Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Oct 24, 2016 #18,381 Auz said: 2025 ni mbali, tuombe uzima tuuone huo mwaka Click to expand... Mwaka jana nilijaaliwa biashara yangu kupanda capital nilyoekeza na mwaka huu sijafikia hata nusu !!
Auz said: 2025 ni mbali, tuombe uzima tuuone huo mwaka Click to expand... Mwaka jana nilijaaliwa biashara yangu kupanda capital nilyoekeza na mwaka huu sijafikia hata nusu !!
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 24, 2016 #18,382 Zamiluni Zamiluni said: Mwaka jana nilijaaliwa biashara yangu kupanda capital nilyoekeza na mwaka huu sijafikia hata nusu !! Click to expand... Nusu itafika baada ya mabadiliko ya kiuchumi kukaa sawa
Zamiluni Zamiluni said: Mwaka jana nilijaaliwa biashara yangu kupanda capital nilyoekeza na mwaka huu sijafikia hata nusu !! Click to expand... Nusu itafika baada ya mabadiliko ya kiuchumi kukaa sawa
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Oct 24, 2016 #18,383 supermarket said: Nusu itafika baada ya mabadiliko ya kiuchumi kukaa sawa Click to expand... Sawa sawa nipo napambana na biashara za wauza feki na wachakachuaji wa bidhaa....
supermarket said: Nusu itafika baada ya mabadiliko ya kiuchumi kukaa sawa Click to expand... Sawa sawa nipo napambana na biashara za wauza feki na wachakachuaji wa bidhaa....
Tasbeeh313 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 1,919 Reaction score 2,056 Oct 24, 2016 #18,384 sawa kabisa nimekubali supermarket unaweza ukawa wamwisho kupost katika Uzi huu
gbefa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 3,807 Reaction score 15,846 Oct 24, 2016 #18,385 Pr cure said: sawa kabisa nimekubali supermarket unaweza ukawa wamwisho kupost katika Uzi huu Click to expand... Huu Uzi Mimi gbefa ndio nitakuwa mshindi mwaka 2045 tutakuwa tunezeeka
Pr cure said: sawa kabisa nimekubali supermarket unaweza ukawa wamwisho kupost katika Uzi huu Click to expand... Huu Uzi Mimi gbefa ndio nitakuwa mshindi mwaka 2045 tutakuwa tunezeeka
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Oct 24, 2016 #18,386 gbefa said: Huu Uzi Mimi gbefa ndio nitakuwa mshindi mwaka 2045 tutakuwa tunezeeka Click to expand... Tunazeeka mapema wakati wajukuu wetu bado hatujawaona wakitufuata humu JF !!
gbefa said: Huu Uzi Mimi gbefa ndio nitakuwa mshindi mwaka 2045 tutakuwa tunezeeka Click to expand... Tunazeeka mapema wakati wajukuu wetu bado hatujawaona wakitufuata humu JF !!
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,738 Reaction score 11,645 Oct 24, 2016 #18,387 Tumezeeka na JF inatupa fursa ya kupashana habari, kubadilishana mawazo na kujifunza
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Oct 24, 2016 #18,388 Auz said: Tumezeeka na JF inatupa fursa ya kupashana habari, kubadilishana mawazo na kujifunza Click to expand... Kujifunza ni bora kwa kuwa elimu haina kikomo, kwani kuchangia fikra na wenzio ndiyo mwamko !!
Auz said: Tumezeeka na JF inatupa fursa ya kupashana habari, kubadilishana mawazo na kujifunza Click to expand... Kujifunza ni bora kwa kuwa elimu haina kikomo, kwani kuchangia fikra na wenzio ndiyo mwamko !!
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,738 Reaction score 11,645 Oct 24, 2016 #18,389 Mwamko wa kijijuza mambo yanayotokea sasa kwani kuna mapya kila siku
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Oct 24, 2016 #18,390 Auz said: Mwamko wa kijijuza mambo yanayotokea sasa kwani kuna mapya kila siku Click to expand... Siku zote chini la jua hili hukosi kipya, matukio yamezagaa kila kona !! hadi magazeti hayaCop kuandika kila jamabo !!
Auz said: Mwamko wa kijijuza mambo yanayotokea sasa kwani kuna mapya kila siku Click to expand... Siku zote chini la jua hili hukosi kipya, matukio yamezagaa kila kona !! hadi magazeti hayaCop kuandika kila jamabo !!
