Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,984
wikiendi njema kwenye kupata Kilauri, nyama choma, Ikibinda nkoi na Poozeo la kugombea baa (bamedi kama si changudoa)! Ndivyo tulivyo!
Hapa wote tunaweza, ahsante sana!
wikiendi njema kwenye kupata Kilauri, nyama choma, Ikibinda nkoi na Poozeo la kugombea baa (bamedi kama si changudoa)! Ndivyo tulivyo!
Kwi kwi kwi kwi...
wewe Rev, haya mambo ya kilauri yametoka wapi tena! yaani umeshachoka tayari na unataka kutupa vyote (ugali na mboga).
Huu ni mwanzo tu na ninaamini kuna the whole new generation ya watanzania na waafrika ambayo itabadili haya ila kwa sasa kwa kweli inaumiza kukubaliana na Bundala kuwa waafrika ndivyo tulivyo......
Umesema ukweli mwafrika wa kike. Generation ya sasa ya Tanzania ina mwamko mkubwa na upeo wa kuona mambo ya mbali.
Na reverend anayoyadai yoote hayo yangekuwa au yangetekelezwa "almost to perfection" kama tungekuwa na viongozi na serikali yenye kujali wananchi wake. Haya...viongozi karibu wote wanaishi masaki, o'bay, etc, kwenye barabara maridadi, maji nakadhanlika. sasa watajua shida anopata mtanzania aishie manzese?
Reverend, title ya thred yako ingekuwa hivi.....Viongozi wetu...I mean Serikali ya Tanzania Ndivyo Ilivyo! Everything in your thread is very true for these two entities.
Hakuna cha generation ya sasa wala ya zamani kama ndivyo tulivyo then we can't help it. Mimi mpaka nione mabadiliko ya kweli ktk kila nyanja nitaendelea kuamini Waafrika Ndivyo Tulivyo. I challenge all of you to prove me wrong.
Statement kama hizi ndiyo zinatufanya waafrika tuwe tunazunguka mduara tuuuuu, siku nenda-rudi...POVERTY, HOPELESS, POWERLESS and UNDERDEVELOPED. I do take your challenge sir! I do not believe that Waafrika ndivyo tulivyo! No way!
Mfano, angalia mizigo (baggage) na makovu wanayobeba wamarekani weusi mpaka kesho, unajua ni kwa sababu gani? Ni sababu wamekulia kwenye utumwa, na mpaka sasa wanagandamizwa/kubaguliwa na weupe...the result? See for yourself: welfare, gangsters, jobless, etc. Why, because they have been told that they are "nothing/useless/brainless" and many more things for so long that they actally believe it...they are living it! They have no confidence and have had so many doors closed on their faces that they just give up.
Sasa turudi kwa watanzania.....We have everything at our disposal. What DON't we need? We definitely don't need MAFISADI, that I know for sure. But what do we really need? We need progressive thinking, patriotism and hard work. we don't wanna hear "Waafrika...I mean Watanzania Ndivyo Tulivyo!". Because by agreeing with that statement, is to admit that even YOU are nothing...even what is happening here at JF is nothing. I don't think we are nothing....I KNOW WE ARE SOMETHING!
Duh, Nyani Ngabu wikiendi unaanza na challenge ngumu. Akili inatakiwa itulie mida hii mwanawane.
Rev. Kishoka, preach I say preach. Ila ushindwe kwa jina la......kilauri.
Nalimhola Nkoi.Ulemhola nkwingwa?
Yunic,
Punctuation ya ! as statement badala ya ? as question was done purposely to provoke a discussion.
Nafurahi umeanza kumjibu Nyani kuwa unaweza kupambana na challenge yake.
Lakini tayari naona kusalimu amri kwa kuanza kutupia lawama wengine badala ya watu kuchukua personal accountability.
Swali ni lini tutaacha kulaumu na kuishi kama "ndivyo tulivyo" na kuleta mabadiliko? je wewe uko tayari kuanza mabadiliko ambayo Nyani anayadai kama Tomaso ndipo aamini kwa kuanza badili mwenendo wako wa kuonekana "ndivyo ulivyo"?
The man with the whip asks, Whats your name? The answer comes back, Kunte Kinte. Down comes the whip. And again the question is asked, Whats your name? Defiantly, the answer once more is, Kunte Kinte. Over and over the same thing happens, Whats your name? Whats your name? My name is Kunte Kinte. My name is Kunte Kinte.
The lash keeps falling, and Kunte Kinte keeps proclaiming his name, until, bloodied and crying with pain, he whispers, My name is Toby. The lash comes down again, I didnt hear you. Whats your name? Kunte Kinte raises his voice and says, My name is Toby.
