Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Azerbaijan hawakushiriki olimpiki nchini Brazil au vipi? Sikuiona timu yao.
 
Yao timu ilishiriki katika Olympic Rio 2016
Walipata medali 18 Dhahabu 1 vyuma 7 Na kopa 10 walijitahidi.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Michache mienendo ya baadhi ya vyama vya siasi nchini Tanzania ni balaa..... Kwa sababu inahamasisha vita eti inadai demokrasia ila vikiwa na lengo la kuchukya mamlaka kwa nguvu zote. Vishindweeeeeee!!!!!!!
 
Vishindwe wanaotawala kwa mabavu na wanaotaka kuingia Madarakani kwa Mabavu
 
Yamesitishwa wapi wakat chadema bado wanaandaa bendera Na polis wanaandaa mabomu?
 
Back
Top Bottom