Wa mwisho ndiyo mshindi

Muziki wa michael jackson na uchezaji wake kwenye pop ulikuwa ni wa kipekee, uzuri zaidi mimi nimezaliwa 29augst tarehe moja na Michael Jackson
Michael Jackson alifanyiwa operation ya kubadili sura yake ,na ndo mana pua take ilionekana imechongoka, pia kabla ya kufa alibadili dini .......
 
Michael Jackson alifanyiwa operation ya kubadili sura yake ,na ndo mana pua take ilionekana imechongoka, pia kabla ya kufa alibadili dini .......
Dini zinasaidia peace keeping 60% just imagination no fact
 
Dodoma ni mojawapo ya mkoa ambao huko kimaendeleo nyuma sana kulinganisha na mikoa mingine hapa nchini.
Nchini Tz hali ya uchumi imekuwa na utata hasa kwa raia wenye kipato cha chini kama mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…