Wa usoni yametepwereka mno

kuna sidiria za aina nyingi kwa nguo tofauti.uadimu wake unasababisha bei kuwa juu.ungewaona hao watoto wanavyohangaika kujiazimia nguo na mawigi ya mashindano ungewaonea huruma.ndo maana wengine wanakuwa desperate kurudisha gharama hadi wanafanya mambo yasiyofaa!
hivi sidiria haziruhusiwi kwenye ulimbwende?
 
Mara nyingi wauza mavazi, vipodozi na hata mawigi hutumia fursa hizi ( BSS,Miss Tz etc) kuwavalisha ili wajitangaze bidhaa zao.Hii inaelezea kwanini hawawezi kupiga darts na mapunguzo mengine ili ziwatoshe vilivyo.
 
Naona huyo wa pili somo la kutabasamu alifeli kama mimi. Ananikumbusha ukaguzi wa meno primary.
 
Sura mbaya kama ngumi,hivi kweli hawa ndo mamisi?,hafu hilo ni tabasamu au kukenua au kuuza meno,ka gunia la mavi,bila shaka hao mamisi walipatikana uwanja wa fisi au kwenye virabu vya pombe za kienyeji,tingisha ngongo n.k lol check sura virisha tumika mpaka basi
 
hivi sidiria haziruhusiwi kwenye ulimbwende?
ofcourse wao wanajua ni vibinti tena visivyo na watoto lakini ukiwafwatilia hawa wana watoto vijijini kwao hapo
wamekandikwa mawanja ma niniliu yale ya kufukia makorogeshen usoni lakini waapi
 
tabasamu ovyoo hafu warembo wenyewe ovyoo utadhani walichukuliwa uwanja wa fisi chek huyo wa kwanza kifua wahuni walishakipiga flat, sijui nani alimdanganya avae hako ka nguo sijui ni over size? manake mavikwapa lol,hya mashindano yanaandaliwa na kina nani? ovyooooo!!!!!!
 
Du kweli tz runafilisika,hawa ndo mamiss?bora turudi kwenye miss bantu @ least kule kuna vituz
 
Back
Top Bottom