supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Kutambulika kupo tu, siku hizi hata heshima kwenye ofisi za uma inapatikana mtu akitaka kukuomba rushwa lazma akuangalie mara mbili mbili asije kupoteza kaziMajipu uchungu hutembea mwilini na kujitokeza sehemu zingine bila kutambulika.....
Kazi iwe ya uaminifu na ukamilifu na siyo ripuaripua ilimradi.....Kutambulika kupo tu, siku hizi hata heshima kwenye ofisi za uma inapatikana mtu akitaka kukuomba rushwa lazma akuangalie mara mbili mbili asije kupoteza kazi
Ilimradi pesa inapatikana vijana wapo tayari kupora na kukaba mfano jana vibaka wawili wamechomwa moto manzese asubuhi walimkaba na kumpiga mapanga mchungaji wawatu alfajiri alikuwa anakwenda kanisani, baadae wakanogewa kuja kumuibia muuza duka kumdhulumu sigara, mmoja wapo ni mwizi maarufu anaitwa rama chogo amekufaKazi iwe ya uaminifu na ukamilifu na siyo ripuaripua ilimradi.....
Amekufa akiwa mwizi basi huyo hatoiona pepoIlimradi pesa inapatikana vijana wapo tayari kupora na kukaba mfano jana vibaka wawili wamechomwa moto manzese asubuhi walimkaba na kumpiga mapanga mchungaji wawatu alfajiri alikuwa anakwenda kanisani, baadae wakanogewa kuja kumuibia muuza duka kumdhulumu sigara, mmoja wapo ni mwizi maarufu anaitwa rama chogo amekufa
Pepo wanaingia watu safi wenye roho nzuri na tabia nzuri wanaofuata maadili ya dini na kuishi na majirani vizuriAmekufa akiwa mwizi basi huyo hatoiona pepo
Havidumu sababu ni vichache na thamani yake ni kubwa japo ukiwa nacho huwezi kukijua na kukithamini ni kizuri mpaka ukikoseVizuri huwa havidumu
Yako ipo ndani ya kabati imetunzwa vizuri..., ifikapo siku ya harusi itatolewa kwa shangwe...Ukikose ili ukitafute na ukikipata ukitumie kwa manufaa yako
Shangwe na vigelegele kwenye harusi ni jambo zuri sana ila asikwambie mtu usiku wa siku ya harusi wanayolala wana ndoa kwa mara ya kwanza ni tamu sana hata vitabu vinaelezea utamu wakeYako ipo ndani ya kabati imetunzwa vizuri..., ifikapo siku ya harusi itatolewa kwa shangwe...
Wake wa marais huitwa FisrtLady...,Shangwe na vigelegele kwenye harusi ni jambo zuri sana ila asikwambie mtu usiku wa siku ya harusi wanayolala wana ndoa kwa mara ya kwanza ni tamu sana hata vitabu vinaelezea utamu wake
First lady anapoolewa na mume wake Mh president huwa hawajui kwamba siku moja katika nchi atakuja kuwa mke wa rais bali uvumilivu wa ndoa na kumpa utulivu mheshimiwa ndo siri kwa wanawake wengine wapate kuigaWake wa marais huitwa FisrtLady...,
Kuiga mwenendo mzuri ndiyo uungwana unaopendeza katika halaiki ya Umma....First lady anapoolewa na mume wake Mh president huwa hawajui kwamba siku moja katika nchi atakuja kuwa mke wa rais bali uvumilivu wa ndoa na kumpa utulivu mheshimiwa ndo siri kwa wanawake wengine wapate kuiga
Umma umeangamia machafu yameongekezeka zinaa imekithiri na ushirikinaKuiga mwenendo mzuri ndiyo uungwana unaopendeza katika halaiki ya Umma....
Wasiowapenda huwauwa kabsa kwa mauchawi yaoUshirikina ndio njia inayoaminiwa na wengi hasa katika kufikia mafanikio na kutesa wenzao wasiowapenda
Yao hao ndiyo yamekuacha upandishe hasira...... !!!Wasiowapenda huwauwa kabsa kwa mauchawi yao
Ushirikina ndio njia inayoaminiwa na wengi hasa katika kufikia mafanikio na kutesa wenzao wasiowapenda
Tu, tulipofikia ndiyo kwanza wewe unakaribia tukasema acha tukusindikize.....Haijafikaga mwisho tu