Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,413
- 2,145
Mwisho wa mchezi huu ni liniMoja ndio mwanzo Lakini kila kitu kina mwanzo Na mwisho
Mwisho wa mchezi huu ni liniMoja ndio mwanzo Lakini kila kitu kina mwanzo Na mwisho
Mwisho wa mchezi huu ni lini
Watakujibu kina nan wakati mshindi mimiLini Ni swali zuri sanaaaaa.Ila jibu silijuwi Ila tunao wanabodi watakujibu
Watakujibu kina nan wakati mshindi mimi
mimi sijakubaliana na hiloWatakujibu kina nan wakati mshindi mimi
mimi sijakubaliana na hilo
Nalo jambo la kunena ima wewe ima yule.....Hilo Ni lipi maana hujakubaliana nalo
hilo ni jambo la busara kwa mwenye kujua maana...mimi sijakubaliana na hilo
Maana naona niko ukingoni mwa hadithihilo ni jambo la busara kwa mwenye kujua maana...
Hadithi tamu ni pale Kitwanga anapo twangwa!
Sasa Magufuli kawaonyesha watu kuwa hana masihara wala ushikaji kwenye serikali yake
Dili za kusafirisha binaadamu ndo hatari Zaidi....Mtume ni mtu aliyetumwa na mungu kuleta habari njema dunia, ila mitume wa siku izi ni wapiga dili..
Zaidi yake hatotokea asilaniDili za kusafirisha binaadamu ndo hatari Zaidi....
Asilani sintokaa kumsahau kwa aliyoyanenaZaidi yake hatotokea asilani
Aliyoyanena maneno kuntu hayana ubishi asilaniAsilani sintokaa kumsahau kwa aliyoyanena