supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Kukipambazuka tutanawa uso, kupiga mswaki na kuendelea na maisha yetu tuongeze juhudi na mipango tutafanikiwa inshallahShamba la bibi limedoda, wajukuu wanavuna matunda yangali mabichi na wajomba wanakatiana ardhi na kupiga bei watakavyo hatimaye kukipambazuka.....
In-Sha-Allah ni neno lenye kudhihirisha "Uwezo wa Mwenyezzi Mungu" katika kututekelezea jambo jema mbeleni, hivyo tujipange kulipokea.....Kukipambazuka tutanawa uso, kupiga mswaki na kuendelea na maisha yetu tuongeze juhudi na mipango tutafanikiwa inshallah
Kulipokea lolote kutoka kwa Mungu ni dalili ya kuwa na imani, ukikosa usikufuru na ukipata shukuruIn-Sha-Allah ni neno lenye kudhihirisha "Uwezo wa Mwenyezzi Mungu" katika kututekelezea jambo jema mbeleni, hivyo tujipange kulipokea.....
Shukuru watu ndiyo umeshukuru Mungu, Aisee ndg.Supamaket wee alwatan wa maskani yepi..?Kulipokea lolote kutoka kwa Mungu ni dalili ya kuwa na imani, ukikosa usikufuru na ukipata shukuru
Yepi yepi ni lahaja za kipwani kama unavyowaona kitang'ata na tumbatu kule ambapo kikongwe hakuwahi kuona gari tangu amezaliwa ndani ya Tanzania hiiShukuru watu ndiyo umeshukuru Mungu, Aisee ndg.Supamaket wee alwatan wa maskani yepi..?
Hii dunia ishakuwa kijiji kimoja kimawasiliano, acha bhana kuwaponda maajuza na mashaibu wetu, kwani kesho nasi tutapinda mgongo !!!!😛😀Yepi yepi ni lahaja za kipwani kama unavyowaona kitang'ata na tumbatu kule ambapo kikongwe hakuwahi kuona gari tangu amezaliwa ndani ya Tanzania hii
Mgongo wao umebeba vizazi vyetu na sisi tutazaa kuendeleza vizazi na vizazi vitaendelea mpaka mwisho wa dunia. Tuwaheshimu wakubwa na viongoziHii dunia ishakuwa kijiji kimoja kimawasiliano, acha bhana kuwaponda maajuza na mashaibu wetu, kwani kesho nasi tutapinda mgongo !!!!😛😀
Viongozi hapaswi kuhadaa wafuasi wake, hii ndiyo kanuni na ilaani ya uongozi !!!Mgongo wao umebeba vizazi vyetu na sisi tutazaa kuendeleza vizazi na vizazi vitaendelea mpaka mwisho wa dunia. Tuwaheshimu wakubwa na viongozi
Uongozi ni wito na kujitolea, ukiona kiongozi anatetea maslahi yake binafsi au ya kikundi fulani ujue huyo sio kiongozi boraViongozi hapaswi kuhadaa wafuasi wake, hii ndiyo kanuni na ilaani ya uongozi !!!
Bora shoe ni kiwanda cha kwanza kutengeneza Viata nchini miaka ya 70~80 bila shaka sasa kina export viatu ng'ambo !!!Uongozi ni wito na kujitolea, ukiona kiongozi anatetea maslahi yake binafsi au ya kikundi fulani ujue huyo sio kiongozi bora
Ng'ambo bidhaa nyingi wanatuletea wao kwa kuimport, ila tuna imani na mabadiliko kwenye Tanzania ya viwandaBora shoe ni kiwanda cha kwanza kutengeneza Viata nchini miaka ya 70~80 bila shaka sasa kina export viatu ng'ambo !!!
Viwanda tutajenga na mali ghafi tutazalisha humu humu kwa uwezo wetu, tukitumia kaulimbiu hii "penye nia pana njia"Ng'ambo bidhaa nyingi wanatuletea wao kwa kuimport, ila tuna imani na mabadiliko kwenye Tanzania ya viwanda
Vipya vitaendelezwa kwa nia ya maendeleo !!Viwanda iwe sera ya awamu zote kuviendeleza, sio akija huyu auze na kuviua, na akija mwingine avihuishe na kuanzisha vipya
Njia ya muongo ni fupi, na penye nia pana njia hivyo nivyema watanzania wote tukaiunga mkono serikali yetu kwenye safari hii ya viwanda kwa pamojaViwanda tutajenga na mali ghafi tutazalisha humu humu kwa uwezo wetu, tukitumia kaulimbiu hii "penye nia pana njia"
Pamoja tunaweza tukiamuaNjia ya muongo ni fupi, na penye nia pana njia hivyo nivyema watanzania wote tukaiunga mkono serikali yetu kwenye safari hii ya viwanda kwa pamoja
Kwa pamoja mie na wewe ndo tumeanza kuungana... ifikapo wengine kuelimika nao wataungana hadi Umma mzima utageuka kuwajibika kuntu !!!Njia ya muongo ni fupi, na penye nia pana njia hivyo nivyema watanzania wote tukaiunga mkono serikali yetu kwenye safari hii ya viwanda kwa pamoja
Tukiamua ni munasaba wa siku kadha za kushikana mkono na kuungana harambee !!Pamoja tunaweza tukiamua
Tukiamua hakuna wa kuturudisha nyuma bali inahitajika kuongeza juhudi na nguvuPamoja tunaweza tukiamua
Harambee harambe mama harambe[emoji445] nyimbo ya siku nyingi umenikumbusha mbali sanaTukiamua ni munasaba wa siku kadha za kushikana mkono na kuungana harambee !!