Wa mwisho ndiyo mshindi

Mshindi hawezi kutangazwa mpaka apatikane, ila nadhani itakuwa ni mimi.
 
ulingoni hakuna mchanga hapo mtanshinda maana tekniki yangu ni kukumwagia mchanga machoni halafu nakupa kipondo kama cha Jon Cena you cant see me.
 
Ubingwa wataka ufanyiwe mazoezi na nia ya dhati iwepo ili upatikane.
Upatikane unafuu kwa historia nzuri na safi sio tu unasema unataka ubingwa halafu hiyo imani ya kushinda huna sababu unakata tamaa mapema
 
Reactions: Auz
Mapema si sahihi kutabiri ushindi, huu mchezo hauishi leo wala kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…