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,738 Reaction score 11,645 Oct 24, 2016 #18,391 Jambo la muhimu ni kuzingatia ukweli wa mambo na umuhimu wake mengine ni ya kupuuzia
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 24, 2016 #18,392 Auz said: Jambo la muhimu ni kuzingatia ukweli wa mambo na umuhimu wake mengine ni ya kupuuzia Click to expand... Kupuuzia mambo ya msingi ni kujirudisha nyuma
Auz said: Jambo la muhimu ni kuzingatia ukweli wa mambo na umuhimu wake mengine ni ya kupuuzia Click to expand... Kupuuzia mambo ya msingi ni kujirudisha nyuma
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Oct 24, 2016 #18,393 supermarket said: Kupuuzia mambo ya msingi ni kujirudisha nyuma Click to expand... Nyuma ya pazia kuna mambo mengi yamefichika na kutoeleweka,khaswa wanaSiasa wanapo katiana dili na kuafiki masharti ya mikataba !!!!
supermarket said: Kupuuzia mambo ya msingi ni kujirudisha nyuma Click to expand... Nyuma ya pazia kuna mambo mengi yamefichika na kutoeleweka,khaswa wanaSiasa wanapo katiana dili na kuafiki masharti ya mikataba !!!!
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 24, 2016 #18,394 Zamiluni Zamiluni said: Nyuma ya pazia kuna mambo mengi yamefichika na kutoeleweka,khaswa wanaSiasa wanapo katiana dili na kuafiki masharti ya mikataba !!!! Click to expand... Mikataba mingi ni feki, rasilimali zetu watanzania zinapotea hasa madini
Zamiluni Zamiluni said: Nyuma ya pazia kuna mambo mengi yamefichika na kutoeleweka,khaswa wanaSiasa wanapo katiana dili na kuafiki masharti ya mikataba !!!! Click to expand... Mikataba mingi ni feki, rasilimali zetu watanzania zinapotea hasa madini
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Oct 24, 2016 #18,395 supermarket said: Mikataba mingi ni feki, rasilimali zetu watanzania zinapotea hasa madini Click to expand... Madini yenyewe yapo au yameshaisha tumeachiwa mashimo!
supermarket said: Mikataba mingi ni feki, rasilimali zetu watanzania zinapotea hasa madini Click to expand... Madini yenyewe yapo au yameshaisha tumeachiwa mashimo!
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Oct 24, 2016 #18,396 Zamaulid said: Madini yenyewe yapo au yameshaisha tumeachiwa mashimo! Click to expand... Mashimo ni janga kubwa la mazingira nchini, Ningpendelea wa weke sharti katika mkataba la kutunza na kufukia machimbo baada ya uvunaji..!!!
Zamaulid said: Madini yenyewe yapo au yameshaisha tumeachiwa mashimo! Click to expand... Mashimo ni janga kubwa la mazingira nchini, Ningpendelea wa weke sharti katika mkataba la kutunza na kufukia machimbo baada ya uvunaji..!!!
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 24, 2016 #18,397 Zamaulid said: Madini yenyewe yapo au yameshaisha tumeachiwa mashimo! Click to expand... Mashimo yapo wazi magwangala mchanga umepelekwa nje ya nchi
Zamaulid said: Madini yenyewe yapo au yameshaisha tumeachiwa mashimo! Click to expand... Mashimo yapo wazi magwangala mchanga umepelekwa nje ya nchi
gbefa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 3,807 Reaction score 15,846 Oct 24, 2016 #18,398 supermarket said: Mashimo yapo wazi magwangala mchanga umepelekwa nje ya nchi Click to expand... Nchi imebaki mashimo tupu Dr Jpm yuko busy kufukia tuwe wapole!!!
supermarket said: Mashimo yapo wazi magwangala mchanga umepelekwa nje ya nchi Click to expand... Nchi imebaki mashimo tupu Dr Jpm yuko busy kufukia tuwe wapole!!!
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Oct 24, 2016 #18,399 gbefa said: Nchi imebaki mashimo tupu Dr Jpm yuko busy kufukia tuwe wapole!!! Click to expand... Tuwe wapole kwani maendeleo yanakuja kidogo kidogo
gbefa said: Nchi imebaki mashimo tupu Dr Jpm yuko busy kufukia tuwe wapole!!! Click to expand... Tuwe wapole kwani maendeleo yanakuja kidogo kidogo
atug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,821 Reaction score 3,618 Oct 24, 2016 #18,400 supermarket said: Tuwe wapole kwani maendeleo yanakuja kidogo kidogo Click to expand... Kidogo kidogo ndio mwendo
supermarket said: Tuwe wapole kwani maendeleo yanakuja kidogo kidogo Click to expand... Kidogo kidogo ndio mwendo