supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Mbege hainyweki kirahisi, ni aibu kwa mtu kama messi, kunywa pombe za mwendokasi, labda bia za kidosiMfupi akiwa Messi,Mrisho Ngassa tutamuitaje?:uzito wa balon d'or 5 kwa zake soksi, ila miguu haijapata tege:mpinzani wake CR7 sijui ana mkosi,au anatumia mbege?
Magumashi ya messi kutolipa kodi Spain anapenda vya bure bureMbege hainyweki kirahisi, ni aibu kwa mtu kama messi, kunywa pombe za mwendokasi, labda bia za kidosi
hukohuko ulaya spanish
Sio kwa wachaga moshi
ndizi nyingi mbege magumashi
Wachaga wote wanapenda pesaWachanga ni fighter sana wa maisha, lakini sio wachaga wote
Bure ghali, atalipia na kudaiwa hata kama akistaafu mpiraMagumashi ya messi kutolipa kodi Spain anapenda vya bure bure
Pesa ndio kila kitu ndugu yanguWachaga wote wanapenda pesa
Mpira ulaya sio kitu cha magumashi km bongo mtu una aka 35 unasema 19Bure ghali, atalipia na kudaiwa hata kama akistaafu mpira
Ndugu yangu ameenda kukaanga chipsPesa ndio kila kitu ndugu yangu
chips yai au Kavu?Ndugu yangu ameenda kukaanga chips
Kavu tu mkuu, kachumbari na pilipili kwa mbaliC
chips yai au Kavu?
mbali ndio wapi mkuu, kote ni karibuKavu tu mkuu, kachumbari na pilipili kwa mbali
Karibu sana hakuna haja ya kupanda gari kutoka akiba mpaka posta unatembea kwa mguuM
mbali ndio wapi mkuu, kote ni karibu
Mguu ukiuma tufanyejeKaribu sana hakuna haja ya kupanda gari kutoka akiba mpaka posta unatembea kwa mguu
Je utakuwa tayari ufanyiwe operesheni bila ganziMguu ukiuma tufanyeje
Ganzi atapata akivuta kijiti cha ArushaJe utakuwa tayari ufanyiwe operesheni bila ganzi
Arusha ni jiji kubwa na linasifika kwa watalii wengi na uzuri wa hali ya hewaGanzi atapata akivuta kijiti cha Arusha
Hewa ikichafuliwa darasani ni nomaArusha ni jiji kubwa na linasifika kwa watalii wengi na uzuri wa hali ya hewa
Hali ya hewa ya Arusha ni ya ubaridiArusha ni jiji kubwa na linasifika kwa watalii wengi na uzuri wa hali ya hewa