Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Mtanzania gani hapa nchini hajihusishi na siasa hata za vijiweni.. Siasa ilivyo shimiri hata ukiwa mnadani utapagwa na siasaTuliyopo sii vibaya kumjuza ila kabla ya kujua tunamuuliza kwani muuliza swali ni Mtanzania?
Siasa safi,uongozi bora na nguvu tele,hiyo ndiyo ilikuwa msemo wa hamasa kwa watanzania kutoka kwa mkuu wa viongozi!Mtanzania gani hapa nchini hajihusishi na siasa hata za vijiweni.. Siasa ilivyo shimiri hata ukiwa mnadani utapagwa na siasa
Mpendazoe hili jina nimelipenda, ila ningepata wakunitafsiria... kwani kila jina lina maana mantik....viongoz kama fred mpendazoe?
Mantik ya kulijua jina ni nini hasa.
Wanapo niudhi ni pale wafuasi feki wanapo piga makofi na kushangilia bila kufahamu lugha iliyotumiwa ya kuwa kejeri na kuwadharau...!!!Hasa pale wanaponiudhi
Haswa unapo wakuta watu wamekusanyika na kuoteza wakati wao wenye thamni ya kujijenga huku wenzao wakiwadharau..Mantik ya kulijua jina ni nini hasa.
Wakiwadharau tena waziwaziHaswa unapo wakuta watu wamekusanyika na kuoteza wakati wao wenye thamni ya kujijenga huku wenzao wakiwadharau..
Waziwazi unadhani kwa tabia hizo nchi yetu itabaki salamaWakiwadharau tena waziwazi
Amani ni johari yenye thamani hutunzwa na kuEnziwa kwa imani na vitendo, mambo madogodogo au ushawishi wa vijiweni visitusukume kukurupuka, tuwe makini na wavumilivu kwa nguvu zote ndg. Ibn Ayoub duniani kila mtu anatabiya yake hivo tukubaliane......!!Salama itabaki kama wananchi wanathamini amani
Hivyo ndivyo utaifa unajengeka na uzalendo unaongezeka ndg. Auz umenene la maana na yunakuombea baraka zikufikie......Tukubaliane kuwa mapungufu yapo kwa kila mtu, pa mwenzako palipopungua muongezee na wewe utatendewa hivyo hivyo.
Amani ikiwepo hufunika chuki, Amani ikitawala hutokomeza ukatili, Amani ikizingatiwa husambaratisha ubinafsi, Hivyo tuwe wakweli katika kulinda masilahi ya umoja wetu wa kitaifa !!!!!Zikufikie..Amina ZZ! Baraka zitufikie wote, tuzidishiwe na busara ya kuweza kuishi pamoja kwa amani
Uzalendo kwa viongozi wa CCM hakuna kabisa..Kitaifa tutakuwa imara, tukiweka Utaifa mbele na uzalendo
Fundisho ni halali, kwani hauna aliyezaliwa na taaluma juu ya uongozi kwa sababu kiongozi wa kweli hawezi kuwahadaa wafuasi wake...., ndg. Prof Kibogoyo umeweza kulitambua kosa lao na wengi wamekwazika !!Kabisa itabidi jamii ijizatiti na kuungana ili kuongeza nguvu kwa upinzani kuwapa fundisho