Wa mwisho ndiyo mshindi

Dagaa wana virutubisho vingi kwa mwili ila jamii inachukulia ni chakula cha walalahoi
 
Dagaa wana virutubisho vingi kwa mwili ila jamii inachukulia ni chakula cha walalahoi
Walalahoi nijuavyo, ni wale watu wanaofanya kazi kutwa nzima, ikifika usiku wanakua wamechoka hoi bin taaban, ukiangalia hilo kwa jicho la tatu, utagundua kila mtu ni mlalahoi, awe mfanyakazi, mfanyabiashara, wa kushinda tu nyumbani hata watoto pia hulala hoi.[emoji16][emoji4] [emoji5]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…