Wa mwisho ndiyo mshindi

Labda nikuelimishe kidogo al-wakat muswadik, kama unataka kuchangia huu UZI utaanza sentensi yako kwa kuanza na neno la mwisho lilioandikwa kwenye post ya mwisho mfano:-
Umeandika:-
Baba ni mwalimu
Anaefata ataanza na:-
Mwalimu ni mkali
Mkali ni jina la mchezaji wa kimataifa wa South Sudan...!!!
 
Rufiji ni sehemu pekee ambayo sijaitembelea hapa nchini.....ila natafuta wa kwenda nae kutalii..
Kutalii mi nimekwisha talii nimepita mitaa ya kibiti,Kimbuga,Miwaga, kilimani,Ngorongo,Ruwe,Mkupuka, Ikwiriri,Nyamwage,Jaribu, Somanga,Nyamisati,Mkongo Mpaka Utete Makao Makuu ya wilaya.
 
Wilaya ya Rufiji ni kongwe lakini maendeleo yake, afadhali Kisarawe ina nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…