Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Chura ni mdudu mwenye bahati nzuri.. kwa wenye kumjua na wenye kutafuta utajiri wa haraka haraka.....Barabarani kuna magari mengi sana kwa mfano vitz,vogi,landlover,mgongo wa chura
Chura ni mdudu mwenye bahati nzuri.. kwa wenye kumjua na wenye kutafuta utajiri wa haraka haraka.....Barabarani kuna magari mengi sana kwa mfano vitz,vogi,landlover,mgongo wa chura
Haraka haraka haina barakaChura ni mdudu mwenye bahati nzuri.. kwa wenye kumjua na wenye kutafuta utajiri wa haraka haraka.....
Haraka haraka haina baraka
Elimu ni mwangaza wa kuonea gizani.. ni tochi ya uongozi ktk maisha yenye mafanikio...Yangu ni elimu
Elimu haina mwishoYangu ni elimu
vijiweni kuna visione na scope za kujiangamiza....Mafanikio mazuri uja kwa kupiga kazi sio kukaa vijiweni
Kujiangamiza ni kama kufanya mapenzi bila kupima ngwengwe
Sana sana unajifagilia tuu kuhusu wangoni huna loloteUjumla wa wangoni ni watu wanajua kupenda sana
Jema ukilikata baya linakuitaLolote lile ilimradi liwe ni jema
Linakuita gazeti "Nipashe" kwa sifa zako.. hapo utajulikana kwa umaarufu !!Jema ukilikata baya linakuita