Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
hiki kitendo cha kujisahau ni dharau kubwa juu ya maisha ya binaadamu hai na mwenye heshima ya kuishi kama MwanaAdam alotukuka..!!Ulazima wa kuwa tayari kwa majanga ya asili ni muhimu, sio kujisahau kiasi hiki
Kirahisi rahisi kumpuuza na kumdharau Mwanadamu mwenzio, ambaye ana thaminiwa na muumbaji alomtukuza na kuweka hai juu ya mgongo wa ardhi, iweje wewe leo upo madarakani usiwa nusuru na kuwa Fariji wanyonge !!!!?Alotukuka na mwenye thamani kwa utu wake, bahati mbaya ametopea kwenye dimbwi la umasikini, anajenga nyumba chini ya viwango, haifanyiwi ukarabati, majanga yakitokea inaanguka kirahisi
Suluhisho lipo kwa mpenda suluhu.., ila ujasirimali upunguziwe vikwazo na urasimu endapo utakapostawi......Wanyonge wasibweteke, umasikini hautaondoka kwa kutegemea misaada, fikra chanya na ujasiriamali ndio suluhisho
Vizuri kwanza ni kujitambua na kuacha ubabaishaji,ujanja na upindishaji.. hadi tuchukue hatua za kujikosoa hadharani.....Jamani tukubali kuwa hatujitambui, nchi gani inategemewa kuendelea bila viwanda na kutegemea misaada? Utandawazi tuliupokea bila ya kuuelewa vizuri.
Kazi imekuwa ngumu sanamchana kutwa wamezunguka na vyeti kuomba kazi
Imara ulikuwepo kabla ya ubinafsi, hapo tulipo ingiliwa na uchu wa madaraka na ufisadi ndipo poromoko likatawala huduma za haki ya mwananchi....
Pumbavu la wote yule aliye enda kuiba nyumba ya wahanga wa tetemeko la ardhi..!!Mwananchi una majukumu pia, sio kukaa kitako ukilalamika, janga likitndeka kwetu Kenya sisi huwa tunalichangamkia kabla ya serikali maana kawaida huwa kuna urasimu pale. Hivi hili shindano la mwisho ndo mshindi bado lipo, nilikuja humu nikakimbizana na wadau hadi nikatoweka mwenyewe, jameni mnajaza server ya watu......
Hahahahahaha hebu nione kama mtaendeleza hii, mimi ni pumbavu
Ardhi yote hii na wasaa wake, utaulizwa ewe bin Adam kuwa ulikosa pahala pa utulivu ili uabudu ipasavyo ?Pumbavu la wote yule aliye enda kuiba nyumba ya wahanga wa tetemeko la ardhi..!!
ipasavyo ni kwenu kuamuaArdhi yote hii na wasaa wake, utaulizwa ewe bin Adam kuwa ulikosa pahala pa utulivu ili uabudu ipasavyo ?
Pumbavu la wote yule aliye enda kuiba nyumba ya wahanga wa tetemeko la ardhi..!!