Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

Tanzania tumekosa matumaini ktk kila nyanja za ki-maendeleo na tatizo kubwa kuliko lote ni la ki-utawala kuanzia kwa RAIS, MAWAZIRI hadi kwenye halmashauri zetu!! ... ukiongezea na ujinga na ukondoo wetu = UFUKARA, MARADHI, NJAA, VIFO VISIVYO KUWA VYA LAZIMA. Nionavyo mimi ni bora kuhalalisha utawala wa akina sinclair ambao ni wateule waje watutawale na kutuongoza kufika ktk nchi ile ya ahadi!!!!!!
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli na kamwe ukweli hauwezi kubadilika umbo, tabia, sura, kamwe ukweli hauwezi kupotezwa kwa nguvu za upepo, jua, fedha na hata nguvu za giza kama zipo! Tumeshuhudia madudu mengi sana yanafanyika ktk nchi yetu Tanzania na mfano mzuri sana nijinsi vyombo vyetu vya habari ie TBC, Magazeti hasa yale yanayomilikiwa na bw ROSTAM AZIZ na yale ya serikali yalivyokuwa yanajaribu bila ya mafanikio kupotosha umma na pengine kujaribu kuleta hali ya kutoelewana miongoni mwa watanzania... kwanini tusikubaliane na haya maneno?;

"Blacks cannot rule themselves. Give them guns and
they will kill each other. They are good in nothing

else but making noise, dancing, marrying many wives
and indulging in sex. Let us all accept that the
Black man is the symbol of poverty, mental
inferiority, laziness and emotional
incompetence."
Haya maandishi wayabandike Bungeni Dodoma na Sehemu zote nyeti serikalini, ili kuwakumbushia viongozi wetu kule tulikotoka na kuzidi kurudi kulekule. Maana wengi wameyasoma pahali maishani mwao, ila kwa tamaa zao na kutothamini utaifa wao wameyasahau.
 
Those things are happening today, damn!
 
IT is hard to fathom what has been said by white folks, having been to many countries worldwide,i am sorry to say,there is a grain of truth,that there is something fundamentally wrong with the black man,our priorities,goals and how we interpret life in itself leave much to be desired.a petty example look at the church,in the western world,people go to church cause its what their fathers have been doing over time.in our case we are totally blind to the faith.we are ready to suffer on earth,so that we go to heaven.our places of worship are filled to the brim,whereas church's in europe are empty.
 
Those things are happening today, damn!
... hofu yangu nikuwa hali hii itaendelea pengine mpaka mwisho wa Dunia! Haingii akilini nchi kama Tanzania yenye watu zaidi milioni 40, vyuo vikuu na wahitimu wa fani mbali mbali ... bado tunajiingiza kwenye mikataba mibovu ! tunakubaliana na sera mbalimbali zenye kuinyonya na kuingamiza nchi yetu i.e sera ya madini 1998 iliyoandikwa na world bank na sisi tukaibariki, tukaambiwa tufunge kiwanda chetu cha kusafishia mafuta (TIPER) na tukakifunga ! usalama wa Taifa ukaondolewa meno na kubaki mbwa doko lenye kula kuku wa nyumbani na kufyata mkia wezi waingiapo!...Jamani eeeee! NEVER TOO LATE, bora tukubali kutawaliwa kihalali na hawa wazungu wateule labda machungu yatapungua...
 
you could be right,bora arudi mkoloni,at least all other things being equal,we will stand upright kuliko huu mwendo wa sasa tunaotembelea miguu minne
 
"Black is the raw material for the White man" Haina ubishi kwani Rais wetu alisha onyeshea wazi pale alipo mpatia Master wake Sinclair report ya madini ! kinacho kera zaidi ni kuwa hawa viongozi wetu huwa wanapewa fedha kiduchu na wao hutoa maamuzi yenye kuigharimu nchi trilioni nyingi...
 
