Wa mwisho ndiyo mshindi

Nafsi hivi inatofauti gani na roho?
Roho na Nafsi !!! Ndugu acha nichukuwe wasaa wa kujibu suali lako zuri kwa Imani.....
(Nafsi ni mchanganyiko wa mwili na hisia, Roho ni mpachiko kutoka kwa Muumba ndani ya huo Mwili wenye hisia..., hivyo Roho ni amri ya Mwenyeezi Mungu pekee) !!!
umenipata?
 
Umenipata vizuri kabisa swali langu na umelijibu vyema. Nimekuelewa sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…