Daima ukiwa mpambanaji utakuwa kama Nabii Daud, kwani alikuwa akiishi kwa jasho lake mwenyewe....
Watalala wakiamka watanikuta sipo.... watajijua pakuanzia !!Mwenyewe ndio mwenye kutuo.Raha ya maisha kuchuma Kwa jasho lako Na kustarehe bila ya kukufuru.Watakusema weeee Halafu watalala
Watalala wakiamka watanikuta sipo.... watajijua pakuanzia !!
Kheri uende ukachape kazi utazame masilahi yako... baadae tutaendeleza mdahalo !!Pakuanzia ndio hapaZZ na wahi majukumu kila la kheri
Mdahalo huu kuna wachangiaji wanatupa mtihani kwa lugha isiyopendeza kwenye kadamnasKheri uende ukachape kazi utazame masilahi yako... baadae tutaendeleza mdahalo !!
kadamnas yenyewe ya mwendo kasi. inajua ni mwezi wa rehma lakini inafanya matendo machafu kimya kimya tena kwa kasi ya 4GMdahalo huu kuna wachangiaji wanatupa mtihani kwa lugha isiyopendeza kwenye kadamnas
4G ni kasi ya ulimi kuteleza lakini isiwe kukariri kariri maana tutajeruhi hisia za wengi.....kadamnas yenyewe ya mwendo kasi. inajua ni mwezi wa rehma lakini inafanya matendo machafu kimya kimya tena kwa kasi ya 4G
Wengi sana mkuu, ni dhahiri watakuwa wamejeruhiwa na Na utelezaji wa ulimi4G ni kasi ya ulimi kuteleza lakini isiwe kukariri kariri maana tutajeruhi hisia za wengi.....
Ulimi hauna mfupa lakini ukali wake huangamiza na kusambaratisha familia......Wengi sana mkuu, ni dhahiri watakuwa wamejeruhiwa na Na utelezaji wa ulimi
Familia ya JF inachekesha sana! watu wanafahamiana na kuzoeana bila kuonana suraUlimi hauna mfupa lakini ukali wake huangamiza na kusambaratisha familia......
Watu wanaungana kama kuna ustaarabuSura muhimu ila hisia na mawazo nazo huunganisha watu
Ujombi huo utakutenga mbali kwa wanaMitandao... Dunia imekuwa nduchu Mwasiliano ndiyo mipango yote leo ya kutimiza mashughuli ...Ustaraabu siuwez bora nibaki ujombi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mashughuli yakiwa mengi watu watachangayikiwaUjombi huo utakutenga mbali kwa wanaMitandao... Dunia imekuwa nduchu Mwasiliano ndiyo mipango yote leo ya kutimiza mashughuli ...
Wao ni kina nani mpaka waje kwenye shughuli ya kwetuWatachanganyikiwa kama hawagawani majukumu na kujua mipaka ya wajibu wao
Kwetu ilikuwa nadra sana kusikia wazazi wetu wanatukana hadharaniWao ni kina nani mpaka waje kwenye shughuli ya kwetu
Hadharani huwezi kutoa lugha ya matusi tena ilikuwa mwiko kwa mtoto kutukanaKwetu ilikuwa nadra sana kusikia wazazi wetu wanatukana hadharani