Wa mwisho ndiyo mshindi

Kudorora kwa shughuli za biashara Tz ni dalili za uchumi kushuka au watu bado hawana uhakika na misimamo ya serikali
 
Kudorora kwa shughuli za biashara Tz ni dalili za uchumi kushuka au watu bado hawana uhakika na misimamo ya serikali
Serikali ina majukumu mengi yaliyozidi uwezo wake, hivyo kutoa ahadi bila kufanikisha..
 
Reactions: Auz
Kufanikisha japo kutumika kwa utaratibu gani hasa juu ya masuala ya biashara, kutawapa watu wengi imani na uhakika wa nini wanafanya.
 
Kipaumbele hakuna kwani taasisi husika pia hazijiamini kufanya maamuzi yoyote yasije yakaenda kinyume na serikali kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…