M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,058 Reaction score 3,755 May 31, 2016 #14,181 mwanza coach
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 May 31, 2016 #14,182 wa hapa hapa said: Uhai wetu upo mashakani, ukitaka kuamini waulize watu wa Mwanza. Click to expand... Mwanza jiji zuri likinakishwa na ziwa
wa hapa hapa said: Uhai wetu upo mashakani, ukitaka kuamini waulize watu wa Mwanza. Click to expand... Mwanza jiji zuri likinakishwa na ziwa
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 May 31, 2016 #14,183 Blaki Womani said: Mwanza jiji zuri likinakishwa na ziwa Click to expand... Ziwa lenyewe ni chafu sana wakazi wote wanamwaga taka humo ndo sababu ya magonjwa sugu yasiyoisha huko !!!!!
Blaki Womani said: Mwanza jiji zuri likinakishwa na ziwa Click to expand... Ziwa lenyewe ni chafu sana wakazi wote wanamwaga taka humo ndo sababu ya magonjwa sugu yasiyoisha huko !!!!!
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 May 31, 2016 #14,184 Zamiluni Zamiluni said: Ziwa lenyewe ni chafu sana wakazi wote wanamwaga taka humo ndo sababu ya magonjwa sugu yasiyoisha huko !!!!! Click to expand... huko ulipohamia nitapatafuta hadi nipajue
Zamiluni Zamiluni said: Ziwa lenyewe ni chafu sana wakazi wote wanamwaga taka humo ndo sababu ya magonjwa sugu yasiyoisha huko !!!!! Click to expand... huko ulipohamia nitapatafuta hadi nipajue
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 May 31, 2016 #14,185 Blaki Womani said: huko ulipohamia nitapatafuta hadi nipajue Click to expand... Nipajue huko mchafukoge ndipo chanzo cha majitaka yanayo chafua ziwa na mazingira.....
Blaki Womani said: huko ulipohamia nitapatafuta hadi nipajue Click to expand... Nipajue huko mchafukoge ndipo chanzo cha majitaka yanayo chafua ziwa na mazingira.....
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 May 31, 2016 #14,186 Zamiluni Zamiluni said: Nipajue huko mchafukoge ndipo chanzo cha majitaka yanayo chafua ziwa na mazingira..... Click to expand... mazingira yaliyopo eneo la unga ltd yanahalalisha unywaji wa viroba!
Zamiluni Zamiluni said: Nipajue huko mchafukoge ndipo chanzo cha majitaka yanayo chafua ziwa na mazingira..... Click to expand... mazingira yaliyopo eneo la unga ltd yanahalalisha unywaji wa viroba!
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 May 31, 2016 #14,187 Blaki Womani said: mazingira yaliyopo eneo la unga ltd yanahalalisha unywaji wa viroba! Click to expand... Viroba sasa marufuku !! wabongo watarudia gongo kali....
Blaki Womani said: mazingira yaliyopo eneo la unga ltd yanahalalisha unywaji wa viroba! Click to expand... Viroba sasa marufuku !! wabongo watarudia gongo kali....
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 May 31, 2016 #14,188 Zamiluni Zamiluni said: Viroba sasa marufuku !! wabongo watarudia gongo kali.... Click to expand... Kali zinawaharibu bora warudi kunywa maji na soda😀
Zamiluni Zamiluni said: Viroba sasa marufuku !! wabongo watarudia gongo kali.... Click to expand... Kali zinawaharibu bora warudi kunywa maji na soda😀
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 May 31, 2016 #14,189 Blaki Womani said: Kali zinawaharibu bora warudi kunywa maji na soda😀 Click to expand... Soda mpe ZZ ndiyo zake... masikini ya Mungu chochote tu kinamfaa...
Blaki Womani said: Kali zinawaharibu bora warudi kunywa maji na soda😀 Click to expand... Soda mpe ZZ ndiyo zake... masikini ya Mungu chochote tu kinamfaa...