Nalimhola Nkoi.
Mwanakijiji, talk is cheap my friend! Ukatae au usikatae ukweli hautabadilika. Mimi ni mtu mwenye mawazo yaliyo wazi na yaliyofunguka tayari kukaribisha mawazo tofauti na mapya. Kama niliposema hapo awali nitaamini pale tu nitakapoona kwa matendo, kwamba kweli nilivyokuwa nadhania (Ndivyo Tulivyo) sivyo na kwa unyenyekevu nitapiga magoti na kuomba msamaha kuwa nilikuwa nimekosea kudhania nilivyokuwa nadhania. Na ninaposema nitaamini pale nitakapoona simaanishi kuona maroketi ya kwenda mwezini au sayari zingine. La hasha. Nazungumzia mambo ya msingi tu na ambayo wala sio magumu kuyafikia, kwa mfano, kujitosheleza kwa chakula, shule nzuri zenye vifaa, uangamizwaji wa magonjwa ambayo kwa kweli yanawezekana kuangamizwa na yako ndani ya uwezo wetu, n.k n.k.
Maneno matamu na ya ushawishi bila matendo au kitu kionekanacho kuyaunga mkono hayo maneno ni sawa na njozi za mchana. Kama wengi wenu humu mnavyojidai kuwa wahalisia nadhani mtakuwa mmenipata. Zaidi ya hapo mtakana weeeee lakini ukanaji huo utabaki kuwa ni jitihada za kuinua heshima zenu kama wanadamu tu na si zaidi ya hapo.
nobhese ku detroit huku tulimhola! tuliko tukulyaga mbuta; bhasukuma twitanagaka chengu menule!
NN, hivi kile kilichotokea Dodoma hukukiona?... yaani huoni dalili za watu kukataa kwa vitendo mawazo ya "ndivyo tulivyo"? hatujafika tunakotaka kufika na labda itachukua muda kidogo lakini vitendo vya watu kukataa mazoea hayo vimeanza kuonekana. Sasa siwezi kushangaa wengine inachukua muda kidogo kuona na ndio maana wengine inabidi tuvae contacts kuongeza uwezo wetu wa kuona. So, give it time my friend..
Statement kama hizi ndiyo zinatufanya waafrika tuwe tunazunguka mduara tuuuuu, siku nenda-rudi...POVERTY, HOPELESS, POWERLESS and UNDERDEVELOPED. I do take your challenge sir! I do not believe that Waafrika ndivyo tulivyo! No way!
Mfano, angalia mizigo (baggage) na makovu wanayobeba wamarekani weusi mpaka kesho, unajua ni kwa sababu gani? Ni sababu wamekulia kwenye utumwa, na mpaka sasa wanagandamizwa/kubaguliwa na weupe...the result? See for yourself: welfare, gangsters, jobless, etc. Why, because they have been told that they are "nothing/useless/brainless" and many more things for so long that they actally believe it...they are living it! They have no confidence and have had so many doors closed on their faces that they just give up.
Sasa turudi kwa watanzania.....We have everything at our disposal. What DON't we need? We definitely don't need MAFISADI, that I know for sure. But what do we really need? We need progressive thinking, patriotism and hard work. we don't wanna hear "Waafrika...I mean Watanzania Ndivyo Tulivyo!". Because by agreeing with that statement, is to admit that even YOU are nothing...even what is happening here at JF is nothing. I don't think we are nothing....I KNOW WE ARE SOMETHING!
Hii statement ya "Waafrika ndivyo tulivyo" mimi naipinga kwa nguvu zangu zote. Kwanini watu mkubali kujidhalilisha wenyewe!? 😕
Tuna rasilimali chungu nzima ambazo zinawanufaisha wazungu Hapa JF tumegundua kwamba Tanzania sio nchi maskini kama ambavyo viongozi wetu uchwara wanavyotaka tuamini.
Tutakuwaje maskini wakati tunawaona viongozi mafisadi wakiwa mabilionea. Tutakuwaje maskini wakati tunaona makampuni chungu nzima ya kutoka nchi matajiri yanataka 'kuwekeza' Tanzania. Kitu gani kilichowavutia katika nchi hii maskini ya kutupa duniani? 😕
Tuna viongozi uchwara na pia mafisadi lakini waafrika wengi tungependa kuona Waafrika wote wanapiga hatua kubwa kimaendeleo, lakini tatizo letu kubwa ni viongozi uchwara wanaojivika ngozi ya uongozi kila kukicha ili kufanya ufisadi wao.