Wa mwisho ndiyo mshindi

Ardhi sasa imepungua bei lakini cha ajabu wanunuzi wakununua mashamba na ardhi hakuna
Hakuna kwa kuwa watu hawana uhakika na wapi upepo unakwenda, usije kununua ukajikuta vinataifishwa
 
Zile enzi kulikuwa na namba maalum kwa mikoa yetu pia
Pia namba hizo zilitambulika kama ifuatavyo :- TB ni Tabora, MZ ni Mwanza, TG ni Tanga, AR ni Arusha na DS ni Dar es Salaam na mikoa mingine zilifuata hizo taratibu !!!!
 
Reactions: Auz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…