlemen of New England whose teenagers read Gibbons and speak French, to the Brooklyn hip hoppers, Upper West Side Soweto liberals who have climbed Mt Kilimanjaro and have had an audience with the Lama types of urbanites and the first generation immigrants.

Bush would say gross overmisgeneralization
 
Hao ndio walewale enzi zao kabla ya kuja huko walikuwa wakiishi Temeke lakini wanashinda kwenye vijiwe vya Masaki na O'bay na wakidai ndiko maskani! 'Watsup', 'watsup' na 'you warer I mean' nyiiiingiiiii!
 
Sasa kuna wale mabrazameni wakiwa wanamtokea demu, let's say wa Kimarekani au ki Brazil...utakuta wanasema eti wanatokea Jamaica. Sasa sijui kwa nini of all countries wanasema Jamaica. I don't know, maybe it's supposed to be a cool thing to hail from Jamaica....

.....lakini sehemu nyingi za watu kusema from Jamaica ni kwenye clubs au ulevini na kutoka Jamaica ni kama line ya kubebea mademu na wengi hata sababu ya maana ya kusema hivyo hawana ni stereo type...sometime kusema i'm from Tanzania demu anakuwa hakuelewi basi focus ya kubeba demu inabadilika wheres is that? na ukiangalia mademu wenyewe ni vitope na walevi tuu bora kuwadanganya tuu....unaonaje wewe ukitumia i'm from NIGERIA,then uje utuambie what happened,nina uhakika utakuwa na story ya kutueleza humu.
 
At the end of the day unaona umeukata kweli umedanganya...I think Nigerian wametuharibu for some reason...Maana every Nigerian ws Born in London but Raised in America..and the funny thing mtu aliyekuwa born in London and raised in America when they open they are mouth and talk yaani ni hell get loose.
 
huwa wakiniuliza "how did you get here" nawaambia "I swam" halafu wananiuliza "do you have houses?" nawaambia "no we live on trees" na wanasema "Really?" kinachofuata nawapigaga makonzi kichwani "stop watching national geographic!!"

and then she would be like "do you like it here?"

na mimi niko "well.. it is different, I can tell you more about my country"..

naye "cool"

halafu niko like "I can tell you a lot more over dinner"...
 
Hao ndio walewale enzi zao kabla ya kuja huko walikuwa wakiishi Temeke lakini wanashinda kwenye vijiwe vya Masaki na O'bay na wakidai ndiko maskani! Watsup, watsup na you warer I mean nyiiiingiiiii!

Ahahahahahahaha aisee umenikumbusha mbali sana babu. Yaani kweli kabisa kuna watu walikuwa wakiishi anga hizo (na hakuna ubaya wowote kuishi huko kwani yote maisha tu) lakini wanashinda Obey...pale kilimanyege na kwingineko. Dizaini katika mawazo yao wakonekana sana mitaa hiyo basi watu watadhani wanaishi huko
 
Siku hizi kuna baadhi ya Waafrica wakiulizwa wanatoka nchi gani huko Africa wanajibu wanatoka KENYA!kisa ni racine ya OBAMA
 
huwa wakiniuliza "how did you get here" nawaambia "I swam" halafu wananiuliza "do you have houses?" nawaambia "no we live on trees" na wanasema "Really?" kinachofuata nawapigaga makonzi kichwani "stop watching national geographic!!"

Sara Palin hajui hata geographic ya Africa so whatever you tell them they do believe you 100 perse.....
Na ukiwaonyesha picha ya Indian ocean wanakwambia umepiga Lake michigan....oooh pleaseeeeeeeeeeeeeee
 
.....lakini sehemu nyingi za watu kusema from Jamaica ni kwenye clubs au ulevini na kutoka Jamaica ni kama line ya kubebea mademu na wengi hata sababu ya maana ya kusema hivyo hawana ni stereo type...sometime kusema i'm from Tanzania demu anakuwa hakuelewi basi focus ya kubeba demu inabadilika wheres is that? na ukiangalia mademu wenyewe ni vitope na walevi tuu bora kuwadanganya tuu....unaonaje wewe ukitumia i'm from NIGERIA,then uje utuambie what happened,nina uhakika utakuwa na story ya kutueleza humu.

Wewe lazima utakuwa ushawahi kutumia hiyo line wewe....sema tu ukweli ndugu yangu

Ila kuwa fair sio mameni tu wanaosemaga I'm from Jamaica....hata mademu wa kiobngo nao....

Nyie akina dada hebu tuambieni....
 
You have to realize that you are making a sweeping generalization for a population that can range from the hillbillies of the hinterland to the Old moneyed cultured gentlemen of New England whose teenagers read Gibbons and speak French, to the Brooklyn hip hoppers, Upper West Side Soweto liberals who have climbed Mt Kilimanjaro and have had an audience with the Lama types of urbanites and the first generation immigrants.

Bush would say gross overmisgeneralization

...didnt i say...... "MOST OF AMERICANS".....
 
Mi nilishazama mitaa ya kati hapo Yale, baada ya gugu gaga, yadi yada and this how Imma do you mama, nikawa tingas, nikaitiwa cab , nikaambiwa dereva mbongo lakini mamaa (mbongo) akasema wabongo wa Mbingu Mpya wambeya sana, especially wakijua wanaweza kuongea Kiswahili na wewe, kwa hiyo niuchune tu.

Kama kweli bwana, cabbie kufika akataka kujua nimetokea wapi.

Nikaua story na kumnyonga twiga bila kamba wala mzozo, nikaona kumbe lomolomo nyingine Kiswazi tu, ukileta ngeli washashi wanagwaya.

Ndiyo siku pekee niliyobadili asili, sehemu nyingine zote nadunda na kuanza intro pengine hata bila kuulizwa utafikiri ninalipwa na Tanzania Tourist Board.

Sasa wewe uliogopa UMBEYA gani kama na wewe si MU-MBEYA?! Au ni mwizi uko uliko huko Yale!? Huwezi kuogopa maneno ya uwongo wakati wewe unajua si kweli. Na huwezi ishi kwa kufikiria watu wanasema nini juu yako. Unless una tatizo. Baki mtanzania mpaka siku ya mwisho Mimi nitabaki hivyo hivyo mpaka nakufa kabisa kabisa.
 
Nyani,

Lakini wale tunaosema tunatoka Tanzania, wapi Tanzania? Dar Es Salaam mbona ndio wengi zaidi hata kama tunatoka kwa mchinja vyura?

Kuna mama mmoja wa Kizungu aliyewahi kusema, mbona Watanzania wote mnatoka Dar tu? Ilikuwa kijembe, alishagundua tunakana tunakotoka.

Uzalendo unaanzia nyumbani kwenu hata kama ni msituni.
 
...didnt i say...... "MOST OF AMERICANS".....

Yeah, but "most of Americans" assumes Americans are homogeneous, at least in their thinking towards this issue, which is exactly what I debunked up there.
 
Back
Top Bottom