supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Viwanda ni safari ndefu yenye misukosuko lakini wananchi tunaimani na Mh rais Magufuli tutafikaViwanda vinahitajika barani Afrika kote, Tushirikiane wate bila kutumia jazba, hulka na tabia ya kutimuana na kukana rai na fikra za mwengine, kwani ni kupoteza wakati na mwelekeo wa kujenga taifa la viwanda !!!!
Tutafika pale tu watu au viongoz wakiacha midomo midomo isio na tija kwetu.na wakawa na midomo ya maendereo tu.Viwanda ni safari ndefu yenye misukosuko lakini wananchi tunaimani na Mh rais Magufuli tutafika
Hakai sisimizi kweli sababu ndege zinakaa watu na mizigo na tunajivunia ndege zetu na Tanzania yetututafikaje kwa kununua ndege mbili ndogo hata sisimizi hakai?
yetu? Tanzania yetu? nani amewapa wamalawi ziwa nyasa mpaka leo hii linaitwa ziwa malawi? umeona mpaka ulivyosogezwa? nani aliesogeza ule mpaka kama sio wenye dunia yao? dunia ina wamiliki wake bro sisi yetu pumzi.Hakai sisimizi kweli sababu ndege zinakaa watu na mizigo na tunajivunia ndege zetu na Tanzania yetu
Pumzi zetu ndo afya zetu na rasilimali zetu Tanzania ni za watanzania wote sio za watu wachacheyetu? Tanzania yetu? nani amewapa wamalawi ziwa nyasa mpaka leo hii linaitwa ziwa malawi? umeona mpaka ulivyosogezwa? nani aliesogeza ule mpaka kama sio wenye dunia yao? dunia ina wamiliki wake bro sisi yetu pumzi.
Wachache kati ya watanzania walio wengi ndio wanaofaid keki ya taifa na kundi kubwa kubakia walalahoiPumzi zetu ndo afya zetu na rasilimali zetu Tanzania ni za watanzania wote sio za watu wachache
Walalahoi tunateseka sana likifika swala la kugegedaWachache kati ya watanzania walio wengi ndio wanaofaid keki ya taifa na kundi kubwa kubakia walalahoi
Kugegeda sana mwisho wa siku utapata ukimwiWalalahoi tunateseka sana likifika swala la kugegeda
UKIMWI ni ugonjwa kama magonjwa mengine tuKugegeda sana mwisho wa siku utapata ukimwi
Tendo la ndoa lifanywe na wanandoa ambao wanatambulika msikitini, serikalini au kanisaniTujikinge nao kwan unauwa .tumia kondomu kila tendo
Muumba wa mbingu na ardhi ndo anaepaswa kuabudiwa pekeeKanisani nako kumeingiliwa, watu wanaamini binadamu wenzao kuliko imani yao kwa muumba
Pekee mfalme wa wafalme ndiyo mrithi pekee wa dunia hii kwani sote tutaondoka na hatobaki ispokuwa Muumba !!!Muumba wa mbingu na ardhi ndo anaepaswa kuabudiwa pekee
Muumba anatupa rizki katika maisha yetu ya kila siku kwa viumbe wote pamoja na wadudu, ndege na wanyama. Hakuna mola ila ni yeye pekeePekee mfalme wa wafalme ndiyo mrithi pekee wa dunia hii kwani sote tutaondoka na hatobaki ispokuwa Muumba !!!
Pekee na'am umesema ya makini, zaidi niongeze kuwa Pekee Mungu katupendelea wasaa wa kuzunguka ardhini na bahari na angani kote ili tutafakari !!!Muumba anatupa rizki katika maisha yetu ya kila siku kwa viumbe wote pamoja na wadudu, ndege na wanyama. Hakuna mola ila ni yeye pekee
Tutafakari neema za Mungu alizotupa sisi binadamu mfano pumzi, macho, masikio na akili tunavitumia bure bila kulipia malipoPekee na'am umesema ya makini, zaidi niongeze kuwa Pekee Mungu katupendelea wasaa wa kuzunguka ardhini na bahari na angani kote ili tutafakari !!!
malipo ya refa/Mwamuzi wa mechi Simba na Yanga ni kifungo cha miaka miwili kutochezesha..Tutafakari neema za Mungu alizotupa sisi binadamu mfano pumzi, macho, masikio na akili tunavitumia bure bila kulipia malipo