Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
JF, waweza uliza suali ukapata wa kukujibu (ID zote zipi) ukitaka ubishi nae yupo, ukitaka Supamaket nayo ipo ujinunulie mahitaji.....!!😛Unauliza swali au majibu kama jina lako la uliza nkujibu hapa Jamii Forum
Mahitaji muhimu ya binadamu ni chakula, maji, hewa na makaziJF, waweza uliza suali ukapata wa kukujibu (ID zote zipi) ukitaka ubishi nae yupo, ukitaka Supamaket nayo ipo ujinunulie mahitaji.....!!😛
Makazi ya mji mpya kigamboni yapo tayari.., ila hadi sasa hakuna aliyehamia kutokana na uhaba fulani....Mahitaji muhimu ya binadamu ni chakula, maji, hewa na makazi
Uhaba fulani ndo uhaba upi huo, mimi naona bora watu wahamie dodomaMakazi ya mji mpya kigamboni yapo tayari.., ila hadi sasa hakuna aliyehamia kutokana na uhaba fulani....
Dodoma haina miundombinu ya kubeba wizara na majukumu yote !! Ninashauri tunge tumia 5 years plan (mipango ya miaka 5) kuhakikisha utendaji makini....Uhaba fulani ndo uhaba upi huo, mimi naona bora watu wahamie dodoma
Makini serikalini ipo na huo ushauri wako ndo utakaotumika, walishatangaza ratiba ya wizara kuhamia kidogo kidogo mpaka ifikapo 2020Dodoma haina miundombinu ya kubeba wizara na majukumu yote !! Ninashauri tunge tumia 5 years plan (mipango ya miaka 5) kuhakikisha utendaji makini....
Mwaka 2020 kwa fadhila zake Mungu uwe mwaka wa hitimisho la umasikini !!Makini serikalini ipo na huo ushauri wako ndo utakaotumika, walishatangaza ratiba ya wizara kuhamia kidogo kidogo mpaka ifikapo 2020
Umasikini kuondoka inawezekana hasa kwa uchumi wa taifa, ingawa bado changamoto ni nyingi zinazotakiwa kufanyiwa kaziMwaka 2020 kwa fadhila zake Mungu uwe mwaka wa hitimisho la umasikini !!
Kazi ni kazi kama wasemavyo majirani zetu wakenya....Umasikini kuondoka inawezekana hasa kwa uchumi wa taifa, ingawa bado changamoto ni nyingi zinazotakiwa kufanyiwa kazi
Wakenya wenzetu wapo mbali kimaendeleo inabidi tuige mazuri kutoka kwao hasa ya kukuza uchumiKazi ni kazi kama wasemavyo majirani zetu wakenya....
Uchumi wetu unapanda juu siku baada ya siku, kuna matarajio ya kuongeza kasi ya uzalishaji...Wakenya wenzetu wapo mbali kimaendeleo inabidi tuige mazuri kutoka kwao hasa ya kukuza uchumi
Uzalishaji uongezwe zaidi kwa wakulima na wafugaji ili vijana wapate ajira za kutosha na pia uendane sawa na uwepo wa viwandaUchumi wetu unapanda juu siku baada ya siku, kuna matarajio ya kuongeza kasi ya uzalishaji...
Sana sana tuongeze nguvu katika uzalishaji shughuli zote za uchumi, biashara na kujenga miundo mbinu yetu iwe ya kisasaviwanda badae sana
kisasa kama kwa Mandela, itapendeza.Sana sana tuongeze nguvu katika uzalishaji shughuli zote za uchumi, biashara na kujenga miundo mbinu yetu iwe ya kisasa
Itapendeza pia wabunge wetu wakiongeza nguvu majimboni pamoja na kutetea hoja za maendeleo bungeni na kusimamia maslahi ya watanzaniakisasa kama kwa Mandela, itapendeza.
Watanzania wachache hawajielewi hasa hawa nyumbu wa ukawaItapendeza pia wabunge wetu wakiongeza nguvu majimboni pamoja na kutetea hoja za maendeleo bungeni na kusimamia maslahi ya watanzania
Ukawa nao wana hoja zao za msingi ni vyema serikali ikawasikiliza na kufanyia kazi ili kwa pamoja kufikia Tanzania ya viwandaWatanzania wachache hawajielewi hasa hawa nyumbu wa ukawa
Viwanda vinahitajika barani Afrika kote, Tushirikiane wate bila kutumia jazba, hulka na tabia ya kutimuana na kukana rai na fikra za mwengine, kwani ni kupoteza wakati na mwelekeo wa kujenga taifa la viwanda !!!!Ukawa nao wana hoja zao za msingi ni vyema serikali ikawasikiliza na kufanyia kazi ili kwa pamoja kufikia Tanzania ya viwanda