Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Brazil tumewakilishwa au ndio marufuku za kwenda nje ya nchi zinaendelea.
 
hapa bajeti tu....! hakuna namna; Ila mkuu wa nchi ahangalie kwa upya ila suala la safari za nje, lina/litatunyima furusa nyingi.
 
Taifa la Tanzania Lina raslimali za kutosha kujiendesha bila kutegemea msaada ktoka ughaibuni
 
Back
Top Bottom