Walipaji kodi walifuatwa kwa njia ya nyuma na kuombwa rushwa baada ya kupewa vitisho, ndipo wakawa wanalipa kodi isiyo sajiliwa rasmi wala kuingia serikalini....
Namba imesomeka, ila walowahi kukamua maziwa wamemkondesha ng'ombe (nchi) na kubakiza na magonjwa, udhaifu na mahututi.... Sijui Dokta Veterani atapatikana kutibu !!!?Serikalini kulikuwa NI janga la taifa maana kila kitu kilikuwa Dili Hata mahospitalini ilikuwa lazima uhonge ili utibiwe.Tra,polisi Na kila sehemu nyeti NI Dili tu.Wacha JPM atusomeshe namba.
Namba imesomeka, ila walowahi kukamua maziwa wamemkondesha ng'ombe (nchi) na kubakiza na magonjwa, udhaifu na mahututi.... Sijui Dokta Veterani atapatikana kutibu !!!?
Zitakwisha zama hizi za uchwara
Balaa la ubabaishaji, uonevu na upindishaji wa maneno ndiyo ulokubuhu hapa nchini....Uchwara maana yake imekuwa ******* Hata kuandika Au kusema imekuwa balaa
Balaa la ubabaishaji, uonevu na upindishaji wa maneno ndiyo ulokubuhu hapa nchini....
Ridhika iliyopo ni kumsaidia na kumunga mkono Rais JPM atumbue majipu sugu na atumbue chunusi uchungu !!!Nchini kwetu Tanzania tulikuwa tunaishi Kwa mazoea.Mazoea yakikwamishwa hakuna anaye ridhika.
Wateja hao ndiyo wanaumia kwa kulipa VAT% zaidi na kukosa bidhaa zenye viwango ...!!!!!Uchungu unawapata wafanyabiashara kwa kukosa wateja
Hewa chafu inaendelea kutolewa na watumishi wasiyo na ufanisi kazini... jee kuna jpya hapo.?Viwango havina ubora washauri waserekali wanatoka ushauri wenye giza wanatofauti gani na wafanya kazi hewa?
Hapo zamani za kale hapakua na magariHewa chafu inaendelea kutolewa na watumishi wasiyo na ufanisi kazini... jee kuna jpya hapo.?
Magari yalikuwepo kwa jina la "motokari" neno la kuitwa gari ni la kiAsia ndo wengi walokuwa wakimiliki enzi hizo.... Leo magari yamekuwa mengi kuliko idadi ya madereva.. !!!!😀Hapo zamani za kale hapakua na magari
Madereva wengi hawajapitia vyuo vya uderevaMagari yalikuwepo kwa jina la "motokari" neno la kuitwa gari ni la kiAsia ndo wengi walokuwa wakimiliki enzi hizo.... Leo magari yamekuwa mengi kuliko idadi ya madereva.. !!!!😀
Udereva ulianza kushika kasi mnamo miaka ya 60 hadi kufikia kila mwenye kushika usukani huitwa Shakeland !!Madereva wengi hawajapitia vyuo vya udereva
Shakeland cio mchezoUdereva ulianza kushika kasi mnamo miaka ya 60 hadi kufikia kila mwenye kushika usukani huitwa Shakeland !!
Mchezo wa masikini ni mpira wa miguu, na mchezo wa tajiri ni golf...!!!Shakeland cio mchezo