Wa mwisho ndiyo mshindi

muda ndio utakaotujulisha tuendelee na serikali ya majipu au ukawa
 
Ukawa na wengine wote inabidi wasubiri kwa miaka minne kuingia madarakani
(Salaam na taadhima kwako ndg. Mtebe.. hatujawasiliana mda sasa)
Madarakani siyo kwa kila ajae au apitae njia, Nafasi hizo zinalazimisha kwanza usheheni wa uzalendo na utaifa....
 
(Salaam na taadhima kwako ndg. Mtebe.. hatujawasiliana mda sasa)
Madarakani siyo kwa kila ajae au apitae njia, Nafasi hizo zinalazimisha kwanza usheheni wa uzalendo na utaifa....
(Salaam nimezipokea ndugu yangu ZZ dunia imetuzonga ndiyo sababu kupotezeana)
utaifa na Uzalendo vyote vimeota mbawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…