Wa mwisho ndiyo mshindi

Demokrasia inahitaji hatuwa ndogo ndogo kupanda ngazi za kufika huko kwenye uhuru wa kuitekeleza, Mkuu hukuona waliyokurupuka kutaka demokrasia huko mashariki ya kati.......?
Kati ya mambo ya kuangalia ni hiyo Demokrasi hakuna uhuru usiokuwa na mipaka tusikaririshwe
 
Umoja ni vigumu kupatikana kwa asilimia 100% lazima kutakuwa na kutofautiana jambo la muhimu kila kuheshimiana na kuvumiliana

Kuvumiliana ndio muhimu wa maisha.Auz karibu.Watanzania wengi Ni watu wazuri Na waaminifu.Wako Wachache ambao sio waaminifu ndio wanaotuwekea madowa.Leo Hii WaTanzania tunaitana Matapeli sababu mtu mmoja kakutapeli.
 
Maishani ZeMarcopolo uaminifu ndio mfumo wa maisha.Ahadi ambayo haitimizwi ni kukosa uaminifu.Wengi wetu tunafikiri uaminifu Ni kwenye Pesa tu Lakini sio kweli.Ukiahidi Wakati ambao Ni muhimu kuliko pesa lazima utimizwe.
Utimizwe uadilifu wako ili uishi maisha ya kawaida bila shinikizo na jaka moyo
 
Moyo Unasingiziwa kila kitu Mtebetini sijui Kwa nini.Naomba nijuzwe
Nijuzwe kila kitu kinasingiziwa Moyo mi nilikuwa na maana kuwa ukiwa na wasiwasi mapigo ya moyo yataenda mbio na mapigo yakienda mkuku utaanza kutaharuki shinikizo la damu litapanda matokeo mwili utaathirika
 
Nijuzwe kila kitu kinasingiziwa Moyo mi nilikuwa na maana kuwa ukiwa na wasiwasi mapigo ya moyo yataenda mbio na mapigo yakienda mkuku utaanza kutaharuki shinikizo la damu litapanda matokeo mwili utaathirika

Utaathirika kwaswa Kwa kula kuku matahira
Kwa msemo wa sio mwingine Ila Mdengostan
Wa Rufuji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…