Wa usoni yametepwereka mno

hawa wa lundenga wanakuwaga kuku pori, manake hta ushindi ni utata. darts huwa zinatumika sana kwenye nguo hata za kukodisha kwa sababu baadaye zinafumuliwa na nguo inarudi ilivyokuwa. come to think of it, kama duka la nguo (say tausi fashion) ndo wameamua kumdhamini mtu,kwa nini wasimpe mtu nguo ya size yake? na hao wauza nguo wana tabia mbaya kweli ya kung'ang'ania mtu ununue nguo ambayo sio size yako eti utapeleka kwa fundi! tupa kuleee!

Mara nyingi wauza mavazi, vipodozi na hata mawigi hutumia fursa hizi ( BSS,Miss Tz etc) kuwavalisha ili wajitangaze bidhaa zao.Hii inaelezea kwanini hawawezi kupiga darts na mapunguzo mengine ili ziwatoshe vilivyo.
 
tabasamu ovyoo hafu warembo wenyewe ovyoo utadhani walichukuliwa uwanja wa fisi chek huyo wa kwanza kifua wahuni walishakipiga flat, sijui nani alimdanganya avae hako ka nguo sijui ni over size? manake mavikwapa lol,hya mashindano yanaandaliwa na kina nani? ovyooooo!!!!!!
SIPENDI mnavyowazalilisha watu wa uwanja wa fisi kama kwamba huko wanaishi fisi tuuuuuuuuuu!
 
Sasa itabidi tupeleke hata bibi zetu kwenye mashindano ya Mzee mzima Ludenga, huyo kwa kwanza co kwenye nyonyo tu hadi uso unaonekana kama ng'ombe anaemchekelea ndama
 
Back
Top Bottom