Wa usoni yametepwereka mno

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
ingekuwa ni msichana mwenye busara basi angeyatafutia nguo itakayo yasitiri kwa njia moja au nyingine

2+%25284%2529.JPG
 
Tatizo ni hao mamoderator hawajui wasichana wavaeje, matokeo ndo hayo watoto wanatia aibu hapa.
 
Kaazi kweli kweli. Hao mamiss vitongoji sijui miss kanda hawana wadhamini wala hawakai camp ya kuleweka, kila mtu anatumia ujuzi/uzoefu wake.
 
afadhali umeona. hiyo gauni hata kama ya kuazima angeipiga dart kila mahali walau imkae. na hizo nyonyo kama amblyoma,lol!kweli ushindi inategemea na washindishwanaji!
hiyo nguo si size yake kwanza .......kwapa ya nguo inataka kufika kiunoni huh!
 
lloooool huyo wapili utadhani samaki anakaangwa
meno ypte 32 nje lool tabasamu la kichina la
uongo
 
Back
Top Bottom