Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Dengue ni majanga na masayibu hatari !! yaani mitahani hii ya karne ya 22 ni kufa au kupona.....Zika kweli ni moja ya ugonjwa hatari kwa wajawazito,lakini mbu wanaosambaza hayo maradhi wamefanana na mbu wanaosambaza maradhi mengine huko huko Brazil yanajulikana kama “Dengue"
Kupona kunategemea na kudra za Mwenyezi Mungu awajalie matabibu wetu wagundue dawaDengue ni majanga na masayibu hatari !! yaani mitahani hii ya karne ya 22 ni kufa au kupona.....
Dawa tunazo na tuna weza kuvumbua tiba mbadala ..Lakini tatizo ni hayo makampuni ya kiImperialia na Ubepari hayatatuachia tuzalishe bidhaa zenye unafuu.....Kupona kunategemea na kudra za Mwenyezi Mungu awajalie matabibu wetu wagundue dawa
Unafuu wa mtanzania upo tu kwenye kufuga nywele .....Dawa tunazo na tuna weza kuvumbua tiba mbadala ..Lakini tatizo ni hayo makampuni ya kiImperialia na Ubepari hayatatuachia tuzalishe bidhaa zenye unafuu.....
Nywele za kipilipili hazifugiki...Unafuu wa mtanzania upo tu kwenye kufuga nywele .....
Nywele kila mtu anahaki ya kuzifuga ila tusijiwekee vigingi katika kujituma hatujui nani kati yetu ni mbora....😀😀Unafuu wa mtanzania upo tu kwenye kufuga nywele .....
Nywele zinatofautiana kuna za bandia nyingine zina mvi na kuna vipara kabisaa! ila akili ni nywele kila mtu ana zakeUnafuu wa mtanzania upo tu kwenye kufuga nywele .....
Zake zikitimia hakuna namna.... zake 40 zikifika pingu kutamalaki....Nywele zinatofautiana kuna za bandia nyingine zina mvi na kuna vipara kabisaa! ila akili ni nywele kila mtu ana zake
Kutamalaki bila kuwa na watu wa kusimamia kutatuharibiaZake zikitimia hakuna namna.... zake 40 zikifika pingu kutamalaki....
Akue kwani sasa ana miaka mingapikalala ili akue
Kiasi mingi lakini ni kweli bado anakua basi lazima awe analala mapema21 ni miaka mingi kiasi
JF ni jamvi ambalo halikunjwi hivyo lipo wazi 24/7 wanajamvi huja na kuzungumza wakati wowotemapema leo nika login jf
Kiasi mingi lakini ni kweli bado anakua basi lazima awe analala mapema
JF ni jamvi ambalo halikunjwi hivyo lipo wazi 24/7 wanajamvi huja na kuzungumza wakati wowote