Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Nadra sana kusikia kama kadhia ya wa kwepa kodi imefika mahakamani, huwa wanamalizana na huko na kuondoka na chao..!!!!Hizi shughuli zinatuzidi wengi, mpaka kuchangia humu inakuwa kwa nadra.
Nimeshinda mchana kutwa bila kula ...Nimeshindaaaa
Chao kukiingiza katika mfuko wa Taifa kwa manufaa ya wote haina mantiki, ila matumbo yao.
4inchies of carrot per day ni vitamin tosha kwa binaadamu....Yao min alikuwa mchezaji wa timu ya basketball Houston Rockets huko USA.Urefu wake NI 7feet Na 4inchies.
Wino badala ya mate itawezekana tu, ila maji badala ya tope hapo malizia.....Binadamu bila damu sana na kalamu bila wino
Habari wanaJF,

Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)

Kusoma na kuandika ni msingi wa elimu, baada ya hapo ni kufahamu ukisomacho na uelewe ukiandikacho kiweze kunufaisha !!!Winner ndio nini wewe wa kusoma
Kusoma na kuandika ni msingi wa elimu, baada ya hapo ni kufahamu ukisomacho na uelewe ukiandikacho kiweze kunufaisha !!!
Hekima ndogo uitoayo kwa wakulima ina faida kubwa kuliko bwawa la maji yasiyo nufaisha wakulima.....Kunufaisha taifa Kwa hekima ya elimu NI bora kuliko kuwa Na elimu isiyo kuwa Na hekima
Hekima ndogo uitoayo kwa wakulima ina faida kubwa kuliko bwawa la maji yasiyo nufaisha wakulima.....
Wanunuzi ni walanguzi maana wao huwalalia sana wakulima, Nami nawaombea mema wakulima wetu ambao hawajapewa kipaumbele.....Wakulima wengi wanadharauliwa Lakini hao ndio wanatulisha.Mchele,maharagwe,mchicha,mihogo,kuku,Ngo'mbe,mbuzi Na kila aina ya chakula
MwenyeEZ Mungu awajaalie sana wakulima Na wafugaji Na bila ya kuwasahau Wanunuzi
Walanguzi hapa nchini ni wengi sana , hivyo itakuwa kutwanga maji kwenye kinu na kupoteza resources...Kipaumbele cha nchi ni kupambana na mafisadi na walanguzi
Yetu ilikuwa mwendo wa aste aste ila yao ni mwendo kasi.....Resources zitumiwe vizuri na kwa utaalamu kupambana na kero mbalimbali zinazoikabili jamii yetu.