supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Janga la tetemeko lililowapata ndugu zetu wa kagera na vifo bila kutegemea ni janga kubwa na funzo ni lolote linaweza kutokea kwani hakuna anaejua keshoHii ni fadhila tosha adhimu na neema tuliyopendelewa mbele ya wengi waliyo nyimwa au hata kutofikiriwa robo yake.. Lakini ufujaji wetu umekuwa janga !!!
Kesho !! wasemavo wadhungu "tomorrow never comes" Mungu abishe mbali kila balaa, maana wahanga huathirika kisikolojia na hakuna ahweni !!!Janga la tetemeko lililowapata ndugu zetu wa kagera na vifo bila kutegemea ni janga kubwa na funzo ni lolote linaweza kutokea kwani hakuna anaejua kesho
Ahueni walitegemea kupata kutoka kwenye michango ya wahisani ila mwisho wa siku wameambulia patupu.. dahb. .. Mungu anawaona wote walokula pesa za misaadaKesho !! wasemavo wadhungu "tomorrow never comes" Mungu abishe mbali kila balaa, maana wahanga huathirika kisikolojia na hakuna ahweni !!!
Misaada inatolewa nasikia baadhi ya watu wamepataAhueni walitegemea kupata kutoka kwenye michango ya wahisani ila mwisho wa siku wameambulia patupu.. dahb. .. Mungu anawaona wote walokula pesa za misaada
Wapepata wap angali ahad nying kuliko walichopewaMisaada inatolewa nasikia baadhi ya watu wamepata
Wamepata mpenyo wale wajanja na wahuni kutamalaki misaada ya walengwa !!!Misaada inatolewa nasikia baadhi ya watu wamepata
Walichopewa hata kama nikidogo waridhike nacho huenda serikali haina pesaWapepata wap angali ahad nying kuliko walichopewa
Walichopewa kitagawanywa na wasimamizi walosajiliwa kutoa misaada hiyo, hatimaye mhanga anaambulia robo !!Wapepata wap angali ahad nying kuliko walichopewa
Pesa siyo issue, utoaji na ufikishaji kwa walengwa na kwa wakati maalumu ndiyo issue!!!Walichopewa hata kama nikidogo waridhike nacho huenda serikali haina pesa
Issue nyingine ni nani utamuamin kama atagawa km ipasavyoPesa siyo issue, utoaji na ufikishaji kwa walengwa na kwa wakati maalumu ndiyo issue!!!
Issue vipi wakati watu wamepata misaada nimeona kwenye TV na wanaishukuru serikali kwa msaada ambao wamepewaPesa siyo issue, utoaji na ufikishaji kwa walengwa na kwa wakati maalumu ndiyo issue!!!
Wamepewa haki yao stahili, Shukrani za dhati ziende kwa Serikali yetu na kwa wahisani waliyo jitolea kwa mali na Nafsi zao karimu.....Issue vipi wakati watu wamepata misaada nimeona kwenye TV na wanaishukuru serikali kwa msaada ambao wamepewa
Ipasavyo vipi wakati kuna mama mjane kasaidiwa vifaa vya ujenzi wa nyumbaIssue nyingine ni nani utamuamin kama atagawa km ipasavyo
Wamepewa wachache sanaIssue vipi wakati watu wamepata misaada nimeona kwenye TV na wanaishukuru serikali kwa msaada ambao wamepewa
Sana sana wamepewa wale ambao hawakubweteka na serikali ikawapa msaada kumalizia ujenziWamepewa wachache sana
Ujenzi utasaidiwa ila si asilimia nying ktk Mia labda 20%Sana sana wamepewa wale ambao hawakubweteka na serikali ikawapa msaada kumalizia ujenzi
20% ni kiwango kidogo sana nasikia pesa iliyotolewa na wafadhili ni kiasi kikubwa kwa waliopata janga la tetemekoUjenzi utasaidiwa ila si asilimia nying ktk Mia labda 20%
Tetemeko limewakumbusha serikali kuwa na hifadh dhid ya majanga ya ghafla20% ni kiwango kidogo sana nasikia pesa iliyotolewa na wafadhili ni kiasi kikubwa kwa waliopata janga la tetemeko
Ghafla lilivyotokea watanzania tulipata mshtuko kilichowapata ndugu zetu wa bukobaTetemeko limewakumbusha serikali kuwa na hifadh dhid ya majanga ya ghafla
Bukoba ilikuwa km gumzo hapa Tz na DUNIA NzimaGhafla lilivyotokea watanzania tulipata mshtuko kilichowapata ndugu zetu wa bukoba