Mchezo wa masikini ni mpira wa miguu, na mchezo wa tajiri ni golf...!!!
Udereva ulianza kushika kasi mnamo miaka ya 60 hadi kufikia kila mwenye kushika usukani huitwa Shakeland !!
Saaana unaharibu thread mgogoone vingine acha vikupite isiwe kesi kuludia fuata protokali mkuuShakeland umenikumbusha East Africa Safari
Nilikuwa najidai Mimi NI Shakeland Tena nilikuwa Na namba yake ya gari.Duh ZZ umenikumbusha mbali saaaana
Saaana unaharibu thread mgogoone vingine acha vikupite isiwe kesi kuludia fuata protokali mkuu
Mkuu wa mkoa wa dar es salaam amekuwa kimyaa
Sana sana wajuaji wataliletea neno hili kejeri na kupindisha maana yake, Waswahili tuna misamiati....Mwendokasi ni neno lililopata umaarufu sana
Tu, three, four ni namba kwa kiengereza, Lakini tui ni la nazi....!!Misamiati unafikiri wanaijua basi au kubahatisha tu
Safi ni zile nazi organic, hiyo vipakiti na unga na chemical tupu... Mkuu huoni siku hizi magonjwa ya ajabu tele ???Nazi...!! Hazina dili siku hizi, kitu cha bahresA unapata tui saaaaafi
Safi ni zile nazi organic, hiyo vipakiti na unga na chemical tupu... Mkuu huoni siku hizi magonjwa ya ajabu tele ???
Misamiati zilizobobea zipo kanda za kaskazini.. maana nilisikia lafudhi za kushangaza......Tele Kama tui la nazi wahenga walisema Bakhresa katuondolea "mbuzi" ya kukunia nazi katika misamiati
Misamiati zilizobobea zipo kanda za kaskazini.. maana nilisikia lafudhi za kushangaza......
Tusi lina warudia wao hao wenyewe, Uswahili na Mswahili watabaki kuwa kiongozi na mwalimu wa taifa lenye ufaswaha wa kiswahili barani Afrika... al-watan utaenziwa 24/7 hata wakilichafua tabaka la waswahili !!!!!!Kushangaza Kwa Watu wa mwambao Au "Waswahili" wa kweli kweli. Mpaka maana ya neno Mswahili likawa mzaha.Leo Hii ukiwa Mjinga utasikia "wacha Uswahiri" ukiwa mjanja janja wacha "Uswahiri" maana Uswahiri umekuwa tusi.
Mwana jamii hakubali jamii yake kudhalilishwa au kupakaziwa......!!Mambo mangapi unaweza kuyaelewa.. Mengine unayaacha yapite mwana
Tusi lina warudia wao hao wenyewe, Uswahili na Mswahili watabaki kuwa kiongozi na mwalimu wa taifa lenye ufaswaha wa kiswahili barani Afrika... al-watan utaenziwa 24/7 hata wakilichafua tabaka la waswahili !!!!!!