Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mwenzako kajisahau , mkumbushe
Makala ukuleles are the budget range of ukuleles from Kala. They are among the best in the budget price range.

The Makala ukulele comes in the traditional wood look and also in a series of pastel colors (blue, pink etc.) with a dolphin bridge – these are particularly popular with kids
 
Kids are extraordinary and awesome liitle angels to live with. Behave yourself, haulazimishwi kuwepo hapa
Hapa amekuja kwa kujikurupusha sana ni vyema akajitambua hata bila ya kusemwa , Charity beguns at home but for him i don even think.So shame to him
 
Kazi kubwa hutokea pale mtu anapokataa kukubali kuwa hawezi kuishi bila sheria
Sheria zinazotumika Tanzania ni sheria zilizotungwa na kupitishwa na Bunge au Baraza la Wawakilishi. Kuna Sheria za Kimila na za mapokeo (kama vile Sheria zisizoandikwa). Sheria ya Mapitio ya Sheria ya Mwaka 1994, Sura ya Nne ya sheria ya 20 Tanzania (Toleo lililopitiwa mwaka 2002) imerasimisha kuwa sheria zote zilizokuwa zikitumika na kutungwa na Serikali za kikoloni kabla ya uhuru zilizoitwa “Ordinance”, hivi sasa zinakuwa Amri / maagizo Rasmi, na zinatambuliwa rasmi kisheria kama Sheria za Tanzania. Sheria hizo kuu na Sheria ndogo ndogo zinahusiana, zinachapishwa kwenye Gazeti la Serikali na kuchapwa na Mpiga Chapa wa Serikali. Kwenye sehemu hii utapata taarifa kuhusiana na Sheria zote zinazotumika nchini Tanzania na marekebisho yake.
 
Back
Top Bottom