Ilboru unanitia aibu sana kama mwanafunzi mwenzako wa Ilboru '93. Are we raw materials!? sometimes you need to blame people and not race because all human originated from Africa and no scientific fact prove rhat any race is superior than the other because brain is the same for white, blacks, and brown. Umenitia aibu sana.
 
Ilboru unanitia aibu sana kama mwanafunzi mwenzako wa Ilboru '93. Are we raw materials!? sometimes you need to blame people and not race because all human originated from Africa and thre's no scientific fact prove any race is superior than the other because brain is the same for white, blacks, and brown. Umenitia aibu sana
 
kamundu,kuukataa ukweli,has been our undoing,dont worry about what science says about the human race,just use your power of observation and look around you,observe carefully-what do you see-exactly what ilboru is saying
 
you could be right,bora arudi mkoloni,at least all other things being equal,we will stand upright kuliko huu mwendo wa sasa tunaotembelea miguu minne

unamtaka mkoloni gani tena? mbona sasa tuna tawaliwa na mkoloni mweusi!
 
YALEYALE,aliyelala usimuamshe,sasa nasikia CELTEL imekuwa ZAIN,tax holiday imeisha au--bora mkoloni arudi tu
 
Hivi sheria ya tax holiday haijakuwa revoked mpaka leo, kama bado ndo maana jamaa wamebadilisha jina na watajifanya wameuza share zao ili wasilipe kodi. This is strange.
 
Ilboru unanitia aibu sana kama mwanafunzi mwenzako wa Ilboru '93. Are we raw materials!? sometimes you need to blame people and not race because all human originated from Africa and thre's no scientific fact prove any race is superior than the other because brain is the same for white, blacks, and brown. Umenitia aibu sana

Hajakutia aibu mkubwa.Maneno ya P.W. Botha ni ya kweli kabisa.Niliwahi kuyasema hapahapa JF watu wakanitolea macho,lakini ukiangalia kwa undani na kusoma neno moja moja utaona yoote yana maana.
 
Ilboru unanitia aibu sana kama mwanafunzi mwenzako wa Ilboru '93. Are we raw materials!? sometimes you need to blame people and not race because all human originated from Africa and thre's no scientific fact prove any race is superior than the other because brain is the same for white, blacks, and brown. Umenitia aibu sana

Mkuu kamudu, heshima yako mkuu! jaribu kujiuliza ni wapi waafrica tumefanikiwa hasa hapa africa!? siyo siri tena kuwa tunaongoza kwa kuchinjana wenyewe! uvivu wetu wa kufikiri imepelekea sisi waafrica kupuuzia ushauri wa kitaalam na kuji-sababishia maafa makubwa na mfano ni kiwanda cha mbolea minjingu kuruhusiwa kuendelea kuzalisha mbolea huku kukiwa na kiasi kikubwa cha mionzi ya uranium!!
... ukweli utabaki kuwa ukweli tu mkuu...
 
...pamoja na kukubaliana na ukweli japo unauma, vile vile chaguo la 'kusuka au kunyoa' limo mikononi mwetu kila baada ya miaka mitano. Your vote can make a difference, use it wisely!

Iwapo kila setbacks utachukulia 'una gundu, mwenyezi mungu hakupenda, una bahati mbaya, nuksi, au mikosi', kweli tutaendelea kubakia watumwa wa akili. Ili kukabiliana na hali hiyo inatulazimu kutafuta alternatives za kutatuza matatizo, badala ya kujilaumu au kumlaumu mtu mwingine, wakati chini ya ngozi, binadamu wote ni sawa.

Vote wisely, Your vote counts! Iwapo wanaopigiwa kura nao wanasua sua, Demokrasia inakuruhusu kujitokeza na kuleta mabadiliko unayoyakusudia. Stand out and be counted.
 
if you think your vote can make a diffrence,think again buddy.whoever you bring in will be the same cheetah in a diffrent skin.optimistic as we may be,it will take time,maybe the next generation for votes to really count,hopefully the day will come
 
That's a very provacative speech from President P.W. Botha. Good post!!
 
Back
Top Bottom