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 May 31, 2016 #14,190 Zamiluni Zamiluni said: Soda mpe ZZ ndiyo zake... masikini ya Mungu chochote tu kinamfaa... Click to expand... kinamfaa zaidi wine tena iwe nyupe
Zamiluni Zamiluni said: Soda mpe ZZ ndiyo zake... masikini ya Mungu chochote tu kinamfaa... Click to expand... kinamfaa zaidi wine tena iwe nyupe
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 May 31, 2016 #14,191 Blaki Womani said: kinamfaa zaidi wine tena iwe nyupe Click to expand... Nyeupe kweupe pee atakimbia huyo na kumwaga vumbu wala hutomuona......😛
Blaki Womani said: kinamfaa zaidi wine tena iwe nyupe Click to expand... Nyeupe kweupe pee atakimbia huyo na kumwaga vumbu wala hutomuona......😛
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 May 31, 2016 #14,192 Zamiluni Zamiluni said: Nyeupe kweupe pee atakimbia huyo na kumwaga vumbu wala hutomuona......😛 Click to expand... hutomwuona mara kwa mara sababu atakuwa busy
Zamiluni Zamiluni said: Nyeupe kweupe pee atakimbia huyo na kumwaga vumbu wala hutomuona......😛 Click to expand... hutomwuona mara kwa mara sababu atakuwa busy
mtebetini JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,924 Reaction score 2,036 May 31, 2016 #14,193 Blaki Womani said: hutomwuona mara kwa mara sababu atakuwa busy Click to expand... Busy like Bee's day in day out
Blaki Womani said: hutomwuona mara kwa mara sababu atakuwa busy Click to expand... Busy like Bee's day in day out
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 May 31, 2016 #14,194 Blaki Womani said: hutomwuona mara kwa mara sababu atakuwa busy Click to expand... Busy gani? atayakimbia maWine yenu... Labda mlete soda chungu !!
Blaki Womani said: hutomwuona mara kwa mara sababu atakuwa busy Click to expand... Busy gani? atayakimbia maWine yenu... Labda mlete soda chungu !!
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 May 31, 2016 #14,195 Zamiluni Zamiluni said: Busy gani? atayakimbia maWine yenu... Labda mlete soda chungu !! Click to expand... chungu ya maisha ni pale usipate kile unachotarajia
Zamiluni Zamiluni said: Busy gani? atayakimbia maWine yenu... Labda mlete soda chungu !! Click to expand... chungu ya maisha ni pale usipate kile unachotarajia
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 May 31, 2016 #14,196 Blaki Womani said: chungu ya maisha ni pale usipate kile unachotarajia Click to expand... Unatarajia nini ikiwa UFISADI ndiyo kikwazo kikubwa kinacho kula taifa la wanyonge.....
Blaki Womani said: chungu ya maisha ni pale usipate kile unachotarajia Click to expand... Unatarajia nini ikiwa UFISADI ndiyo kikwazo kikubwa kinacho kula taifa la wanyonge.....
mtebetini JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,924 Reaction score 2,036 May 31, 2016 #14,197 Zamiluni Zamiluni said: Unatarajia nini ikiwa UFISADI ndiyo kikwazo kikubwa kinacho kula taifa la wanyonge..... Click to expand... Wanyonge hawana nguvu mpaka wenye nguvu wapende
Zamiluni Zamiluni said: Unatarajia nini ikiwa UFISADI ndiyo kikwazo kikubwa kinacho kula taifa la wanyonge..... Click to expand... Wanyonge hawana nguvu mpaka wenye nguvu wapende
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 May 31, 2016 #14,198 mtebetini said: Wanyonge hawana nguvu mpaka wenye nguvu wapende Click to expand... wapende vipi wakati bila wanyonge wao hawapo
mtebetini said: Wanyonge hawana nguvu mpaka wenye nguvu wapende Click to expand... wapende vipi wakati bila wanyonge wao hawapo
mtebetini JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,924 Reaction score 2,036 May 31, 2016 #14,199 Blaki Womani said: wapende vipi wakati bila wanyonge wao hawapo Click to expand... Hawapo kifikra lakini wote tumeumbwa tuishi pamoja duniani kwa kuelewana
Blaki Womani said: wapende vipi wakati bila wanyonge wao hawapo Click to expand... Hawapo kifikra lakini wote tumeumbwa tuishi pamoja duniani kwa kuelewana
Zuleykha JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 1,413 Reaction score 2,145 May 31, 2016 #14,200 Kuelewana ni jambo la msingi sana kwa wana jamvi hili