mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Viongozi hupata wakti mgumu sana kuwaaminisha watu kinachostahiki
Kinachostahiki Zuleykha usiwe mfuasi wa ndioo sawa Ila Pima.
Viongozi hupata wakti mgumu sana kuwaaminisha watu kinachostahiki
pima kwa kiwango stahiki ,Ila wafuasi wa ndioo ndio wapi?
pima kwa kiwango stahiki ,Ila wafuasi wa ndioo ndio wapi?
Njuga ndo nini?MgogooneWapi? Hao wa ndioo Kwa maana nyingine wafata mkumbo.Ukiambiwa Fulani ni mbaya Kesi unaivalia njuga
Njuga ndo nini?Mgogoone
Nyingi sana nimekula za wadada wa jamiiforums.Nini?njuga maana yake vikanyagio vilio chongoka kwenye viatu vya kuchezea mpira.
Kwa ujumla viatu hivyo tuna viita NJUGA.
Hilo neno hutumika Ktk methali nyingi.
jamiiforum kwani ndio nini?
Nyingi sana nimekula za wadada wa jamiiforums.
Elimu ya kuzama chumvini(uvinza)nimeipata jamiiforums hasa jukwaa pendwa la MAHUSIANO,MAPENZI NA URAFIKI(MMU)Jamiifourums ni kisiwa kikubwa chenye Watu wa kila aina.ukijifanya Wewe msomi wako wasomi maelfu wenye shahada nyingi,ukijifanya mjuaji wako maelfu Walio bobea ujuwaji,ukijifanya Wewe tajiri wako maelfu wanautajiri wa ajabu.Kwa ujumla ichi kisiwa ni cha kuchota Elimu.
Elimu ya kuzama chumvini(uvinza)nimeipata jamiiforums hasa jukwaa pendwa la MAHUSIANO,MAPENZI NA URAFIKI(MMU)
Mahusiano ni kitu kigumu sana hasa usipojua jinsi ya kuishi na mwenza wako
Unafiki huwaga siupendagi kwa kweli mgogooneUrafiki ni muhimu katika maisha.Urafiki sio Unafiki
Hiari ni uamuzi wa kufanya jambo lolote bila kulazimishwa au kushawishiwa na mtu yeyote na kutojutia matokeo ya jambo hilo utakalolifanya kama yatakuwa mazuri au mabaya baadae.Unafiki huwaga siupendagi kwa kweli mgogoone
Naomba niwe rafiki yako wa hiari
Unafiki huwaga siupendagi kwa kweli mgogoone
Naomba niwe rafiki yako wa hiari
Hiari ni uamuzi wa kufanya jambo lolote bila kulazimishwa au kushawishiwa na mtu yeyote na kutojutia matokeo ya jambo hilo utakalolifanya kama yatakuwa mazuri au mabaya baadae.
Kuelewa ama kulelewa?Baadae nitakuwa Wa kusoma na kuelewa
Kuelewa ama kulelewa?