Wa mwisho ndiyo mshindi

Chache kati ya nyingi nazozifahamu ni kuwa leo ni Jumapili
Jumapili hii ina historiya ya ajabu, Nakumbuka ati tuliwahi pigwa marufuku tusiendeshe magari mchana wa siku ya jumapili ili tusitumie petroli/diseli enzi zile !!
 
Reactions: Auz
Umeshtukiwa na unawatesa wapenda njia za mkato na wababaishaji.
Wababaishaji na wapindishaji sheria wamejaa katika idara za serikali hadi wanaleta kichefuchefu kwa raia wenye kufuatilia miamala yao, Zaidi wahuni hao huanza kazi asubuhi saa nne badala ya saa moja na nusu.....
 
Reactions: Auz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…