Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Kuwanyanyasa binaadamu wenzio ni kosa lisilokuwa na sehemu ktk jami na nikosa la kikatili japo mnyanyasaji anajiamini, ila siku zake zinahesabika.....Wananchi ni waoga kutetea haki zao, baadhi hupsta mwanya wa kuwanyanyasa
Nijulishe, Muefeso ni moja ya makabila ya mashariki ya kati wakati Biblia ikiandikwa.Muefeso maana yake nini nijulishe.
Nijulishe, Muefeso ni moja ya makabila ya mashariki ya kati wakati Biblia ikiandikwa.
Ninayoipenda ni clouds tv kwakuwa mm ni mshindiHapo umegusa nyanja ninayoipenda
Apa haiandikwi hivo ni hapaMwisho hauwezi tokea mpaka apatikane mshindi, ambaye nadhani kwa haraka haraka atakuwa ni mimi apa.
Njia ya kwenda wapi?Apa/ hapa inabidi uhakikishe hakuna atakayeweka bandiko baada yako ili uwe mshindi. Usikate tamaa, tembelea mara kwa mara, penye nia pana njia.
Mwisho wa Dunia umekaribiaWapi? Kwenye ushindi anaoutaka wa kuwa wa mwisho
Mwisho wa Dunia umekaribia
Wenyewe ndio chazo cha haya yoteYao yanawafaa wenyewe